Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ni kweli maana kwao wanafikiria maendeleo ya miundo mbinu ndio ustawi wao!maendeleo ya watu ni LAZIMA yaambatane na haki ya kidemokrasia!Ethiopia imejengeka zaidi kuliko Tanzania lakini kila siku wahamiaji haramu wanapita nchi yetu wakienda kwa CR na porous borders zetu zinawasaidia mno maana tiss wapo busy na chama dola.
 
Meko alitengeneza Wehu wengi sana.
 
WEWE NI MCHOYO, UNA ROHO MBAYA NA AKILI MBOVU
Mama alikuja Mwanza kwenye sherehe ya wafanyakazi- wasi wafanyakazi sherehe hiyo haikuwahusu- uwe meuelewa.
 
Acha kuwa na haraka... Siku hazijaisha... Kama si leo basi ni kesho
 
Mambo ya kijinga na kushamba kabisa ya Mwendazake ya kula mahindi barabarani, kupokea majogoo na kugawa hela yalifukiwa rasmi tarehe 26/ 03/ 21.

Rais hawezi kusimama simama barabarani kama kondakta wa daladala
 
mahusiano na kenya hayakuanza kuharibika wakati wa magufuli pekee, huko nyuma pia tumewahi kua na ugomvi nao ajili ya ushenzi wao na tamaa zao, hawa ni mafisi wajivikao ngozi ya kondoo ajili ya maslahi pekee dhidi yetu.

Wakenya wanajua tanzania ni fursa kubwa kiuchumi katika ukanda huu ndo maana hawaishi maigizo, hata mnaoshangilia mnaujua ukweli japo mnajifanya wanafiki na kushangilia upumbavu
 
UJENZI WA BOMBA LA GESI TOKA DAR ES SALAAM -MOMBASA KENYA
NI JAMBO LENYE KUHITAJI UMAKINI NA UTAFITI ZAIDI KULIKO MAAMUZI YA KWENYE MAJUKWAA YA WANASIASA.

HOJA NI HII:-
sote tunaelewa kuwa Tanzania kwa miaka sita iliyopita ya awamu ya Tano chini ya jemedari mzalendo wetu Hayati Dr JPM,ilipambana kwa Hali na Mali kufufua viwanda na kutengeneza Mazingira rafiki kwa wawekezaji ili kuwezesha ujenzi wa viwanda vipya.

Hilo lilifanyika bayana bila kificho na sote tunajua mikakati iliyofanyika ikiwamo Mpango wa viwanda 100 kwa kila mkoa ambao kwa Asilimia kubwa ulifanikiwa.

Nafasi ya viwanda hivi kibiashara ndani ya soko la Africa Mashariki inakabiliwa na upinzani mkubwa toka kea viwanda vya Kenya ambavyo ni vikongwe,vyenye mitaji mikubwa na uzoefu wa soko la Africa Mashariki.pia uzoefu was uzalishaji.

Kiupekee MADHAIFU waliyonayo wakenya katika viwanda vyao ni Upungufu mkubwa wa Nishati hasa ya Umeme na Gesi ,kitu kinachopelekea Mazingira yao ya uwekezaji kuwa magumu na bidhaa zao kuwa za Bei ghali sokoni.

Tanzania tulikuwa PABAYA Sana katika sekta ya viwanda hasa Baada ya Sera ya ubinafsishaji kupita na kuleta matokeo hasi katika sekta hii.

Viwanda vingi vilikufa,na kusimamisha uzalishaji ,watu wakakosa kazi,bidhaa MADE IN TANZANIA sokoni zikawa adimu kuonekana.tukaishia kuwa walanguzi was bidhaa za Mataifa mengine ikiwamo Kenya ,China na kwingineko Duniani.

Serikali ya JPM ikaturudisha kwenye tracks na kutuwezesha kufufua brand yetu "MADE IN TANZANIA" kwa viwanda vingi kuanzishwa na vingine kufufuliwa.

Pia JPM akawekeza katika Ujenzi wa Nyerere Dam,na Usambazaji wa Gesi viwandani ili kuwezesha uzalishaji nafuu wenye Tina utakaopelekea bidhaa zetu kuwa za Bei nafuu sokoni. Suala ambalo wakenya walijua viwanda vyao,na bidhaa zao zinakwenda kupoteza soko.na kushindwa

Leo hii ile kete ya ushindi ya Nishati ya Gesi tunaipeleka Kenya .itawafanya production cost ya bidhaa zao kuwa nafuu.na bidhaa toka kwenye viwanda vyetu vichanga zitashindwa kushindana na bidhaa za viwanda vyenye uzoefu sokoni toka Kenya.

Ila kitakachotupa ugumu huu ni Gesi yetu na umeme wetu endapo tutaupeleka huko na wao wakautumia kuzalisha bidhaa kwa gharama ya chini. Suala Hilo litaua viwanda tunavyoanzisha.na kupoteza mwelekeo was matokeo chanya tuliyoyaona katika miaka hii sita iliyopita.

Narejea wito wangu.suala la Gesi kupelekwa Kenya lifanyiwe Tafiti za faida na hasara zake .na isiwe political agenda ya viongozi wachache wa kisiasa.

Suala hili lihusishe wataalamu wa kitaifa na Maoni ya wadau .
"Sote tutajenga Tanzania [emoji1241] imara"
 
Mwendazake kaondoka na akili zenu. Mtakoma nawaambia. Mama songa mbele, acha kusikiliza masalia ya Mwendazake, upo karibu sana na sisi wananchi ila haupo karibu na kundi la Mwendazake maana lipo kuzimu

Nyie kundi la Mwendazake mtuache na Mama yetu. Kwani mnaumia nini Rais wetu kupokewa kwa Shangwe na majirani zetu? Mnataka aige roho mbaya yenu na Mwendazake wenu?
 
Wao kwa akili zao wanafikiri kulikuwa na nafuu ya gharama kwa yale mamisafara ya mwendazake ya vingóra, helkopta, fensi, mitutu ya bunduki, na msururu wa magari. Mwendazake kaharibu akili za wengi
 
Wafuasi wa yule Shetani hawajui hilo.
 
Zama za Jiwe kufanya ziara huku anakula mahindi ya kuchoma na kudanganya wanyonge kwamba hii nchi imechezewa sana zimeshapitwa na wakati.
Itabidi uzoee tu ndugu yangu. Hamna namna.
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Inawauma! Bado hawaamini kama kaenda zake
 
Wewe ni mwehu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…