Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mnajaza matumbo yenu tu,Kutoa EFD ni kodi ya wizi ?
Hakuna kada ambayo Tz ni wezi wa kodi kama wafanyabiashara, mtu anayapata faida zaidi ya 100m kwa mwaka anataka kulipa TRA 5m, hii ni sawa na 5% tu wakati mfanyakazi mwenye mshahara huo atapiga almost 30% kama PAYE, wafanyabiashara Tz ni wezi wa kodi.
Mmefaidika sana na wizi wa awamu iliyopita.
Tutaanza kuhamasishana tupige picha za majumba mkiyojenga kwa fadha za wizi huko nje ya mji.