Afande Tanzania
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 460
- 1,169
Hivi Bwana Musiba una ID ngapi humu JF?yaani mama ni antisocial kabisa ufafiri wake umekuwa wa ndege hizihizi zinazopata hasara
ziara zisizo na maana ni mzigo mkubwa kwa wananchi maana msafara wako ni mkubwa Sana
kumbuka usiturudishe kuwa watembeza mabakuli wa kupokelewa kwa farasi na malikia wa uingereza huku wakikulaghai kusaini mikataba ya kilaghai
nakushauri Anza kuwa karibu na wananchi wako yaani hizo ziara agiza wengine
Huyo Ni Musiba, hivi nayeye Ni sukumagang member?We msukuma unatapatapa sana, enzi zenu zishaisha , nendeni mkalinde kaburi la mungu wenu chatttle
Na kununua jogoo la mahari!Zama za Jiwe kufanya ziara huku anakula mahindi ya kuchoma na kudanganya wanyonge kwamba hii nchi imechezewa sana zimeshapitwa na wakati.
Itabidi uzoee tu ndugu yangu. Hamna namna.
Atafanya hivyo siku moja moja akipata nafasi...kumbukeni rais ana wasaidizi wengi wanaoweza kusikiliza shida za wananchi na kutatua...rais ni ngazi ya juu kabisa...msilazimishe approach ya aliyepita iwe ya sasa...anaweza pia chukua approach ya mkapa...msikariri ya mtangulizi ambae alikuwa na malengo yakeSioni kama kamponda mama nimeona amesema tu ukweli kwamba rais ni lazima awe karibu na watu wake ajue shida zao........mara moja moja atembee na gari aongee na wananchi wake bana....
Tuwaambie waelewe kuwa safari ya kweli ya kuelekea nchi ya asali na maziwa ndio inashika kasi,hawataki wait wabakie jangwani.Ubarikiwe sana kwa kuibuka na thread yenye mashiko kulingana na muda tulio nao.
Wamenuna sana na sasa wanakuja na visababu uchwara ili mradi wanampinga rais.
Hao ni kuwaelewesha taratibu,huenda hawakubahatika kusomea darasani,ila chini ya ile moto mikubwa ya kivuli hulu wakikaa kwenye jiwe,mazingira kama hayo lazima yaathiri kiwango cha uelewa wa mtú.Nyie mnao mpinga rais lazima tutawakomesha
Nimekuelewa bossHao ni kuwaelewesha taratibu,huenda hawakubahatika kusomea darasani,ila chini ya ile moto mikubwa ya kivuli hulu wakikaa kwenye jiwe,mazingira kama hayo lazima yaathiri kiwango cha uelewa wa mtú.
Bado wapo kwenye ndoto za maisha ya mkono wa chumaTuwaambie waelewe kuwa safari ya kweli ya kuelekea nchi ya asali na maziwa ndio inashika kasi,hawataki wait wabakie jangwani.
Hakuna mtu anayemzuia kufanya kazi, shida ni pale watu wanapotaka atekeleze majukumu yake kwa namna na taratibu za mtangulizi wake, ndipo wanapokesea,Kila mtu ana stahili yake, ndiyo matatizo ya kuzoea,watu walishazoea,kukemewa na kugombezwa wandhani ndiyo njia pekee. Kuna mambo ya kurekebisha,kuna ya kuacha na kiasi kuna ya kufuata,atafanyaje??hiyo siyo lazima kufuata ya mtangulizi,Kuna mtu amemzuia kufanya kazi?
Yeye ndiyo kasema yeye na mwendazake ni kitu kimojaHakuna mtu anayemzuia kufanya kazi, shida ni pale watu wanapotaka atekeleze majukumu ya kwa namna na taratibu za mtangulizi wake, ndipo wanapokesea,Kila mtu ana stahili yake, ndiyo matatizo ya kuzoea,watu walishazoea,kukemewa na kugombezwa wandhani ndiyo njia pekee. Kuna mambo ya kurekebisha,kuna ya kuacha na kiasi kuna ya kufuata,atafanyaje??hiyo siyo lazima kufuata ya mtangulizi,
Mataga hamkosi kutapatapa ,hata mwendazake mlimfananisha na YESU,Hahahah hay bhana
halafu hili jina la sukuma gang naona wasukuma wamelipenda wamelibadili kidogo wanajita sukuma GangweNa tunampenda sana na tuna muombea , CCM Sukuma Gang washindwe kabisaaaaaaa