Afande Tanzania
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 460
- 1,169
Hivi Bwana Musiba una ID ngapi humu JF?yaani mama ni antisocial kabisa ufafiri wake umekuwa wa ndege hizihizi zinazopata hasara
ziara zisizo na maana ni mzigo mkubwa kwa wananchi maana msafara wako ni mkubwa Sana
kumbuka usiturudishe kuwa watembeza mabakuli wa kupokelewa kwa farasi na malikia wa uingereza huku wakikulaghai kusaini mikataba ya kilaghai
nakushauri Anza kuwa karibu na wananchi wako yaani hizo ziara agiza wengine
Kazi yako kumponda mama tu keng€ wewe, utajitafuta mwaka huu toka mume wako afariki