Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Huyu anacheka na manyang'au, ameyakaribisha Ikulu. Wanyonge wanarudia taabu. Angalia tu machinga wanavyosumbuliwa sasa hivi. Sehemu ya rasilimali zetu wamepewa Wakenya.
 
Whatever worse she might be. There is no way atakuwa one term.

Hata akitaka kufia madarakani, inawezekana.

Msijipe moyo sana ili kujidanganya kisaikolojia. Get to your senses and face the truth.
Ni cursed one term president kwa sababu huko CCM hakuna anaemtaka achilia mbali mfumo dume uliopo!
 
Kwani yule mwingine aliyejipa umungu kwanini mlikua hamumuonei huruma?

Maana yeye alikua ndio Daktari,Engineer,Mwalimu ,Mshauri wa uchumi, mwanasheria nk

Yani yeye kila kitu alikua anajua na alikua hahitaji kupangiwa hata kushauriwa
 
N

Ndugu wasukuma ndio wanaoamua nani awe Rais wa
Wasukuma washmba Sana ..washmba mnoo,,
Mbona alivyokua ndugu yao madarakani wote tulitii mamlaka na tulimkubali kua yule ndo rais wetu pamoja na mapungufu yake yote,,
Why wao walete chokochoko hivi hawataki kukubali kua Zama zimebadilika na watii mamlaka .
Washamba Sana wasukuma.
I repeat it washamba mnoo.
Na huyu mama tutamtetea hata akibolonga sababu ya ushamba wanaonesha hao jamaa.
 
Ni cursed one term president kwa sababu huko CCM hakuna anaemtaka achilia mbali mfumo dume uliopo!
There is no CCM. Kuna Dola.

CCM inaihitaji zaidi Dola kuliko Dola inaihitaji CCM.

Hivi stori za huko CCM hawamtaki mmezianza hata kabla hajapewa Uenyekiti, mwishowe akapata kura 100%.

Mtaishi kwa kudanganya nafsi zenu mpaka lini?

Unasema CCM,

Je, CCM ndio waliomfutia keso Nusrat Hanje ?

CCM ndio waliopora uchaguzi nchi nzima ?

Wale waloomtishia Zitto kumuua bungeni ni CCM ?

SABAYA akiyemtesa Mbowe Hai mpaka kumpora jimbo ni CCM ?

NEC waliofeki majina kupeleka bungeni ni CCM ?
 
Wasukuma washmba Sana ..washmba mnoo,,
Mbona alivyokua ndugu yao madarakani wote tulitii mamlaka na tulimkubali kua yule ndo rais wetu pamoja na mapungufu yake yote,,
Why wao walete chokochoko hivi hawataki kukubali kua Zama zimebadilika na watii mamlaka .
Washamba Sana wasukuma.
I repeat it washamba mnoo.
Na huyu mama tutamtetea hata akibolonga sababu ya ushamba wanaonesha

Huna akili.

Nikutumie maiti ya Magu utundike ukutani ?
Hata baba ako mbona ni mizoga tu
 
Kama hujawahi kumsikia mchawi sasa live bila chenga ni huyu hapa mwandishi .
 
naona baadhi ya wafuasi wameanza kupinga chinichini..na kuchokoa hiki au kile..taratibu tutaongea lugha moja.
 
There is no CCM. Kuna Dola.

CCM inaihitaji zaidi Dola kuliko Dola inaihitaji CCM.

Hivi stori za huko CCM hawamtaki mmezianza hata kabla hajapewa Uenyekiti, mwishowe akapata kura 100%.

Mtaishi kwa kudanganya nafsi zenu mpaka lini?

Unasema CCM,

Je, CCM ndio waliomfutia keso Nusrat Hanje ?

CCM ndio waliopora uchaguzi nchi nzima ?

Wale waloomtishia Zitto kumuua bungeni ni CCM ?

SABAYA akiyemtesa Mbowe Hai mpaka kumpora jimbo ni CCM ?

NEC waliofeki majina kupeleka bungeni ni CCM ?
Mbona umeandika mambo ya ajabuajabu!Unahitaji PhD gani ili ujue kuwa dola ni CCM?!

Unahitaji PhD kujua kuwa NEC ni CCM?Unahitaji PhD kujua kuwa Sabaya ni CCM?Unahitaji PhD gani ili ujue kuwa CCM ndiyo walipora uchaguzi nchi nzima?Unahitaji kuwa profesa ili ujue kuwa dola ni CCM?
 
View attachment 1779797
Vizuri. Sasa unakubali CCM=Dola.

Na Dola ndio Samia kwa sasa.

Sasa utasemaje tena CCM haimtaki Samia?

Unafikiri sawasawa kweli wewe!

Acha kujitia faraja kwa mambo ambayo uwezekano wake asilimia 0.000000001
 
Vizuri. Sasa unakubali CCM=Dola.

Na Dola ndio Samia jwa sasa.

Sasa utasemaje tena CCM haimtaki Samia?

Unafikiri sawasawa kweli wewe!
Sijasema kuwa CCM=dola bali nimesema kuwa dola=CCM

Unaelewa tofauti ya hayo mawili?
 
Back
Top Bottom