Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ni vyema Mh Rais akaachana na wambea wa mitandaoni na akaamua kutokana na taarifa rasmi za ofisi tambulika.
lipo wimbi la wahuni hasa mtandaoni linalojaribu kukuwekea maneno mdomoni na pengine kukuletea taarifa feki za kwenye makaratasi kwa maslahi yao binafsi ili tu ufukuze baadhi ya walio chini yako.
kamwe usiwaamini wahuni hawa.
Wapo baadhi ya wauni wanaojodai kuandika na kukupamba kwa hila wakitegemea uteuzi mfano bollen.
Hawa ni wa kupuuzwa sana.

You still have time and other resources to make your own decisions.
 
Masponsa na mapromota ndio benchi la ufundi; yeye ni kipaza sauti ambaye anajaribu kupliz pande mbili kinzani --- raia wanaohitaji maendeleo vs bourgeoisies wachache wasiotosheka na vile ambazo tayari wamevihodhi kwa muda mrefu sasa. Nadhani ile kanuni ya ^You cannot serve two masters at a go^ inapaswa kuzingatiwa, japo kweli wengine wanahitimu na dabo-mastaz vyuoni.
 
Ni vyema Mh Rais akaachana na wambea wa mitandaoni na akaamua kutokana na taarifa rasmi za ofisi tambulika.
lipo wimbi la wahuni hasa mtandaoni linalojaribu kukuwekea maneno mdomoni na pengine kukuletea taarifa feki za kwenye makaratasi kwa maslahi yao binafsi ili tu ufukuze baadhi ya walio chini yako.
kamwe usiwaamini wahuni hawa.
Wapo baadhi ya wauni wanaojodai kuandika na kukupamba kwa hila wakitegemea uteuzi mfano bollen.
Hawa ni wa kupuuzwa sana.

You still have time and other resources to make your own decisions.

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Ni vyema Mh Rais akaachana na wambea wa mitandaoni na akaamua kutokana na taarifa rasmi za ofisi tambulika.
lipo wimbi la wahuni hasa mtandaoni linalojaribu kukuwekea maneno mdomoni na pengine kukuletea taarifa feki za kwenye makaratasi kwa maslahi yao binafsi ili tu ufukuze baadhi ya walio chini yako.
kamwe usiwaamini wahuni hawa.
Wapo baadhi ya wauni wanaojodai kuandika na kukupamba kwa hila wakitegemea uteuzi mfano bollen.
Hawa ni wa kupuuzwa sana.

You still have time and other resources to make yourwn decisions.

Huyo mama hana jinsi, huku mitandaoni lazima aje maana ndio liliko bunge halisi la wananchi. Huko maofisini anajua kumejaa wanafiki, wasaka vyeo na majizi ya kura. Anaachaje kuja kusikiliza wananchi wenyewe abaki kusikiliza walinda madaraka ,wanafiki, wapiga Majungu na majizi ya kura?
 
kwakweli mimi namuomba tu asiwalimbikizie mali wastaafu waliomaliza muda wao kiutumishi, maana hao bado wanaendelea kupokea mishahara hadi leo, na huduma nyingi wanapata ni za kiserikali. Asisahau watanzania masikini ni wengi mno hapa nchini..walipakodi wanapoona mambo haya yanafanywa wanaumia sana japokuwa wanaogopa kusema kwamba anawaumiza. mali za tanzania ziwanufaishe watanzania wote na sio waliowahi hudumu tuu
 
Social media ni megaphone,anaeiwahi ndio sauti yake itakua kubwa na itasikika pande zote.Ukiangalia watu wenye mirengo ya upinzani kisiasa ndio waliowahi huku and they really soldered their views on the masses who use social media frequently
Sasa raisi wa nchi akiingia sana huku ni tatizo,ila akikaa Sana na wazee wa 'ndio',atakua na confirmation bias..
Ungeomba awe na equilibrium ingekua vema sio kuacha kabisa
 
Back
Top Bottom