Ingekuwa awamu fulani ungesakwa kwa gharama yoyoteAise kumbe ni mfupi hivyo😅😅😅
Kokote walikokutana ujumbe umefika
Kwenye hii picha ya pili kuna mmoja anaonekana amelazimishwa hana utayari kabisa,Viongozi wa Tanzania wana mambo ya kushangaza sana.Nakumbuka huu mzaha uliondoka na watu lakini bado umerudiwa tena!
Imagine viongozi badala ya kuweka mikakati ya muda mrefu (Long-run strategies)ya kupambana na kirusi cha Corona ili kukizuia kisifanye mutations halafu kiwe hatari kama kile cha India, badala yake wanafanya mizahaa kama hii![emoji1][emoji1][emoji1]
Mtu hujavaa hata barakoa halafu unajifanya kuwa unajali sana juu ya Corona kwa kufanya salaam ya kudance eti unajizuia kuambukizwa Corona!Hivi kama Taifa tuna tatizo gani?Tulikosea wapi?Tuna laana gani?View attachment 1781239View attachment 1781240
Anafikiri sisi tunavaa barakoa kuliko IndiaUliambiwa barakoa ndo msaada!??
Wewe usiyefanya mizaha unatarajia kuishi miaka mingapi?Viongozi wa Tanzania wana mambo ya kushangaza sana.Nakumbuka huu mzaha uliondoka na watu lakini bado umerudiwa tena!
Imagine viongozi badala ya kuweka mikakati ya muda mrefu (Long-run strategies)ya kupambana na kirusi cha Corona ili kukizuia kisifanye mutations halafu kiwe hatari kama kile cha India, badala yake wanafanya mizahaa kama hii![emoji1][emoji1][emoji1]
Mtu hujavaa hata barakoa halafu unajifanya kuwa unajali sana juu ya Corona kwa kufanya salaam ya kudance eti unajizuia kuambukizwa Corona!Hivi kama Taifa tuna tatizo gani?Tulikosea wapi?Tuna laana gani?View attachment 1781239View attachment 1781240
Wala nisingeruhusu wateseke kunisaka mimi mzalendo wangeniuliza nilipo ningewapa location kuwa nipo Ujiji hapa kwa mtoto wa Juma Njemba nimekuja kutafuta unafuu wa maisha kutokana na hali ngumu ya maisha niliyopitia awamu iliyopita baada ya kukosa ajira na biashara kuwa ngumu kuliko kawaida.Ingekuwa awamu fulani ungesakwa kwa gharama yoyote
Aise hapo mwishoni umemalizia vipi mkuu sijaelewa.Kila mtu ni mlefu ila inategemea na uliesimama nae. Hata me nimekumic sana baby tena na baridi hii ndio usiseme
Angalia Mziki wa India Watu wanazikimbia Maiti kwa sababu ya ujinga wa WanasiasaWazee wa barakoa,enhe mlitabiri mikusanyiko ya kumuaga mwendazake baada ya wiki mbili mlipuko mkubwa ungetokea,vp wiki mbili nazijafika?
Na aliemlazimisha mwenzake anademka sana.Kwenye hii picha ya pili kuna mmoja anaonekana amelazimishwa hana utayari kabisa,
Main theme ya uzi inazungumzia long-run strategies za kupambana na Corona ila wewe umeona hapo barakoa.Miaka zaidi ya hamsini ya utawala wa CCM Tanzania imezalisha wapumbavu kwenye kila kona ya nchi hii!Wazee wa barakoa,enhe mlitabiri mikusanyiko ya kumuaga mwendazake baada ya wiki mbili mlipuko mkubwa ungetokea,vp wiki mbili nazijafika?
Huyu ni superstar wangu wa mwaka thats allMuda wa uchaguzi bado, sasa campaign ya nini?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app