Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Viongozi wa Tanzania wana mambo ya kushangaza sana.Nakumbuka huu mzaha uliondoka na watu lakini bado umerudiwa tena!

Imagine viongozi badala ya kuweka mikakati ya muda mrefu (Long-run strategies)ya kupambana na kirusi cha Corona ili kukizuia kisifanye mutations halafu kiwe hatari kama kile cha India, badala yake wanafanya mizahaa kama hii![emoji1][emoji1][emoji1]

Mtu hujavaa hata barakoa halafu unajifanya kuwa unajali sana juu ya Corona kwa kufanya salaam ya kudance eti unajizuia kuambukizwa Corona!Hivi kama Taifa tuna tatizo gani?Tulikosea wapi?Tuna laana gani?View attachment 1781239View attachment 1781240
Kwenye hii picha ya pili kuna mmoja anaonekana amelazimishwa hana utayari kabisa,
 
Viongozi wa Tanzania wana mambo ya kushangaza sana.Nakumbuka huu mzaha uliondoka na watu lakini bado umerudiwa tena!

Imagine viongozi badala ya kuweka mikakati ya muda mrefu (Long-run strategies)ya kupambana na kirusi cha Corona ili kukizuia kisifanye mutations halafu kiwe hatari kama kile cha India, badala yake wanafanya mizahaa kama hii![emoji1][emoji1][emoji1]

Mtu hujavaa hata barakoa halafu unajifanya kuwa unajali sana juu ya Corona kwa kufanya salaam ya kudance eti unajizuia kuambukizwa Corona!Hivi kama Taifa tuna tatizo gani?Tulikosea wapi?Tuna laana gani?View attachment 1781239View attachment 1781240
Wewe usiyefanya mizaha unatarajia kuishi miaka mingapi?
 
Ingekuwa awamu fulani ungesakwa kwa gharama yoyote
Wala nisingeruhusu wateseke kunisaka mimi mzalendo wangeniuliza nilipo ningewapa location kuwa nipo Ujiji hapa kwa mtoto wa Juma Njemba nimekuja kutafuta unafuu wa maisha kutokana na hali ngumu ya maisha niliyopitia awamu iliyopita baada ya kukosa ajira na biashara kuwa ngumu kuliko kawaida.
 
Wazee wa barakoa,enhe mlitabiri mikusanyiko ya kumuaga mwendazake baada ya wiki mbili mlipuko mkubwa ungetokea,vp wiki mbili nazijafika?
 
Unakuta huyo jamaa keshadungwa Pfizer sijui kuhusu Malkia😉
 
Wazee wa barakoa,enhe mlitabiri mikusanyiko ya kumuaga mwendazake baada ya wiki mbili mlipuko mkubwa ungetokea,vp wiki mbili nazijafika?
Angalia Mziki wa India Watu wanazikimbia Maiti kwa sababu ya ujinga wa Wanasiasa

Kwahiyo Watanzania wenzetu wanapotahadharisha mnawabeza hii kirusi ni Hatari mwanawane
 
Mkuu hapa sisi ni wasafiri, kufa ni jambo la lazima haliepukiki, usichukulie maisha serious sana mkuu, unataka uishi hadi lini? Unaijenga dunia?
 
Wazee wa barakoa,enhe mlitabiri mikusanyiko ya kumuaga mwendazake baada ya wiki mbili mlipuko mkubwa ungetokea,vp wiki mbili nazijafika?
Main theme ya uzi inazungumzia long-run strategies za kupambana na Corona ila wewe umeona hapo barakoa.Miaka zaidi ya hamsini ya utawala wa CCM Tanzania imezalisha wapumbavu kwenye kila kona ya nchi hii!
 
SAMIA SULUHU HASSAN.
Huyu Mama kanipa nguvu ya kufanya kazi bila woga,
Ni Mwanamke Shupavu,cMwelewa na mfano wa kuigwa alipopokea kijiti ndio presha ilitulia nikaona kweli amejikita katika kuisaidia Tanzania iwe nchi huru na usawa.

Hata daimond naye katuliza moyo akaenda kusalimia watoto kwa amani.
Tumepitia mengi na kwa sasa tusonge mbele.
Huyu ndio raisi akigombea 2022 to 2025 nitaenda kumpigia kura maana sio sikumpenda Magufuli hapana.
Ila nimempenda tu zaidi huyu Mama yetu mpeni tena 5.
Sisemi mengi ila kuna kipindi niliwaza kuwa karibu na watu nchi za nje.

Ili nikwee pipa nikatulize akili ila kweli hujui tu huyu mama alichonifanyia.
Nimeshusha pumzi sasa.
Nawaza hata ice cream kwa maana sikuwa na kula wala kulala.

"SAMIA SULUHU HASSAN NYOTA YA WAAFRIKA PENDA MSIPENDE "
 
Back
Top Bottom