Mnapenda sana ubabe na kutozingatia sheriaMama mpole mno
Nipe definition ya shujaa wa Africa, na anatakiwa awe na vigezo gan mpaka apewe jina la shujaa wa AfricaAwamu ya tano tulikuwa na shujaa wa Afrika, tulikuwa mstari wa mbele katika vita ya kiuchumi dhidi ya mabeberu
Tuliposifiwa kuwa na utawala bora kipindi cha Mkwere,wote tulijua nini kinaendelea mtaani na serikalini. Sijui kwanini huwa ni rahisi kwa wenye madarasa mengi kichwani kugeuzwa kugeuzwa na kupoteza kabisa maarifa asilia.Hapana yupo sahihi maana utawala wa sheria huanza kwanza kwa kusema na kuonya na baadae kiongozi anachukua hatua kama akiona hubadiliki.
JK pamoja na madhaifu yake lakini kazi yake inaonekana mpaka leo na hakuhitaji promotion kama mwendazakeTuliposifiwa kuwa na utawala bora kipindi cha Mkwere,wote tulijua nini kinaendelea mtaani na serikalini. Sijui kwanini huwa ni rahisi kwa wenye madarasa mengi kichwani kugeuzwa kugeuzwa na kupoteza kabisa maarifa asilia.
Beberu unaemtaka anunue dhahabu zako na aje afanye utalii akulipe ili upate hela ya kununua ndege ni beberu au mfadhili?mabeber walikuwa akina nani?
vip mlishinda?
Awe anatukana Wazungu na kufagilia wachinaNipe definition ya shujaa wa Africa, na anatakiwa awe na vigezo gan mpaka apewe jina la shujaa wa Africa
Kwa vipimo vyovyote, common or uncommon, SSH anafaa na atatufikisha pazuri zaidi kuliko yule mu-imla.Hakuna ubishi sasa hali yetu imerejea kama ile tuliyoizoea siku zote. Hali ya kutumia common sense zetu kuendesha mambo yetu.
Common sense hufanya na kufanikisha mambo ambayo ni common pia. Kama hupendi kuwa common usitumie common sense, badala yake tumia uncommon sense ili ikupe uncommon mafanikio.
Mfano, wazungu kuja kutafuta makoloni Africa walitumia uncommon sense zao, kama wangetumia common sense wasingehatarisha maisha yao kutafuta watu wa kuwatawala na kuwanyonya. MTU anaetumia common sense hawezi kuwa shoga kwakuwa common sense inamtaka aoe mwanamke sio mwanaume mwenzake. Common sense inamfanya MTU aogope kufa, kutengwa, kuumizwa na kuugua. Common sense imekosana sana na kujaribu kitu kipya kwakuwa present is known and safe. Uncommon sense inawafanya watu kuthubutu bila kujali matokeo yatakayopatikana.
Common sense ni ile inayosema "kwa muoga kunakwenda kicheko lakini kwa shujaa kunakwenda kilio"
Common sense inajali zaidi wengine, utu wao na haki za wengine. MTU anaetumia common sense ana marafiki wengi na maadui wachache.
.
🤣🤣🤣Awe anatukana Wazungu na kufagilia wachina
Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3. Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4. Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5. Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7. Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8. Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.I
IyII
Iyo no 5 sio SSH rais tu bali hata ambaye anaweza kumfuata Kama Rais 2025 bila kujali anatoka chama gani ,ikitokea akatekeleza mpango huo , Basi ajiandae na lahana ambayo haiwezi kukoma kwake binafsi ,mh rais SSH usidhubutu kutekeleza mpango wa kurudisha serikali Dar ,wanaosema haya hawakutakii mema, kwanza wengi wanawaza anasa zao sio tz ya kesho ,so ukisikia kiongonzi wako anashabikia fukuzia mbaliMh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3. Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4. Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5. Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7. Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8. Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
Sio ss tuu hata wao na Rais wanasema awamu ya sita. Sasa cjaelewa kati ya ww na Rais na wastaafu nan ajua zaid mamb ya protocolHivi mama samia aligombea uongozi wa uraisi?! Kama hakuugombea mbona nyie baadhi ya raia mnatumia neno awamu ya 6?!
Huyu mama ni Kaimu Raisi na si raisi kamili. Awamu aliyopo ni ya kukaimu si ya kupewa mamlaka kwa matokeo matokeo ya tume ya uchaguzi.
Mkuu watu wa aina hii nikuwaombea tu , hawajui walitendalo, mungu awasaidieSio ss tuu hata wao na Rais wanasema awamu ya sita. Sasa cjaelewa kati ya ww na Rais na wastaafu nan ajua zaid mamb ya protocol
Ndio hayo hatuyajui kwa kuwa hatua stahiki hazikufuatwa! Bado ni experimental 'vaccine' ambayo imeshafeli kukinga mafua menyewe hayo! Inaweza pia ikawarudisha porini na kuwa waporipori! Haya yote ni mapema mno kuyajua...ndio maana ni ujuha kushupalia kuchanjwa😡!Kwa hio wale waliochanjwa tayari sio badamu ni viumbe wengine ? cells zao zimesha misbehave wamekuwa tayari viumbe wengine?
What if wakibadirika wakawa the best species halafu chanjo ikapanda bei nawe ukabaki hivyo hivyo huku wenzio wamekuwa viumbe wengine, mfano nyani na binadamu ,nyani tuliwaacha porini sisi tukasogea mjini baada ya DNA zetu kubadirika wao bado wanaparamia miti sisi tunaendesha bodaboda.
Kuna watu watabaki kuwa primitive himan wakati wenzao wamekuwa superhuman.
Waambie na ww hao wanasayansi uchwara 😡!Wanasayansi mnatumika tu na mabwana zenu. Tanzania tuna tatizo kubwa kiasi kuwazidi waliochanjwa? Kuna haja gani ya chanjo wakati waliochanjwa hali inazidi kuwa mbaya kuliko sisi tusiochanjwa?