field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 2,061
- 4,686
Rais anaomba polisi waangalie kuhusu PF-3. Mheshimiwa toa amri hiyo PF-3 ifutwe, kwanza taratibu hii haikuwekwa na bunge, ni utaratibu wa ovyo.Wakuu Salaam,
Jana Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, wakati akizindua kiwanda cha ushonaji cha Polisi kuna kauli alizitoa ambazo binafsi naona hakupaswa kuzitoa hasa kwa kuzingatia kuwa yeye ndiye mtu mwenye nguvu na mamlaka na dhamana kubwa kabisa kwa sasa ndani ya JMT.
Jambo la kwanza alionyesha kushangazwa na vitendo vya matapeli wa kwenye mitandao ya simu ilhali sote tumesajiliwa kwa alama za vidole, jambo hili ni kweli linatushangaza wengi inakuaje hawakamatwi na kushughulikiwa kirahisi na bado wanaendelea, lakini yeye kwa nafasi na mamla aliyonayo alitakiwa kusimama kwenye zamu na nafasi yake kwanza kwa kuonyesha kutoridhishwa na kufutahishwa na jinsi watendaji wanavyoshughulikia swala hilo na pili atoe maelekezo ya nini anataka kuona kinafanyika tena haraka, lakini si kusema tu kuwa na yeye anashangaa, swali linabaki kuwa uongozi wake juu ya jambo hili ni upi?
Jambo la pili ni kuhusu kesi za kubambikiza, ameonyesha kuridhishwa na TAKUKURU kufuta kesi nyingi ambazo wameona hazikua sahihi, halafu akawaambia Polisi wajitafakari. Kama kiongozi liko tatizo ameliona ilikua jambo zuri angeonyesha alichokiona kisha atoe maelekezo ya utekelezaji, mfano ili kupunguza msongamano wa wafungwa JPM hakumwambia DPP ajitafakari bali alimwagiza aende magerezani aonane na mahabusi ili aone kesi za kufuta lakini pia azungumze na watu walio tayari kulipa fedha waachiwe. Hadi akafikia hatua ya kusema hayo ina maana yako mambo ambayo yeye ameyaona ambayo inawezekana watendaji wa maeneo husika either hawajayaona au wanayaona ni ya kawaida, sasa kiongozi kama mbeba maono jukumu lake ni kuwaonyesha yale anayoyaona na kuwaelekeza wayafanye.
Kama mimi kila siku ninapotoka nyumbani kwangu napita mlangoni kwa kupiga sarakasi, ukiniona ukashangaa kuwa nafanya kitu cha ajabu halafu ukaniambia nijitafakari wakati mimi naona ni kitu cha kawaida, usitegemee kuona mabadiliko.
Mama usishangae, kama sisi wananchi tusio na mamlaka, wewe ndiye kiongozi wetu uliye mbele yetu, toa maelekezo, kemea, amrisha mambo yaende.
Mwalimu wa rais sasa alishawahi kushangaa kwanini Tanzania masikini wakati ni rais,itakuwa huyu?... hoja nzuri! "Kushangaa kwa Rais" kimsingi sio kushangaa kwa kawaida kwa maana ya halisi ya neno hilo; kushangaa kwa Rais ni onyo na maelekezo kwa mwenye kufikiri. Waliozoea "stata mzuka" za "nimtumbue, nisimtumbueee"; "tumbuaaa" bila kushirikisha ubongo au kujali utawala wa sheria sembuse "haki ya kusikilizwa" wanadhani Rais anashangaa.
... ni kazi ya Rias kuuza umeme?Mwalimu wa rais sasa alishawahi kushangaa kwanini Tanzania masikini wakati ni rais,itakuwa huyu?
Naomba mfikishieni nahitaji kununua LUKU maana imegoma tokea juzi
Sahihi kabisa mkuu... hoja nzuri! "Kushangaa kwa Rais" kimsingi sio kushangaa kwa kawaida kwa maana ya halisi ya neno hilo; kushangaa kwa Rais ni onyo na maelekezo kwa mwenye kufikiri. Waliozoea "stata mzuka" za "nimtumbue, nisimtumbueee"; "tumbuaaa" bila kushirikisha ubongo au kujali utawala wa sheria sembuse "haki ya kusikilizwa" wanadhani Rais anashangaa.
Muulize dingi yako mkuuk
kazi yake ipi?
Mkuu 'Itoye', nikiri hapa, sijawahi kukusoma humu JF.Wakuu Salaam,
Jana Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, wakati akizindua kiwanda cha ushonaji cha Polisi kuna kauli alizitoa ambazo binafsi naona hakupaswa kuzitoa hasa kwa kuzingatia kuwa yeye ndiye mtu mwenye nguvu na mamlaka na dhamana kubwa kabisa kwa sasa ndani ya JMT.
Jambo la kwanza alionyesha kushangazwa na vitendo vya matapeli wa kwenye mitandao ya simu ilhali sote tumesajiliwa kwa alama za vidole, jambo hili ni kweli linatushangaza wengi inakuaje hawakamatwi na kushughulikiwa kirahisi na bado wanaendelea, lakini yeye kwa nafasi na mamla aliyonayo alitakiwa kusimama kwenye zamu na nafasi yake kwanza kwa kuonyesha kutoridhishwa na kufutahishwa na jinsi watendaji wanavyoshughulikia swala hilo na pili atoe maelekezo ya nini anataka kuona kinafanyika tena haraka, lakini si kusema tu kuwa na yeye anashangaa, swali linabaki kuwa uongozi wake juu ya jambo hili ni upi?
Jambo la pili ni kuhusu kesi za kubambikiza, ameonyesha kuridhishwa na TAKUKURU kufuta kesi nyingi ambazo wameona hazikua sahihi, halafu akawaambia Polisi wajitafakari. Kama kiongozi liko tatizo ameliona ilikua jambo zuri angeonyesha alichokiona kisha atoe maelekezo ya utekelezaji, mfano ili kupunguza msongamano wa wafungwa JPM hakumwambia DPP ajitafakari bali alimwagiza aende magerezani aonane na mahabusi ili aone kesi za kufuta lakini pia azungumze na watu walio tayari kulipa fedha waachiwe. Hadi akafikia hatua ya kusema hayo ina maana yako mambo ambayo yeye ameyaona ambayo inawezekana watendaji wa maeneo husika either hawajayaona au wanayaona ni ya kawaida, sasa kiongozi kama mbeba maono jukumu lake ni kuwaonyesha yale anayoyaona na kuwaelekeza wayafanye.
Kama mimi kila siku ninapotoka nyumbani kwangu napita mlangoni kwa kupiga sarakasi, ukiniona ukashangaa kuwa nafanya kitu cha ajabu halafu ukaniambia nijitafakari wakati mimi naona ni kitu cha kawaida, usitegemee kuona mabadiliko.
Mama usishangae, kama sisi wananchi tusio na mamlaka, wewe ndiye kiongozi wetu uliye mbele yetu, toa maelekezo, kemea, amrisha mambo yaende.
"Tathmini ya kufanya ni kuangalia je hayo anayoyataja yanafanyiwa kazi"?Naona wengi wanalisema hilo. Huenda lina ukweli ndani yake. Lakini kingine huenda ndio personality ya Mama. Sio rahisi akabadilika na kuwa mkali. Tathmini ya kufanya ni kuangalia je hayo anayoyataja yanafanyiwa kazi? Hilo ndio muhimu.
'misasa'!Mwalimu wa rais sasa alishawahi kushangaa kwanini Tanzania masikini wakati ni rais,itakuwa huyu?
Naomba mfikishieni nahitaji kununua LUKU maana imegoma tokea juzi
Baada ya kushangaa alikuwa anamaliziajeMbona yule mwingine alikuwa anashangaa kana kwamba nchi ilitawaliwa na chadema?
Ni kama sukuma gang bado mna wenge na style ya utawala wa mwendazakeWakuu Salaam,
Jana Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, wakati akizindua kiwanda cha ushonaji cha Polisi kuna kauli alizitoa ambazo binafsi naona hakupaswa kuzitoa hasa kwa kuzingatia kuwa yeye ndiye mtu mwenye nguvu na mamlaka na dhamana kubwa kabisa kwa sasa ndani ya JMT.
Jambo la kwanza alionyesha kushangazwa na vitendo vya matapeli wa kwenye mitandao ya simu ilhali sote tumesajiliwa kwa alama za vidole, jambo hili ni kweli linatushangaza wengi inakuaje hawakamatwi na kushughulikiwa kirahisi na bado wanaendelea, lakini yeye kwa nafasi na mamla aliyonayo alitakiwa kusimama kwenye zamu na nafasi yake kwanza kwa kuonyesha kutoridhishwa na kufutahishwa na jinsi watendaji wanavyoshughulikia swala hilo na pili atoe maelekezo ya nini anataka kuona kinafanyika tena haraka, lakini si kusema tu kuwa na yeye anashangaa, swali linabaki kuwa uongozi wake juu ya jambo hili ni upi?
Jambo la pili ni kuhusu kesi za kubambikiza, ameonyesha kuridhishwa na TAKUKURU kufuta kesi nyingi ambazo wameona hazikua sahihi, halafu akawaambia Polisi wajitafakari. Kama kiongozi liko tatizo ameliona ilikua jambo zuri angeonyesha alichokiona kisha atoe maelekezo ya utekelezaji, mfano ili kupunguza msongamano wa wafungwa JPM hakumwambia DPP ajitafakari bali alimwagiza aende magerezani aonane na mahabusi ili aone kesi za kufuta lakini pia azungumze na watu walio tayari kulipa fedha waachiwe. Hadi akafikia hatua ya kusema hayo ina maana yako mambo ambayo yeye ameyaona ambayo inawezekana watendaji wa maeneo husika either hawajayaona au wanayaona ni ya kawaida, sasa kiongozi kama mbeba maono jukumu lake ni kuwaonyesha yale anayoyaona na kuwaelekeza wayafanye.
Kama mimi kila siku ninapotoka nyumbani kwangu napita mlangoni kwa kupiga sarakasi, ukiniona ukashangaa kuwa nafanya kitu cha ajabu halafu ukaniambia nijitafakari wakati mimi naona ni kitu cha kawaida, usitegemee kuona mabadiliko.
Mama usishangae, kama sisi wananchi tusio na mamlaka, wewe ndiye kiongozi wetu uliye mbele yetu, toa maelekezo, kemea, amrisha mambo yaende.
Mama mpole mno
Hujui kilichotokea au unahisi rais kama vendor?... ni kazi ya Rias kuuza umeme?
Kwanini mkuu?'misasa'!
Mtu hatari sana, bila ya kuonekana kuwa ni hatari!
'Stealth'
Sidhani kama Sukuma gang wanaelewa hili... ni kazi ya Rias kuuza umeme?
Hii ni kweli ...nilitegemea mama ajue tatizo lipo wapi na atoe maelekezo ya kuchukuliwa hatua kwa wabambikizaji....Pia atoe amri kali kwa Polisi kulifanyia kazi ndani ya muda maalum na kumletea ripoti ili achukue hatua....sasa kujitafakari kwa mbongo sana sana ni kwenda kupiga vyombo na vitu kama hivyoWakuu Salaam,