Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Sisi wazawa wa nchi hii tunajua kuwa dhalim aliiharibu nchi na Mama anairudisha nchi kwenye mstari. Tanzania kwanza vyama baadae. Asiyetaka Watanzania kuwa kitu kimoja asage sumu anywe afe.
 
Shaka hawezi kuyaishi maono ya Magufuli maana JPM alikwishamuweka kando kwa mambo yake ya kutoa RUSHWA kwenye uchaguzi ndani ya CCM. Anachokifanya mama kwa sasa ni kupingana na Itikadi ya JPM ndo maana unaona anawarudisha akina Shaka, kimsingi nchi iko shaghalabagala
 
Huyu mama akitaka kutawala vizuri akisimamie chama, kuongoza chama sio jambo rahisi kuna watu wanakuchekea, wanakupamba ukiondoka huku nyuma wanafanya yao nq hiyo ndio njia pekee ya kuongoza nchi
 
Wacha afasishe kwanza, jumba bado lina uvundo!!
 
Kujenga chama ni kuwaongoza wananchi kwa uadilifu bila ubaguzi, baadae automatically chama kitajengeka acha uccm kipindi hichi
 
Asalaam aleykum Mama!

Mama kifupi mtaani njaa ni Kali binafsi hata hela ya kula Sina biashara sipati wateja wakikopa hawalipi.

Mama, tafuta washauri mshauriane namna ya kulegeza kidogo, maana haiwezekana wanaodaiwa washindwe kulipa na kila unamuomba hela akuazime hana.

Mama ndoa zipo matatani okoa wanawake wenzako, ada azilipiki, hospital hapaendeki, mikopo hailipiki.... Yaan hatujui tufanye nini ila kiukweli twafaaaaaaaaaaaaa😫😫😫😫😫
 
Subiri mambo yanawekwa sawa.. July mzigo wa maana super kabisa unamwaga mtaani
 
Ugonjwa unapo kuingia kutoka ni mdogo mdogo
 
July wap na anasema uchumi umeshuka?? Tulifarijika jiwe hayupo mambo yata change haraka kumbe effect ni kuubwa
Hhahaaaaa
Wademkaji walijua JPM akiondoka fedha itaokotwa mtaaani imezagaaa. Ngoja tuisome namba mpaka akili ikae mahala pake. Kazi Iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…