Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

UMEMKOSEA HADHI RAIS NENO "ACHA"
Halafu unasema unashauri.
Jifunze kuandika kitu chenye maudhui,pia huna mamlaka yakumpangia Rais ahutubie lini na wakati gani.
Aweza hutubia hats usiku wamanane kupitia vyombo vya habari.

Ndugu mtoa mada fahamu kuwa Rais ni Amiri Jeshi Mkuu,hatendi kiuanaharakati ktk majukumu yake.
 
Uko Wapi Mkuu ambako hakuna Mzunguko..? Badili Channel ...Ikibidi Hama Chama Kabisa, wasikutanie hao...!!
 
👍👍
 
SIO KAZI YA RAIS KUWAJUA WATU WOTE,MFUMO WA URAIS KAMA TAASISI UNAWAJUA HAO WATEULE HADI WALIKOZALIWA,HIVYO HAJAKOSEA.Nyie vipi hats wajukuu wake hawajui ila kupitia watoto wake atawajua taratibu.
MSIMPANGIE DELILAH
 
"Wakati hatuna pesa"

Wewe na nani?
 
Wewe Neuter, wacha kumpangia Mama. Ashasema Rais hakosei na ni kweli anajua anachofanya

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Madhara yake ni yapi? Tueleza basi ili nasisi tumshauri zaidi.
 
Dunia inaenda kasi mubashara ni muhimu.

Ila rundo la wakuu wa mikoa kutinga Dodoma kushuhudia viapo ndio limenishangaza labda kama kuna majukumu mengine!
Wote hao Wakuu wa Mikoa nao pia wamekula perdiem!! Kodi tamu sana!!
 
Mjuba alikaba wafanyabiashara pesa zikaelekezwa kwenye miundombinu.

Kazi ya mama ilikiwa ndogo sana, kushikilia pale pale, ila matumizi yawe tofauti,impact ilikuwa within a week.

Lakini kosa la kwanza lilikuwa kuamini wafanyabiashara sio watu wa kuwacommand.
 
Najitahidi Kukuelewa nimeshindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…