Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kwani zamani mlikuwa hamkusanyiki? Mbona 2019 mlifanya chaguzi zenu za ndani nzima?
Hata mikutano ya ndani iliwekewa zengwe sana. Jamaa alikuwa hafanyi poa. Huwezi kuwa mwonevu kiasi hicho kwa binadamu mwenzako.
Ile ilikuwa roho mbaya sana.
 
Jana ilikuwa jpili
2035? Na sisi tupo tu tunaangalia anavyovunja katiba?
Subiri moto wa tarehe 1 kama CCM mtakuwa na hamu ya kuendelea kutawala
Sasa hivi ukinogewa tu na Rais mnaanza kumuomba aongeze Muda katiba ni mali yake
Mbona mtangulizi wake alitaka kutanua na aliungwa mkono?
Na sisi tunazidi kumupmba atanue katiba ni yake na Chair ni yeye
Madam anaupiga mwingi zaidi ya Nado!!!
 
Mataga hamna jipya acheni weweseka....
Zama hizi zingine mtulie
 
Hata mikutano ya ndani iliwekewa zengwe sana. Jamaa alikuwa hafanyi poa. Huwezi kuwa mwonevu kiasi hicho kwa binadamu mwenzako.
Ile ilikuwa roho mbaya sana.
Pale mlimani city si hadi mkasema ule ukimbi kwa jinsi ulivyopendeza mnatamani muununue?
 
Tena Raisi Samia anatakiwa awe kiguru na njia kuliko Maraisi wanaume ili kuwakata ngebe wahafidhina
 
Kwanza mimi sio mfuasi wa chama chako Cha CCM na ninaomba usiku na mchana chama chako kianguke.

Lakini hii hainifanyi nisipongeze pale unapofanya vizuri, kwanza shukrani kwa mazuri yote unayofanya japo najua ni wajibu wako....
Mbona haya maneno yako hukuwahi kumwambia jiwe ?
 
Kwanza mimi sio mfuasi wa chama chako Cha CCM na ninaomba usiku na mchana chama chako kianguke.

Lakini hii hainifanyi nisipongeze pale unapofanya vizuri, kwanza shukrani kwa mazuri yote unayofanya japo najua ni wajibu wako...
Jiwe alikuwa anatembea na screen kila pahala
 
Pale mlimani city si hadi mkasema ule ukimbi kwa jinsi ulivyopendeza mnatamani muununue?
Sugu alifatwa ndani ya ukumbi na polisi akakamatwa kabisa kwenda kuhojiwa ili mradi mkutano uvurugike.
Anyway hizo zama zimepita.
Mdude yupo huru
 
Mama anaupiga mwingi sana. sana. Wachezaji team pinzani wamekaa tu wanasubiria mama anaendelea kuupiga mwingi golini kwake.

Vyenga, Kanzu na locomotive faints nyingi sana akiwa nusu ya upande wake wa uwanja. Watu wanamshangilia sana hapa uwanjani. Anaupiga mwingi sana. Halafu anarudisha kwa kipa anapasiwa tena anaanza kuupiga mwingi ...danadana,control chumba....

Wapinzani wametulia tu wanamwangalia anaupiga mwiiiiiingi.tumpe muda aendeleee kuupiga mwingi.
 
Tumpe muda airekebishe nchi. Mnaaanzaje kutaka katiba kipindi ambacho nchi ipo vibaya?

Tumieni akili kidogo. Nchi mama ameikuta katika hali mbaya kiuchumi. Acheni aisimamishe kwanza. Ikiweza simama ndo mtakuja jadiliana mambo ya katiba.

Kwa sasa mtulie tumpe muda mama.
 
Arekebishe nchi nani ameiharibu hiyo nchi? Ni CCM wenyewe tena unataka warekebishe kama mmeshindwa miaka 60 kurekebisha hii minne mtaweza?
 
Back
Top Bottom