Hata mikutano ya ndani iliwekewa zengwe sana. Jamaa alikuwa hafanyi poa. Huwezi kuwa mwonevu kiasi hicho kwa binadamu mwenzako.Kwani zamani mlikuwa hamkusanyiki? Mbona 2019 mlifanya chaguzi zenu za ndani nzima?
Sasa hivi ukinogewa tu na Rais mnaanza kumuomba aongeze Muda katiba ni mali yakeJana ilikuwa jpili
2035? Na sisi tupo tu tunaangalia anavyovunja katiba?
Subiri moto wa tarehe 1 kama CCM mtakuwa na hamu ya kuendelea kutawala
Pale mlimani city si hadi mkasema ule ukimbi kwa jinsi ulivyopendeza mnatamani muununue?Hata mikutano ya ndani iliwekewa zengwe sana. Jamaa alikuwa hafanyi poa. Huwezi kuwa mwonevu kiasi hicho kwa binadamu mwenzako.
Ile ilikuwa roho mbaya sana.
Watu walilemaa sanaUrais siyo usiri siri na wala siyo uchawi. Mwache awe mtu wa watu na awahutubie watu
Mbona haya maneno yako hukuwahi kumwambia jiwe ?Kwanza mimi sio mfuasi wa chama chako Cha CCM na ninaomba usiku na mchana chama chako kianguke.
Lakini hii hainifanyi nisipongeze pale unapofanya vizuri, kwanza shukrani kwa mazuri yote unayofanya japo najua ni wajibu wako....
Jiwe alikuwa anatembea na screen kila pahalaKwanza mimi sio mfuasi wa chama chako Cha CCM na ninaomba usiku na mchana chama chako kianguke.
Lakini hii hainifanyi nisipongeze pale unapofanya vizuri, kwanza shukrani kwa mazuri yote unayofanya japo najua ni wajibu wako...
Hao ni MATAGA wamechanganyikiwa jinsi mama anavyo upiga mwingi na kumfunika jiweUrais siyo usiri siri na wala siyo uchawi. Mwache awe mtu wa watu na awahutubie watu
Sugu alifatwa ndani ya ukumbi na polisi akakamatwa kabisa kwenda kuhojiwa ili mradi mkutano uvurugike.Pale mlimani city si hadi mkasema ule ukimbi kwa jinsi ulivyopendeza mnatamani muununue?
Hajui hata pakwenda kufungaTatizo anachezea nje ya uwanja huyu Bi Mkubwa wako.
Arekebishe nchi nani ameiharibu hiyo nchi? Ni CCM wenyewe tena unataka warekebishe kama mmeshindwa miaka 60 kurekebisha hii minne mtaweza?Tumpe muda airekebishe nchi. Mnaaanzaje kutaka katiba kipindi ambacho nchi ipo vibaya?
Tumieni akili kidogo. Nchi mama ameikuta katika hali mbaya kiuchumi. Acheni aisimamishe kwanza. Ikiweza simama ndo mtakuja jadiliana mambo ya katiba.
Kwa sasa mtulie tumpe muda mama.