jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Acha nongwa jina halina maana moja,Moderator
Hii Id sio nzuri kabisa kuisoma, mnairuhusuje?
Kuna mafuta ya nabii huko nasikia ukiweka tone moja unasukuma chuma kilomita 200, pakuyapata sasa ndio shughuliNajuta kununua Chuma ya cc 2900 wallah...☝️
Najuta kununua Chuma ya cc 2900 wallah...☝️
Wanakwambia bora uagize Zambia wakutumie kwenye madumu kuliko hapa akupimie Mwigulu.Vipi uchumi wa katiNajuta kununua Chuma ya cc 2900 wallah...☝️
Hata asipotoa katiba,aache mikutano watu watachoka wenyewe ku
Zanzibar bei Chee.Wanakwambia bora uagize Zambia wakutumie kwenye madumu kuliko hapa akupimie Mwigulu.Vipi uchumi wa kati
Zanzibar mafuta 1900Zanzibar bei Chee.
Najuta kununua Chuma ya cc 2900 wallah...[emoji3516]
Duh huyu pia ana mawazo!Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa..
Huyu jamaa aliyenipinga hajielewi,ama haelewi maana ya fao la kujitoa au ni mbumbumbu asiyejua maana ya interests .Fao la kujitoa linakuwaje interest binafs?Fao la kujitoa sio in
Fao la kujitoa sio interest ya mtu mmoja ni suala la kitaifa na kisera zaidi. Vijana wengi walioajiliwa sekta binafsi ni wahanga wa hili na wanapomaliza mikataba yao ni vyema wakapewa pesa zao ili wakajiajili kuimarisha uchumi...
Umeongea vizuri sanaMimi nasubiria vitendo! Maana kama ni maneno matamu tu, hata kwenye kanga yapo!
All in all, namtakia kila la heri. Muhimu asikengeuke tu kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
Salamu za wakurugenzi lini?Nina salamu za MaRC, Dc na Wakurugenzi!