Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
MAJENGO hayampi Mtu Legacy mkuu Mandela Hakujenga JENGO LOLOTE afrika Kusini lakini Atakumbukwa MILELEYale maghorofa yalivyokaa bila kuisha yanaumiza, tukaze moyo yamalizwe.
Pia unaweza kuisuka Kigamboni ikawa njia ya kuifungua Dsm
Kuna duka la dawa nilihudumiwa nilipo omba risit ilikuwa vita kubwa.Daaah hii kweli kabisa , sasa hivi kupewa efd receipts imekuwa shida
Mi nashangaa kwann tra wako kimya !!Kuna duka la dawa nilihudumiwa nilipo omba risit ilikuwa vita kubwa.
Licha ya mapungufu ya Magufuri kwenye kodi asilete mzaha.
Unalo daftari la walipa kodi nchini au unabwabwaja tu!Hakuna mtu anayependa kulipa kodi, nadhani wewe mwenyewe umeshuhudia lawama unazopokea kwa sasa.
Iko hivi, hakuna mfanyabiashara duniani, anayetoa kodi kwa hirai na furaha, ni kwa sababu tu wanabanwa.
Wanasoka Nguli duniani, matajiri wanakwepa kodi licha ya utajiri wanaomiliki.
Sembuse watanzania?
Mtangulizi wako baada ya kuwabana watu watoe kodi, wakakimbia nchi, nakushutumu mazingira mabaya ya biashara nchini. Mwenzako, akakomaa hivyo hivyo kubana, akapata pesa ya kupeleka maji sehemu zilizosahaurika kama Tabora.
Leo hii waliokimbia kutoa kodi, wanatuambia rais haleti maendeleo kinacholeta ni kodi, kodi ipi kama walikimbia kulipa kodi.
Mwisho, usipokaza utaendelea kuwanyonya maskini (Ambao ni 90%) ya watanzania. Na kuacha wenye kipato kikubwa wakitesa.
Jiwe hakuwatoza watu kodi bali aliwadhulumu hela zaoHakuna mtu anayependa kulipa kodi, nadhani wewe mwenyewe umeshuhudia lawama unazopokea kwa sasa.
Iko hivi, hakuna mfanyabiashara duniani, anayetoa kodi kwa hirai na furaha, ni kwa sababu tu wanabanwa.
Wanasoka Nguli duniani, matajiri wanakwepa kodi licha ya utajiri wanaomiliki.
Sembuse watanzania?
Mtangulizi wako baada ya kuwabana watu watoe kodi, wakakimbia nchi, nakushutumu mazingira mabaya ya biashara nchini. Mwenzako, akakomaa hivyo hivyo kubana, akapata pesa ya kupeleka maji sehemu zilizosahaurika kama Tabora.
Leo hii waliokimbia kutoa kodi, wanatuambia rais haleti maendeleo kinacholeta ni kodi, kodi ipi kama walikimbia kulipa kodi.
Mwisho, usipokaza utaendelea kuwanyonya maskini (Ambao ni 90%) ya watanzania. Na kuacha wenye kipato kikubwa wakitesa.
Nilijua tu unataka kumwongelea mwenda zake.Hakuna mtu anayependa kulipa kodi, nadhani wewe mwenyewe umeshuhudia lawama unazopokea kwa sasa.
Iko hivi, hakuna mfanyabiashara duniani, anayetoa kodi kwa hirai na furaha, ni kwa sababu tu wanabanwa.
Wanasoka Nguli duniani, matajiri wanakwepa kodi licha ya utajiri wanaomiliki.
Sembuse watanzania?
Mtangulizi wako baada ya kuwabana watu watoe kodi, wakakimbia nchi, nakushutumu mazingira mabaya ya biashara nchini. Mwenzako, akakomaa hivyo hivyo kubana, akapata pesa ya kupeleka maji sehemu zilizosahaurika kama Tabora.
Leo hii waliokimbia kutoa kodi, wanatuambia rais haleti maendeleo kinacholeta ni kodi, kodi ipi kama walikimbia kulipa kodi.
Mwisho, usipokaza utaendelea kuwanyonya maskini (Ambao ni 90%) ya watanzania. Na kuacha wenye kipato kikubwa wakitesa.
Tunatoa kodi mtu anaenda kununulia wanasiasa na kurudia chaguzi na kuhonga wasiojulikana. Huo ni upopomaHakuna mtu anayependa kulipa kodi, nadhani wewe mwenyewe umeshuhudia lawama unazopokea kwa sasa.
Iko hivi, hakuna mfanyabiashara duniani, anayetoa kodi kwa hiari na furaha, ni kwa sababu tu wanabanwa.
Wanasoka Nguli duniani, matajiri wanakwepa kodi licha ya utajiri wanaomiliki.
Sembuse Watanzania?