Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

nakushambulia kwa mambo mawili tu, moja lako binafsi na la pili la kiutawala zaidi......

1. nijuavyo wewe ni muumini safi wa dini ya kiislamu.......dini ambayo baadhi ya makatazo yake makubwa, hususani katika uongozi, ni kukandamiza wanyonge na kukemea maasi na viashiria vyake.

mama, sasa iweje tena katika kipindi ambacho ndo una nguvu zaidi ya mtu yeyote katika nchi hii wanyonge hawa ndiyo umewapandishia kodi namna hii? watumizi wakubwa wa hiyo miamala ni wanyonge wa kutuma na kutoa 5000/=, 2000/=,6000/= n.k. maelfu ya wananchi wako wapo hapo. hata hao mabodaboda wapo wanaorusha salio kila siku kwa bosi......sasa hivi wameshakwama.

mama, sasa iweje tena katika kipindi ambacho una nguvu zaidi ndiyo pombe inashuka bei badala ya kupanda huku vyengine vikipanda? ulevi ndiyo baba wa maasi....ngono, familia kusambaratika, kulega nguvu kazi ya taifa n.k. juzi baba yangu mdogo amemwacha mtoto wake wa miaka 2.5 bar saa 4 usiku. mtoto akachukuliwa na polisi baba ikamlazimu kutoa kiasi kidogo kama faini, lkn ndo limeshatokea........nina hofu yatatokea mengi zaidi.

2. bado yapo ya kuiga kutoka kwa mwendazake.............umesikia yaliyotokea tunduma huko leo?!!!! wameanza kwa kuchoma ofisi yako ya serikali ya mtaa; wanakuja hao, ohooooo!!!!! kuhusu binadamu, nimejifunza duniani hapa hawamhitaji mtu mpole na mpenda watu na mwenye huruma awe kiongozi wao:-

angalia dunia inavyoliimba jina la trump,

angalia linavyoimbwa jina la kim jon un,

angalia linavyoimbwa jina la vladimir putin,

angalia jina la kagame, durtete, magufuli n.k

mama, likipita hili, kesho linatokea jingine kutoka kwa wengine......badala ya kupiga maendeleo utamaliza muda kupambana nao na mwisho wa siku watakunanga ukishatoka kwamba hukufanya lolote lile. case study; jk
 
SSH RAIS, Mungu anakupa ujumbe pitia kwetu au kwangu,

Ongonza nchi kadri ya kipawa Chako alicho kupa tangu unafungua macho YAKO Hapa Duniani ,wakati unazaliwa, Mungu anakwambia hao wanafiki waliokuzunguka , wapo KWA hisia za kidunia na matumbo yao hamna lolote NDANI yao juu ya taifa Hili,

Sasa ukikataa sawa ,ukisikia sawa , nakuachia ila ujumbe ukufikie kama ulivyo mengine nabaki nayo, ila KWa msisitizo ukichukulia ni yakawaida tegemea mapigo 47 NDANI ya utawala wako ,asema bwana
 
Misukule ya Jiwe mnahaha Sana. Kitabu chake kilishafungwa!
 
SSH RAIS, Mungu anakupa ujumbe pitia kwetu au kwangu,

Ongonza nchi kadri ya kipawa Chako alicho kupa tangu unafungua macho YAKO Hapa Duniani ,wakati unazaliwa, Mungu anakwambia hao wanafiki waliokuzunguka , wapo KWA hisia za kidunia na matumbo yao hamna lolote NDANI yao juu ya taifa Hili,

Sasa ukikataa sawa ,ukisikia sawa , nakuachia ila ujumbe ukufikie kama ulivyo mengine nabaki nayo, ila KWa msisitizo ukichukulia ni yakawaida tegemea mapigo 47 NDANI ya utawala wako ,asema bwana
Ameanza kupoteza muelekeo taratibu.
 
Mama akitawala nchu kuwafurahisha magenge yaliyotufikisha hapa Mungu mi mwema siku zote, siku zake zitakuwa chache. Bwana alitenda, anatenda na atatenda.

Ongoza nchi kwa haki inawezekana na iko mikononi mwako Mama
 
SSH RAIS, Mungu anakupa ujumbe pitia kwetu au kwangu,

Ongonza nchi kadri ya kipawa Chako alicho kupa tangu unafungua macho YAKO Hapa Duniani ,wakati unazaliwa, Mungu anakwambia hao wanafiki waliokuzunguka , wapo KWA hisia za kidunia na matumbo yao hamna lolote NDANI yao juu ya taifa Hili,

Sasa ukikataa sawa ,ukisikia sawa , nakuachia ila ujumbe ukufikie kama ulivyo mengine nabaki nayo, ila KWa msisitizo ukichukulia ni yakawaida tegemea mapigo 47 NDANI ya utawala wako ,asema bwana
Madelu anamharibia kwa maslahi binafsi...AMAKINIKE...!!!!
 
Bashiru alidukuliwa akisema kwamba anachojua mama ni “kufunga ushungi na kususa/kununa tu”. Nothing more. Clueless.

Probably Bashiru had a point…
 
Back
Top Bottom