Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Yale maghorofa yalivyokaa bila kuisha yanaumiza, tukaze moyo yamalizwe.

Pia unaweza kuisuka Kigamboni ikawa njia ya kuifungua Dsm
MAJENGO hayampi Mtu Legacy mkuu Mandela Hakujenga JENGO LOLOTE afrika Kusini lakini Atakumbukwa MILELE
 
George Walker Bush anataka apewe Kigamboni katika dili inayofanana na sakata la Bagamoyo.
 
"Mama anaupiga mwingi" ameupiga mwingi kuanzia golini kwake hadi wapinzani wamejikuta wakishangilia sana. Kila kona wanasema "mama anaupiga mwingi sana"

Ni jambo la kujivunia. Kupata Rais ambaye anapendwa na Watanzania wote bila kujali vyama vyao. Hii inamaanisha hata kwenye uchaguzi kutakuwa na uchaguzi wa wabunge tu wachache.

Hapa mwishoni wapinzania walianza kutafutana....lakini naamini wamekaa sawa na wanakubaliana kuwa "mama anaupiga mwingi sana"

Tumpe pongeze zake. Na ujumbe kwa watu wengine

"CHOKO, MCHOKOE PWEZA. BINADAMU HUTOMUWEZA"
 
1625987834937.png
CHOKOCHOKO!
 
Hakuna mtu anayependa kulipa kodi, nadhani wewe mwenyewe umeshuhudia lawama unazopokea kwa sasa.

Iko hivi, hakuna mfanyabiashara duniani, anayetoa kodi kwa hiari na furaha, ni kwa sababu tu wanabanwa.

Wanasoka Nguli duniani, matajiri wanakwepa kodi licha ya utajiri wanaomiliki.

Sembuse Watanzania?

Mtangulizi wako baada ya kuwabana watu watoe kodi, wakakimbia nchi, nakushutumu mazingira mabaya ya biashara nchini. Mwenzako, akakomaa hivyo hivyo kubana, akapata pesa ya kupeleka maji sehemu zilizosahaurika kama Tabora.

Leo hii waliokimbia kutoa kodi, wanatuambia rais haleti maendeleo kinacholeta ni kodi, kodi ipi kama walikimbia kulipa kodi.

Mwisho, usipokaza utaendelea kuwanyonya maskini (Ambao ni 90%) ya watanzania. Na kuacha wenye kipato kikubwa wakitesa.
 
Maskini safari hii mmeguswa! Kilio kila kona. Kama vipi tuungane basi kuiondoa ccm madarakani.

Maana karibia nusu ya makusanyo ya hizo kodi zenyewe kila mwezi, hutumika kulipia mishahara na kuendeshea serikali.
 
Hakuna mtu anayependa kulipa kodi, nadhani wewe mwenyewe umeshuhudia lawama unazopokea kwa sasa.

Iko hivi, hakuna mfanyabiashara duniani, anayetoa kodi kwa hirai na furaha, ni kwa sababu tu wanabanwa.

Wanasoka Nguli duniani, matajiri wanakwepa kodi licha ya utajiri wanaomiliki.
Sembuse watanzania?

Mtangulizi wako baada ya kuwabana watu watoe kodi, wakakimbia nchi, nakushutumu mazingira mabaya ya biashara nchini. Mwenzako, akakomaa hivyo hivyo kubana, akapata pesa ya kupeleka maji sehemu zilizosahaurika kama Tabora.

Leo hii waliokimbia kutoa kodi, wanatuambia rais haleti maendeleo kinacholeta ni kodi, kodi ipi kama walikimbia kulipa kodi.

Mwisho, usipokaza utaendelea kuwanyonya maskini (Ambao ni 90%) ya watanzania. Na kuacha wenye kipato kikubwa wakitesa.
Unalo daftari la walipa kodi nchini au unabwabwaja tu!
 
Jiwe hakuwatoza watu kodi bali aliwadhulumu hela zao

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mtu anayependa kulipa kodi, nadhani wewe mwenyewe umeshuhudia lawama unazopokea kwa sasa.

Iko hivi, hakuna mfanyabiashara duniani, anayetoa kodi kwa hirai na furaha, ni kwa sababu tu wanabanwa.

Wanasoka Nguli duniani, matajiri wanakwepa kodi licha ya utajiri wanaomiliki.
Sembuse watanzania?

Mtangulizi wako baada ya kuwabana watu watoe kodi, wakakimbia nchi, nakushutumu mazingira mabaya ya biashara nchini. Mwenzako, akakomaa hivyo hivyo kubana, akapata pesa ya kupeleka maji sehemu zilizosahaurika kama Tabora.

Leo hii waliokimbia kutoa kodi, wanatuambia rais haleti maendeleo kinacholeta ni kodi, kodi ipi kama walikimbia kulipa kodi.

Mwisho, usipokaza utaendelea kuwanyonya maskini (Ambao ni 90%) ya watanzania. Na kuacha wenye kipato kikubwa wakitesa.
Nilijua tu unataka kumwongelea mwenda zake.
Mwacheni apumzike. Unataka task force ikusanye kodi ili umuenzi mwenda zake. Acheni hizo mambo, anzisha na wewe biashara halafu ukwepe kodi.
Kama wafanyabiashara walikuwa wanaondoka nchini hizo kodi zingetoka wapi?
Ulitakiwa utoe ushauri wa namna TRA waboreshe ukusanyaji wa kodi. Siyo kung'ang'ana kukumbatia utesaji.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mtu anayependa kulipa kodi, nadhani wewe mwenyewe umeshuhudia lawama unazopokea kwa sasa.

Iko hivi, hakuna mfanyabiashara duniani, anayetoa kodi kwa hiari na furaha, ni kwa sababu tu wanabanwa.

Wanasoka Nguli duniani, matajiri wanakwepa kodi licha ya utajiri wanaomiliki.

Sembuse Watanzania?

Mtangulizi wako baada ya kuwabana watu watoe kodi, wakakimbia nchi, nakushutumu mazingira mabaya ya biashara nchini. Mwenzako, akakomaa hivyo hivyo kubana, akapata pesa ya kupeleka maji sehemu zilizosahaurika kama Tabora.

Leo hii waliokimbia kutoa kodi, wanatuambia rais haleti maendeleo kinacholeta ni kodi, kodi ipi kama walikimbia kulipa kodi.

Mwisho, usipokaza utaendelea kuwanyonya maskini (Ambao ni 90%) ya watanzania. Na kuacha wenye kipato kikubwa wakitesa.
Tunatoa kodi mtu anaenda kununulia wanasiasa na kurudia chaguzi na kuhonga wasiojulikana. Huo ni upopoma
 
Siku za karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Amekuwa akisema na kusisitiza kuwa Tanzania kupitia mapendekezo ya wataalamu wa Afya Nchini,Serikali ya Tanzania imeamua kupokea chanjo ya Ugonjwa wa Corona au COVID19 ikiwa ni njia mojawapo na sahihi ya kupambana na Virusi vya ugonjwa huo nchini.

Tumeona mara kadhaa Mhe.Rais Samia akisistiza kuwa chanjo hii ni Muhimu sana kama moja ya hatua za Serikali yake ya awamu ya Sita kuwalinda wananchi wake ingawa Chanjo hii itatolewa kwa ridhaa ya wananchi wenyewe na siyo kwa kulazimishwa na serikali kama zilivyo chanjo zingine.

‘’…..Ninawasisitiza watanzania,na napenda nirudie Tena kuwa Tanzania siyo Kisiwa,lazima nasi tuende na mfumo wa Dunia unavyoenda,Hivyo serikali imeamua lazima tununue Chanjo kwa ajaili ya kuwalinda wananchi wetu ,lakini nasisitiza kuwa chanjo hii itakuwa ni uamuzi wa mwananchi mwenyewe kuchanjwa au kutokuchanjwa….’’
 
hovyo kabisa, nchi ambayo wananchi wengi hawajasoma ni vyema Rais akawa na kauli moja tu kuliko kuchanganya wananchi kama hivi. Bora aseme wote tunachanjwa au hakuna kuagiza wala kuchanja wananchi wangu baaasi..kama yule mpendwa wetu aliyetangulia kimsimamo.

sasa huko kijijini itakuwaje kwa wale wasio na elimu ya hayo madude yenu?...waachwe watumie dawa za mitishamba, wajifukize n.k kuliko kuwapelekea hayo madubwana haloo. Rais kauli moja ingetosha tu kwamba anayetaka kuchanjwa aende nje akachanjwe arudi nchini yatosha
 
Back
Top Bottom