Anahitaji kushauriwa vizuri. Ila ushauri wa akina Sirro and Sukuma Gang unazidi kumnyongonyeza. Huyu alitakiwa awe ameshamtoa Sirro. Sijui anasubiri nini?Awabadiishe washauri wake wa hotube.
Ameligawa taifa vipande viwili pale aliposema madai ya katiba ni chokochoko na kwamba yasubiri ajenge uchumi.
Angetoa kisingizio cha corona toka mwanzo kila Mtanzania angekuwa bado ana matumaini naye.
Chokochoko kazitaka mwenyewe kwa ulimi wake.
Dira ipi mzee mpya kwake ni Tozo tu,mengine yote ni ya JPM tena yameanza kulala yooooKASI YA RAIS SAMIA TOKA AINGIE MADARAKANI.
Imekuwa baraka nyingine kwa Tanzania kupata Rais mtekelezaji na mfuatiliaji ambaye toka aingie madarakani ametoa dira imara kwa nchi yetu na kuendelea kutoa fedha kupeleka maendeleo kwa wananchi. Maeneo 10 ya kibabe ya Rais mtekelezaji na mfuatiliaji, Mhe Samia Suluhu Hassan...
Una mimba ya kamanda?Safi sana rais Samia ingawa gaidi mbowe anafanya kila njia kukuchafua.
Ila yeye alivyo kuwa anapambanishwa kwa kubambikiwa kesi kila siku ilikuwa ni mkuki kwa nguruwe. Nchi hii tunapitwa maendeleo na vi,inchi vidogo visivyo na hata maliasili kwa sababu ya unafiki wa viongozi na wananchi mbumbumbu kama wewe.Kweli mkuu.. ila cha kushangaza Lisu alifanya siasa ni uadui kwa kupambana huko Ulaya ili Tanzania tuwekewe vikwazo na kunyimwa misaada kwa sababu zake za kisiasa.
Upinzani gani unaosema ww? Ni huu wa hawa jamaa wanaotembea na akili za wafuasi wao mfukoni au? Kama ni hawa basi nakushaur uangalie vizur mtizamo wako huenda baada ya kumaliza kukulisha matango pori (uongo) sasa watakulisha na ki.nye..si kabisa (uongo zaidi).Ila yeye alivyo kuwa anapambanishwa kwa kubambikiwa kesi kila siku ilikuwa ni mkuki kwa nguruwe. Nchi hii tunapitwa maendeleo na vi,inchi vidogo visivyo na hata maliasili kwa sababu ya unafiki wa viongozi na wananchi mbumbumbu kama wewe. CCM inaendesha vita dhidi ya upinzani na kulielekeza dola kutumia raslimali kubwa ya nchi kufanikisha hilo. Lakini kuna watu mfano wako wanaona lakini wanajifanya vipofu.
Sirro na police wake si ni waiz na wauajiAnahitaji kushauriwa vizuri. Ila ushauri wa akina Sirro and Sukuma Gang unazidi kumnyongonyeza. Huyu alitakiwa awe ameshamtoa Sirro. Sijui anasubiri nini?
Hawezi kukuelewa huyo,anajiona yupo juu ya Dunia ndo maana anafanya afanyavyoKwanza nikupongeze na nikupe pole kwa kazi ngumu unayofanya.
NI ukweli usiopingika kwamba sasa ni awamu ya 6 na wewe ndo RAIS wa JMT
Ulikuwa makamu wa JPM na najua kabisa kwamba kuna mambo ambayo mlikubaliana na kuna mambo ambayo mlitofautiana.Huo ni ubinadamu
Kwa yanayoendelea sasa hapa nchini naona kabisa kuna nguvu inatumika sana kulazimisha legacy ya JPM na kuna NGUVU inatumika kuondoa LEGACY ya JPM na wakati huo huo kuna nguvu inataka kujenga LEGACY yako.
Mama,Unao uwezo wa kujenga legacy yako kwa kusimama juu ya Mabega ya JPM bila kujenga wal kuharibu legacy ya JPM.Kama kuna makosa JPM alifanya acha historia imhukumu usitaki kumsafisha au kujisafisha kwani hakuna muda wa kufanya hivyo.
Kuna mabadiliko ambayo unaweza kuyafanya yafanye bila kujali watu watasema nini cha muhimu ni kuzingatia maslahi mapana ya nchi na furaha kwa wananchi wote.
Angalia sana jinsi unavogawa keki ya TAIFA kwani kuna uwezekano baadhi ya watu wakahisi kwamba wanakosa mnofu.
Angalia sana unapokuwa kimya kunapokuwa na uonevu kwani watu wanaweza kuhisi kuwa kuna ruhusa kutoka kwako
Zaidi Madam President,wewe ni mzanzibari,umewahi kuwa mwenyekiti wa kamati ya katiba mpya so ninaamini kabisa kwama unao uwezo na ujasiri wa kuweka masuala ya katiba mpya sawa.
NIna mengi ya kukwambia ila kwa sababu suala la miamala na suala la mbowe ndo mambo tata kwa sasa inatosha kusema kwamba yatazame na uchukue hatua stahiki.
Mitano inamtoshaATAKE ASITAKE, HATUMUONGEZEI MUDA