Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

kama unaona wivu watu kupata semina na wewe tafuta nafasi walizo nazo ili ukapate semina, ama la kausha tu acha wivu pimbi we.
 
kama unaona wivu watu kupata semina na wewe tafuta nafasi walizo nazo ili ukapate semina, ama la kausha tu acha wivu pimbi we.
Wapi niwaonee wivu wakati naona tu mlivyo mkihaha na hivyo vijiposho uchwara mpaka mnalogana kisa per diem afu mkifika kwenye visemina mnasinzia na kumwaga udenda mpaka mwisho wa Semina,ndo mnasema hela inaonekana kisa vi elfu10 mmavyopata
 
hela ni hela bwashee hata kama ni posho. kwa taarifa yako hiyo ni ya kuzugia tu, tuna biashara tena kubwa kuliko hata wewe huko mtaani. kalagabaho.
 
Acha uwongo mama samia ndo anatoa pesa za kujenga Mwl.nyerere Hydropower na SGR Dar moro Makutupora, Mwanza Isaka na miradi inaendelea. Marehemu alianzisha miradi akaicha njiani haijakamilika.
Kwahio mama samia anatoa hela kwenye account zake binafsi!
 
hela ni hela bwashee hata kama ni posho. kwa taarifa yako hiyo ni ya kuzugia tu, tuna biashara tena kubwa kuliko hata wewe huko mtaani. kalagabaho.
Uwe na biashara afu ulalamike fedha ilikua haionekani,huoni mlivyo mazwazwa mnasubiri pesa za bure tu mtoe meno nje
 
Uwe na biashara afu ulalamike fedha ilikua haionekani,huoni mlivyo mazwazwa mnasubiri pesa za bure tu mtoe meno nje
ungelikuwa mfanya biashara ungejua nilichoongea kwamba pesa mtaani ilikuwa haipo hata biashara nyingi watu walifunga tofauti na sasahivi. lakini kama ndio huna mbele wala nyuma unashinda tu hapa jf kubishana hutakuja kuelewa kitu hata malaika washuke wakwambie. ndo tabia za mapimbi izi.
 
Naamini mama atafanya jitihada kubwa na kuweka juhudi katika kuhakikisha Taifa linasonga mbele kwenye sekta zote
 
Napenda kuishukuru serekali yetu tukufu kwa kuusafisha mji wetu adhimu wa dar es salaam hakika kwa sasa unapendeza na unavutia sana

lengo la bandiko langu ni kuikumbusha serekali baada ya kumaliza zoezi hili sasa sasa ianze zoezi la kuyaboresha maeneo yote yaliyokuwa yameharibiwa vibaya na hawa ndugu zetu

hata mkuu wetu wa mkoa ni shahidi jinsi drill zake zilivyo haribiwa vibaya rudisheni pavements zote rozana palikuwa pazuri sana tena barabara hiyo ndiyo iliyokuwa na njia ya baiskeli watembea kwa miguu vikiwa vimetenganishwa kwa umaridadi mkubwa kweli drill za kutenganisha stand ya rozana na barabara nadhani masela walijisevia
 
Ni kweli mji umekuwa na ahueni..watembea kwa miguu angalao tunatembea kwa kujiamini.

Drill ulimaanisha GRILL??
 
Mtahangaika Sana kuliweka Jiji lenu Safi lakini hamuwezi kufikia hadhi za ulaya, kwanza mnatufukuza wakati mnajua akili zetu zakuku
Mkuu Zunguka Duniani kote wachuuzi wapo Tena Mimi naona kama Jiji limepowa vile Machinga walichangamsha kimtindo

Hii serikali yenu bhana inasafari ndefu Sana mpaka kufikia uchumi wa kati
 
Nafasi mmetengewa kwa upendo wa dhati wa serekali yenu muda mkapatiwa wa kutosha lakini bado soko jipya la kisasa mnajengewa liyakalochukuwa wafanyabiashara 2000 na ushee kweli binadamu wakati mwingine hawana shukurani
 
Wanabodi, kwa trendi hii anayoendanayo Rais Samia Suluhu Hassan katika eneo la demokrasia, natabiri atashinda Tuzo ya Mo Ibrahim aliyoikosa Nzee Nkapa ikaenda kwa Chissano wa Msumbiji.

Mauaji ya Zanzibar yalimharibia sana Nkapa. Hatuyategemei kwa Hangaya. Nawasilisha.
 
Nimecheka sana ushauri huu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…