Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

to general mkuu, come with fact.... kwamba wapi, what happend, nani anahusika, anahusika kivip? otherwise hakuna kitu utakuwa unamsaidia huyo mtu wa chini unayemzungumzia!
 
Mhe Rais , Mama yetu, umekuwa msikivu muda wote, umekua ukitatua matatizo ya Watanzani pale yanapojitokeza bila kumuonea mtu aibu.

Mhe Rais, tupia jicho Tanesco, Tanesco hii bado ni jipu kubwa, Ile Tathimini ya Wakurugenzi wa Halmashauri kupimwa kwa utendaji wao iende mpaka kwa Mawaziri na Wakurugenzi wa Taasisi nyinginezo.

Walifukuza kitengo cha habari sijui kama wao ndio walikuwa Wanahusika na kuhakikisha umeme haukatiki. Watanzania wana taka umeme wa uhakika na sio mtoa habari wa umeme kukatika.

Ni aibu kwa umeme kukatika zaidi ya Mara kumi kwa siku, mfano kwa Wakazi wa Goba centre umeme unakatika kila baada ya Dakika moja na Manager wa Tanesco Wilaya yupo anasubiri mpaka Mheshimiwa Rais aje..

Ni muda muafaka sasa Wakurugenzi, manager wote wapimwe kwa output
 
Ni miezi kumi na Moja sasa tangu ushike usukani wa kuliongoza taifa letu pendwa Tanzania.

Vijana wa kizazi hiki Wana msemo wao wa " kuupiga mwingi"

Mama kweli unaupiga mwingi hongera sana.
1. Taifa lilikuwa limegawanyika watu walijawa uoga wa ajabu lakini sasa tupo uoga umekwisha Hadi taarifa ya habari tunakuwa na hamu ya kusikiliza au kuangalia.

2. Leo professor J. Anajuliwa hali na Wana CCM? Isee hongera sana

3. Leo tunaambiwa Serikali imekopa kiasi kwaajili ya kitu flan. Hongera sana Mama.

4. Magazeti pendwa kufunguliwa hivi

5. Ni mwaka sasa hatujasikia utekaji na
utesaji.

6. Hongera sana

Mwisho

Police wanakuchafua sana.

Police ni genge la wahalifu

Siku hizi Bora ukutane na majambazi watakuhurumia kuliko kukutana na askari police.

Ni hayo tu

Mbowe sio gaidi Bali magaidi ni police wenyewe.
 
Angalieni vizuri hiyo Video; mkutano unaaemdeshwa kwa lugha ya kifaransa na Mama Samia hajavaa vifaa vya kutafsiria lugha, Je alikuwa anafuatilia vipi majadiriano? Au Mama Samia anakimudu kifaransa?
 
Air
 
Hali ya uchumi ni mbaya mtaani hakuna hela tunapigana vibomu tu.

Mfumuko wa bei haushikiki.

Tanzania imedrop toka nchi kumi tajiri afrika.

Tanzania haimo katika nchi kumi zenye mazingira mazuri kwa uwekezaji afrika.

Bado ajira kwa vijana ni mtihani.

Umeme umegeuka kuwa na siasa za siku zote.

Kwakweli ni kama vile tunahitajika kujitathmini upya.
 
Wewe ni takataka!

Mpaka sasa vijana 5 wale wa kariakoo hawajulikani walipo!
.
Mpaka sasa, ripoti inaonesha kumtokea mauaji ya wagu 176 tangu achukue madaraka.

Machawa ya hangaya mna shida sana
 
Wewe ni takataka!

Mpaka sasa vijana 5 wale wa kariakoo hawajulikani walipo!
.
Mpaka sasa, ripoti inaonesha kumtokea mauaji ya wagu 176 tangu achukue madaraka.

Machawa ya hangaya mna shida sana
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Lumumba Kuna nini
 
Angalieni vizuri hiyo Video; mkutano unaaemdeshwa kwa lugha ya kifaransa na Mama Samia hajavaa vifaa vya kutafsiria lugha, Je alikuwa anafuatilia vipi majadiriano? Au Mama Samia anakimudu kifaransa?
Nafikiri kifaransa anakijua. Sio yule boya, alienda Zimbabwe akaongea kiingereza chake viongozi wenzie hawakuelewa ana Manisha nini
 
Sisi mfumuko uko sawa na nchi jirani. Nenda kwa Majirani uone.

Lakini kikubwa tunafurahia sasa uhuru
 
Hongera kwake maana hata vyeo wanagawana tu ukoo mmoja.
 
Nafikiri kifaransa anakijua. Sio yule boya, alienda Zimbabwe akaongea kiingereza chake viongozi wenzie hawakuelewa ana Manisha nini

Asili yake ni visiwa vya Mayotte na lile ni koloni la wafaransa ,inawezekana kweli anakijua kifaransa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…