Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mtapata taabu saana maana Mama Samia is the 'iron lady'! Ukiingia anga zake tu kuvuruga serikali iliyoyaanzisha chini ya JPM, ambayo yy naye alikuwa sehemu ya serikali hiyo lazima apite na weye...
Kwanini asitawale kwenu Zanzibar?
 
Pole mama Samia Suluhu Hassan, sina budi kukupa pongezi kwa juhudi unazo zifanya kwa kufungua vitanzi vya mapato kwa raia wako vilivyo wekwa na mtangulizi wako.Lakini mambo bado kwani watu bado wanashida ya vipato inavyo wasababishia sonona mauwaji yote unayo sikia ya kuustaajabu sikingine ni sonona na tutsikia mengi ya kipuuzi mpaka utajiuliza utimamu wa wanayo yatenda...
Mpaka mpate akili, katiba ni mbovu sn
 
Wasalaam,

Nianze na nimalizie kwa kusema, kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na Tundu Lissu huko ulaya, kimethibitisha ubora wake na kumudu kiti cha Urais.

Nawasilisha.
 
Usijali, hata mie sha nitibua, badala ya kuwa irony lady amekuwa rojotojo mama WA kuswampa na mipasho!
Magufuli, kwa nini ulimchagua huyu mama kuwa VP!
Na teuzi zake za kimakambakamba!
Nimejikuta najibiwa na JPM mwenyewe juu ya kwa nini ametuchagulia na kutuachia mtu huyu ambaye Sasa ni liability😭
 
Usijali, hata mie sha nitibua, badala ya kuwa irony lady amekuwa rojotojo mama WA kuswampa na mipasho!
Magufuli, kwa nini ulimchagua huyu mama kuwa VP!
Na teuzi zake za kimakambakamba!
Alichaguliwa na kamati sio magu. We siasa umeanza kufatilia lini. Hata raisi wa sasa hv hawezi jichagulia makamu tu, ni kamati inakaa

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
. Kikwete alituahidi
1.Mkongo wa taifa ukikamika vifurushu vya internet vitapungua
2. Tukianza kuchimba gase bei ya gesi itapungua.
Bado kila kitu (bando na gesi) bei iko juu.
Je bado kukamilika hivyo vitu.?

JPM
Alisema kuwa bwawa la Nyerere likikamilika bei ya umeme itashuka
Mama yetu mpendwa tafadhali nakuomba uimalize kiu hii ya watz.

Ubarikiwe
 
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Hapo la mkongo tuu ndio linawezekana.Mama kapata pesa bil.92 huko UE kwa ajili ya mambo ya kidijitali so stay tuned next budget.
 
Back
Top Bottom