fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Hivyo vyote vitakamilika lakini kuhusu bei maza hana control nayo. Kikwete alituahidi
1.Mkongo wa taifa ukikamika vifurushu vya internet vitapungua
2. Tukianza kuchimba gase bei ya gesi itapungua.
Bado kila kitu (bando na gesi) bei iko juu.
Je bado kukamilika hivyo vitu.?
JPM
Alisema kuwa bwawa la Nyerere likikamilika bei ya umeme itashuka
Mama yetu mpendwa tafadhali nakuomba uimalize kiu hii ya watz.
Ubarikiwe
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app