Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ni bahati mbaya tu miaka mitano iliyopita nchi haikuwa na rais hata nchi za ulimwengu wa kwanza walikuwa wanaulizana kwamba hivi tanzania kweli Kuna rais?

Angalia Sasa hivi misaada inavyomiminika na wawekezaji kuja kwa kasi na ajira kupanuka kama mwanga wa radi kisa tu tuna raisi.
Awamu ya tano hatukuwa na Rais, tulikuwa na mwenyekiti wa kitongoji
 
Nimejibu hija yangu ya hovyo hovyo uliyosema eti wawekezaji wanakuja sehemu ina demokrasia, nimekuuliza Rwanda ina demokrasia, mbona wawekezaji wamejaa Rwanda? Jibu hilo swali.
Hakuna muwekezaji Rwanda utajiri wa Rwanda Ni wizi wa dhahabu kutoka Congo. Ndo Mana jk alimwambia ukweli akapanic na kupagawa
 
Ni bahati mbaya tu miaka mitano iliyopita nchi haikuwa na rais hata nchi za ulimwengu wa kwanza walikuwa wanaulizana kwamba hivi tanzania kweli Kuna rais?

Angalia Sasa hivi misaada inavyomiminika na wawekezaji kuja kwa kasi na ajira kupanuka kama mwanga wa radi kisa tu tuna raisi.
Haikua na Rais, ilikua na mama yako
 
Magufuli alikuwa Rais Bora, Africa, alikuwa Siyo omba Omba alitegea vyetu. Vingine vyote ni chuki tu.
 
Haya mtoa mada mpumbavu mwenzanko huyu kaeni chini mjadiliane ujinga maana vichwa vyenu wote vina funza

Nchi ikiongozwa na muisilamu kunakuwa na utulivu sana, na maendereo yanakuwepo mzee.

I wish siku moja rais atokee kanda ya ziwa na awe muislamu.. wanakubalika sana hata wakristo miongoni mwao wanawakubali waisilamu. Wabarikiwe sana mzee ni ngumu
 
Magufuri alikuwa Rais Bora, Africa, alikuwa Siyo omba Omba alitegea vyetu. Vingine vyote ni chuki tu.

Sawaa hakuwa omba omba nakubali mzehe, lakini amesababisha makampuni kufungwa na wananchi kupoteza ajira zao, refer Williamson Diamond Limited, Buliyanhulu Gold mine n.k, maelufu ya raia walirudi manyumbani baada ya migodi hiyo kufungwa, mitaani hakuna hela.
 
Kipi kizuri kuwa na wawekezaji au kuwafukuza
Uwekezaji uwe wa tija kwa nchi kunufaika kwa ajira na upatikanaji wa bidhaa kwa bei nafuu na pia serikali kupata kodi!! Sio uwekezaji ambapo hamna faida kwa nchi kwavile faida dote ipatikanyo inapelekwa nje ya nchi na ajira kuwa duni kwani wawekezaji wanapewa vibali holela kuleta wafanya kazi toka kwao!! Masharti ya uwekezaji yasiiumize nchi na kuwapendelea wawekezaji tu huo utakuwa ujinga!!
 
Kama hauna tija Basi solution ni kutimulia mbali mradi wewe unashishwa na serikali huna shida wengine wakifa na njaa kwa kukosa ajira au hata wakijiajiri mzunguko wa pesa umekata we hijali ilimradi umeweka sifa kuwa we Ni mbabe. Nimegundua kuwa mitanzania haina akiri Ni mibinafsi
 
Kwenye kuitokomeza hiyo dhana hapo ndipo akili kubwa inahitajika siyo kupanda majukwaani na kufokafoka tu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app

Rais Samia anapenda kutuaminisha kuwa anendeleza yale alioachiwa na marehemu Magufuli, kama ni Kweli anayosema majukwaani kwanini hafuati mazuri yote alioachiwa?

Alipoingia madarakani Jiwe alikuta ccm ambayo ilikuwa tegemezi ; ilikuwa inategemea ufadhili wa Wafanya Biashara wakina Rostam, Aboud na wengine wengi kuwapa ruzuku ya kutekeleza mipango yake!! CCm ilikuwa mifukoni mwa Wafanya Biashara na ndio maana ufisadi na rushwa vilishamili nchini!

Jambo lakwanza alilofanya ni Kufanya tathmini ya mali za chama na kugundua wizi mwingi uliokuwa unafanyika hivyo kuuthibiti na ccm ikawa inajitegemea na kukata utegemezi kutoka kwa Wafanya biashara Waliokuwa wamekifanya chama kama sehemu ya biashara zao!.

Tendo hilo halikuwafurahisha wengi ndani ya ccm waliokuwa wanafaidika na mali za chama. Samia hana buda kuliendeleza hili Kwani dalili zinaonesha ile mirija ya Wafanya bishara inaanza kurudi!!!

Dhana hiyo hiyo ya kujitegemea , alikuwa anataka kuitekeleza kwenye serikali na ndio maana akaanzisha hiyo mirada ya mkakati lakini ndio hivyo tena akaitwa Mbele ya haki kabla ya kutimiza ndoto yake!! Kumbuka hapa nazungumzia mazuri ya magufulik tu. ambayo Samia hana buda kuyaendeleza kama anaitakia mema nchi!
 
Kama hauna tija Basi solution ni kutimulia mbali mradi wewe unashishwa na serikali huna shida wengine wakifa na njaa kwa kukosa ajira au hata wakijiajiri mzunguko wa pesa umekata we hijali ilimradi umeweka sifa kuwa we Ni mbabe. Nimegundua kuwa mitanzania haina akiri Ni mibinafsi

Ajira gani wanawafanyisha kazi watu na kuwapa ujira usiotosha kulisha familia hata wiki mbili wewe bwege ndio unaita ajira!! Hizo sio ajira ni utumwa./ unyonyaji!
 
Ajira gani wanawafanyisha kazi watu na kuwapa ujira usiotosha kulisha familia hata wiki mbili wewe bwege ndio unaita ajira!! Hizo sio ajira ni utumwa./ unyonyaji!
Botlra ujira mdogo kuliko kutokuwa na ujira kabisa Kama jpm alivyowafanya watanzania. Miaka mitano yote no ajira wakati mwenzake jk aliajiri kila mwaka graduates wakapungua Sana mtaani. Jpm akawarundika mpaka Sasa hivi hawawezi Tena kuwaajiri Mana wameshakuwa wengi kisa tu jpm hakujari kanbisa

Kilimo nacho akaua. Biashara akaua kwa hiyo hakukuwa na pa kutokea ikabaki vilio kila kona
 
Pole mama Samia Suluhu Hassan, sina budi kukupa pongezi kwa juhudi unazo zifanya kwa kufungua vitanzi vya mapato kwa raia wako vilivyo wekwa na mtangulizi wako.Lakini mambo bado kwani watu bado wanashida ya vipato inavyo wasababishia sonona mauwaji yote unayo sikia ya kuustaajabu sikingine ni sonona na tutsikia mengi ya kipuuzi mpaka utajiuliza utimamu wa wanayo yatenda.

Hongera kwa bandari ya Dar es Salaam imeimarisha uchukuzi Hongera kwa madarasa kwani ulikuwa mpango wa dharura, Bei ya mafuta imeongeza mfumuko wa bei hii ni mzigo mzito kwa watu,tuna vyo zoom mwska huu 22-23 kutakuwa na njaa mvua zimechelewa na hamjatoa ruzuku ya pembejeo hivyo kilimo kimefanywa na wenye pesa,watu wa vipato vya chini wanashughuli hii itaongeza sonona.

Jaribu kudeal na viongozi wenye kauli mbovu kwa wananchi, awamu ya tano kauli mbovu zenye kukera ilikuwa ni sifa ya kupata teuzi sasa huu ulevi bado viongozi hauja watoka watu tayari wanasona anatoka kiongozi anawatisha na kuwakejeli bila sababu za msingi wanaongeza watu wanajiua na kuuwa.
 
Botlra ujira mdogo kuliko kutokuwa na ujira kabisa Kama jpm alivyowafanya watanzania. Miaka mitano yote no ajira wakati mwenzake jk aliajiri kila mwaka graduates wakapungua Sana mtaani. Jpm akawarundika mpaka Sasa hivi hawawezi Tena kuwaajiri Mana wameshakuwa wengi kisa tu jpm hakujari kanbisa

Kilimo nacho akaua. Biashara akaua kwa hiyo hakukuwa na pa kutokea ikabaki vilio kila kona
Hata aliyeandika anajua ukweli tupu kuwa jamaa alikuwa ni tatizo kubwa sn
 
Back
Top Bottom