Pole mama Samia Suluhu Hassan, sina budi kukupa pongezi kwa juhudi unazo zifanya kwa kufungua vitanzi vya mapato kwa raia wako vilivyo wekwa na mtangulizi wako.Lakini mambo bado kwani watu bado wanashida ya vipato inavyo wasababishia sonona mauwaji yote unayo sikia ya kuustaajabu sikingine ni sonona na tutsikia mengi ya kipuuzi mpaka utajiuliza utimamu wa wanayo yatenda.
Hongera kwa bandari ya Dar es Salaam imeimarisha uchukuzi Hongera kwa madarasa kwani ulikuwa mpango wa dharura, Bei ya mafuta imeongeza mfumuko wa bei hii ni mzigo mzito kwa watu,tuna vyo zoom mwska huu 22-23 kutakuwa na njaa mvua zimechelewa na hamjatoa ruzuku ya pembejeo hivyo kilimo kimefanywa na wenye pesa,watu wa vipato vya chini wanashughuli hii itaongeza sonona.
Jaribu kudeal na viongozi wenye kauli mbovu kwa wananchi, awamu ya tano kauli mbovu zenye kukera ilikuwa ni sifa ya kupata teuzi sasa huu ulevi bado viongozi hauja watoka watu tayari wanasona anatoka kiongozi anawatisha na kuwakejeli bila sababu za msingi wanaongeza watu wanajiua na kuuwa.