Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kwani mama kakosea??? Mwacheni mama ajinafasi yule msukuma alipokuwa rais wasukuma wote walikuwa watawala.
Hili nakubaliana na wewe Mkuu, tulikuwa hatulali, kula wala kunywa. Wasukuma wote walikuwa Mapresidaa. Utasikia sisi ndio wenye nchi!
 
Ndo wanavyolelewa hawa wenzetu kwao mipasho ni sawa na kuku na yai ama kuku na utitiri, haviachani.
 
Kumekuwa na mkakati mkumbwa wa kuaminisha watu kuhusu mwenendo wa siasa zetu, na kwa bahati mbaya sana chama kilichopo madarakani, chama cha mapinduzi kumekuwa kikipambana chenyewe dhidi ya kivuli chake, yaani kila awamu inaisema awamu iliyopita. Ilitokea kwa Kikwete alivyoachiwa na Mkapa, Magufuli alivyoachiwa na Kikwete, na sasa Rais Samia alivyoachiwa na Magufuli.

Katika kusemeana wanatofautiana logic na relevance, tukiangalia awamu hizi mbili za mwisho, viongozi waandamizi ni wale wale, na viongozi wakuu wanatofautiana namna walivyoingia madarakani.

Uchaguzi 2015 Magufuli aliingia kwa mbinde sababu Imani ya watu katika chama na Serikali ilipungua mno, hivyo ilibidi afanye juhudi kubwa kuturudisha imani hiyo, na Sera ya chama hapa kazi tuu, ilitumika kubadili mindset ya wananchi na watumishi, kusafisha uozo ulikuwepo mf. Mikataba mibovu kama madini na kwingineko, upatikanaji wa huduma za kijamii ulipanda na uwajibikaji ulikuwepo,

Ni mwaka mmoja Sasa umepita toka awamu ya sita, iingie madarakani, kwa viongozi wale wale ajenda kubwa inayonekana sio tena maendeleo wala, namna ya kukuza uchumi wa nchi sambamba na vipato sasa ni vijembe visivyo na logic wala relevance, kukemea mienendo ya mtangulizi wako Hayati Magufuli ni kujidhalilisha tu, haswa wakati huu dunia inapitia kipindi kigumu sana, inakuonesha uko hapo kutetea uonevu, ufisadi na kujinufaisha wewe pamoja na familia yako.

Ni vyema ukachunga kinywa chako na ukachagua maneno ya kusema utazidi kupoteza mvuto, kumuita binadamu Simba wa Yuda ni kumdhihaki sio yeye tuu, hata dhehebu fulani litahisi hivyo

Katika maadhimisho ya mwaka mmoja awamu ya sita iingie, hamna jambo hata, la kujivunia zaidi tozo kandamizi, na diplomasia.

Mimi rai yangu naomba mh Rais, usitafute sifa kwa jirani wakati watoto wako wanakufa na njnn.
Sukuma gang mna shida sana?

Samia kamdhihaki nani? Kuitwa Simba wa Yuda ni kudhihakiwa?

Nani kasema kuitwa Simba wa Ayuba ni kudhihakiwa?
 
Tofautisha kati ya Uswahili na intelligence, usichanganye mambo mimi ni Mswahili na ninajivunia Uswahili wangu na ninaelewa ninachokiongea, intelligence ni pamoja na kujua mipaka ilipo na kuiheshimu sasa uwezo wa kujua mipaka ilipo siyo swala la Utamaduni fulani bali ni intelligence, got it ?
Kujiita tu kijakazi inaonesha huna akili!

How come you judge somebody intelligence while you call yourself kijakazi? Takataka wewe
 
Mama kamatia hapohapo, elimisha wananchi wajue kama tulikuwa zombies miaka 6 iliopita. [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mama anaanza kukosa mvuto. Sijui akikaa kimywa atapungukiwa nini. Pathetic
 
Pigani Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi
Kwa mara ya kwanza 2024 nitashiriki siasa kuhakikisha wale wanaonifanya wana haki ya kutawala Tz wanaondoka madarakani sisi ambao tuko na msimamo wa kati kwa sasa tunaona ni bora chama chochote kiingie madarakani lakini siyo hawa ambao wanatuaminisha wanapigania maslahi yetu kumbe wanapigania maslahi yao
 
Ki eneo Rais Samia anatokea Ukanda wa waswahili na huenda naye ni mswahili pia ni sawa japokuwa ni lazima sasa aachane na huo uswahili wake kwa sababu ya dhamana aliyonayo kwa Taifa.

Kauli zake za kiswahili hasa ahutubiapo hadhira fulani hazipendezi na hazifurahishi kabisa!
Hana sifa ya urais, unampwaya
 
CCM ni kubwa sana, na hakuna ajuae nani ni nani ndani yao.

Anayeishikilia Katiba ya nchi ni Mkuu wa Majeshi JWTZ.

As long as CCM watagoma kubadilisha katiba ya nchi basi haitawezekana kubadili mfumo kwamba Rais aliyeko madarakani leo ndiye atatawala na mdiye atakayechagua mrithi; ..nategemea hili kwa Mama Samia 100%. na yeye akiondoka 2030 kama ikimpendeza basi ataweka mrithi wake.

Ni bahati mbaya sana Jiwe kafa ghafla...ila kama angeishi na yeye ingekuwa hivi hivi.

As long as Katiba hii inaendela JWTZ ina utii wa Rais aliyeko madarakani na kwa katiba hii hiyo ndiye atakuwa kiongozi wetu 2025 na 2030. Mimi najua hivyo na kama wewe unanibishia basi qewe no zuzu laTaifa.

Kuna wajinga wachache walijaribu eti kupindua katiba baada ya kifo tu cha mwendazake..habari yao washaipata....wote.

Tunaolilia katiba mpya tuna akili kubwa, hao wana CCM ma hohehahe wanaolia leo ni mazuzu wakuu.wapuuzwe kabisa.
 
Kumekuwa na mkakati mkumbwa wa kuaminisha watu kuhusu mwenendo wa siasa zetu, na kwa bahati mbaya sana chama kilichopo madarakani, chama cha mapinduzi kumekuwa kikipambana chenyewe dhidi ya kivuli chake, yaani kila awamu inaisema awamu iliyopita. Ilitokea kwa Kikwete alivyoachiwa na Mkapa, Magufuli alivyoachiwa na Kikwete, na sasa Rais Samia alivyoachiwa na Magufuli.

Katika kusemeana wanatofautiana logic na relevance, tukiangalia awamu hizi mbili za mwisho, viongozi waandamizi ni wale wale, na viongozi wakuu wanatofautiana namna walivyoingia madarakani.

Uchaguzi 2015 Magufuli aliingia kwa mbinde sababu Imani ya watu katika chama na Serikali ilipungua mno, hivyo ilibidi afanye juhudi kubwa kuturudisha imani hiyo, na Sera ya chama hapa kazi tuu, ilitumika kubadili mindset ya wananchi na watumishi, kusafisha uozo ulikuwepo mf. Mikataba mibovu kama madini na kwingineko, upatikanaji wa huduma za kijamii ulipanda na uwajibikaji ulikuwepo,

Ni mwaka mmoja Sasa umepita toka awamu ya sita, iingie madarakani, kwa viongozi wale wale ajenda kubwa inayonekana sio tena maendeleo wala, namna ya kukuza uchumi wa nchi sambamba na vipato sasa ni vijembe visivyo na logic wala relevance, kukemea mienendo ya mtangulizi wako Hayati Magufuli ni kujidhalilisha tu, haswa wakati huu dunia inapitia kipindi kigumu sana, inakuonesha uko hapo kutetea uonevu, ufisadi na kujinufaisha wewe pamoja na familia yako.

Ni vyema ukachunga kinywa chako na ukachagua maneno ya kusema utazidi kupoteza mvuto, kumuita binadamu Simba wa Yuda ni kumdhihaki sio yeye tuu, hata dhehebu fulani litahisi hivyo

Katika maadhimisho ya mwaka mmoja awamu ya sita iingie, hamna jambo hata, la kujivunia zaidi tozo kandamizi, na diplomasia.

Mimi rai yangu naomba mh Rais, usitafute sifa kwa jirani wakati watoto wako wanakufa na njnn.

Unasema Magufuli 2015 aliingia kwa mbinde maana imani ilikuwa imepungua kwa chama na serikali. Mbona 2020 uchaguzi ndio ukawa wa kihayawani kuliko hiyo 2015? Mama Samia ameongea kweli tena ametumia lugha ya staha sana.

Ila ukweli ni kuwa Magufuli hakupaswa kuwa rais, yule alikuwa ni mlevi wa madaraka, na alikuwa anatumia lugha za udhalilishaji kupita kiasi. Hakupaswa kumuita simba wa yuda bali ibilisi, ila kwa kuheshimu akamuita Simba wa Yuda.
 
Huyu Mama kwakweli hata mie simuelewi.
Kwa mfano ishu yake ya majuzi kukomalia kwamba bei ya nauli na usafirishaji bidhaa LAZIMA ipande kwakuwa mafuta yamepanda bei wakati wafanyabiasha wa mafuta wala hawajalalamika!
Ni kama anawataka wafanyabiashara hao wapandishe gharama haraka sana!.

Hapohapo anasahau bidhaa nyingi hapa nchini bei ilianza kupanda kabla hata ya hivyo vita vya Russia sema tu kwasasa serikali imepata SABABU kwamba kilichosababisha hali hiyo ni vita!.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Magufuli alinajisi uchaguzi akajaza wabunge wa ccm bungeni eti kuwa ni wazalendo, sasa hao wabunge wa ccm waibane serikali kwenye hiki kinachofanywa na serikali ili kudhibitisha ule uzalendo wao tulioambiwa.
 
Tumsifu Yesu Kristo!

Kwenu wote lkn hasa waumini wenzangu. Nimepitia mitandao na kuona lawama nyingi kutaka kutuhamisha kwenye agenda ya kitaifa ya ujenzi wa umoja wa kitaifa anao ujenga Mama Samia. Na wanaotaka kutuhamisha wanataka kutuaminisha kuwa kumwita mtu Simba wa Yuda ni kufuru katika imani ya Ukristo. Mimi nasema hapana. Kwanini?

1. Pamoja na jina hilo kutumika katika muktadha wa kumtaja Yesu, lkn pia jina hilo limetumika katika kuonesha kitu imara, chenye Msimamo na nguvu.

2. Simba wa Yuda Sio utambulisho rasmi kumaanisha Mungu Yesu katika utatu mtakatifu. Tunapotosha, tunaongopa

3. Muktadha wa matumizi haukulenga kutenda hilo linalozemwa, na Ni kama mtamkaji amekutana nalo mitaaani. Simba wa Yuda Mwenye masharubu ni Simba gani huyo katika bibilia. Ambae akiguswa sharubu anakurarua?

4. Kufru za Ukristo sio katika kumdharau Yesu, wala Kumtaja vibaya. Alitundikwa msalabani. Hakuna aibu kubwa kama ile kwaajili ya ukombozi wetu.

5. Kwa Sasa hakuna wa kumvua nguo Yesu mara mbili maake alishavuliwa, wakristo wa kweli hatuko katika hayo mambo madogo madogo yasiyo na maana.

Mwisho, tuendelee kukosoa na kumuunga mkono Mama Samia katika Roho na Kweli
 
Back
Top Bottom