Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kumekuwa na mkakati mkumbwa wa kuaminisha watu kuhusu mwenendo wa siasa zetu, na kwa bahati mbaya sana chama kilichopo madarakani, chama cha mapinduzi kumekuwa kikipambana chenyewe dhidi ya kivuli chake, yaani kila awamu inaisema awamu iliyopita. Ilitokea kwa Kikwete alivyoachiwa na Mkapa, Magufuli alivyoachiwa na Kikwete, na sasa Rais Samia alivyoachiwa na Magufuli.

Katika kusemeana wanatofautiana logic na relevance, tukiangalia awamu hizi mbili za mwisho, viongozi waandamizi ni wale wale, na viongozi wakuu wanatofautiana namna walivyoingia madarakani.

Uchaguzi 2015 Magufuli aliingia kwa mbinde sababu Imani ya watu katika chama na Serikali ilipungua mno, hivyo ilibidi afanye juhudi kubwa kuturudisha imani hiyo, na Sera ya chama hapa kazi tuu, ilitumika kubadili mindset ya wananchi na watumishi, kusafisha uozo ulikuwepo mf. Mikataba mibovu kama madini na kwingineko, upatikanaji wa huduma za kijamii ulipanda na uwajibikaji ulikuwepo,

Ni mwaka mmoja Sasa umepita toka awamu ya sita, iingie madarakani, kwa viongozi wale wale ajenda kubwa inayonekana sio tena maendeleo wala, namna ya kukuza uchumi wa nchi sambamba na vipato sasa ni vijembe visivyo na logic wala relevance, kukemea mienendo ya mtangulizi wako Hayati Magufuli ni kujidhalilisha tu, haswa wakati huu dunia inapitia kipindi kigumu sana, inakuonesha uko hapo kutetea uonevu, ufisadi na kujinufaisha wewe pamoja na familia yako.

Ni vyema ukachunga kinywa chako na ukachagua maneno ya kusema utazidi kupoteza mvuto, kumuita binadamu Simba wa Yuda ni kumdhihaki sio yeye tuu, hata dhehebu fulani litahisi hivyo

Katika maadhimisho ya mwaka mmoja awamu ya sita iingie, hamna jambo hata, la kujivunia zaidi tozo kandamizi, na diplomasia.

Mimi rai yangu naomba mh Rais, usitafute sifa kwa jirani wakati watoto wako wanakufa na njnn.
Hana ushawishi, hataweza na hataamini kitakachomtokea.
 
Makamba Snr amesema wanajipanga kwa uchaguzi wa 2025, tusitegemee maendeleo chini ya uwongozi wa CCM.
Vita ya Uchaguzi Mkuu Tanzania ipo CCM wenyewe kwa wenyewe tu. Wakishamaliza kazi inakuwa imeisha. Hata Upinzani wanalifahanu hili vizuri

Japo CCM wamekuwa wanaiba kila chaguzi, mwaka 2020 marehemu Magufuli kawaonyesha side nyingine ya wizi na mbaya zaidi alionyesha jinsi tulivyo wanyonge, wanafiki na waoga. Watarudia tena bila hofu.

Huyu Mama akishasimikwa na akina Kinana tu, njia nyeupe mpaka 2030. Unless ofcourse yampate ya JPM
 
Magufuli alikuwa mtawala wa ovyo ovyo, mama Samia naye mtawala wa ovyo ovyo pia. CCM ni ile ile, usitegemee usiku unaweza kuwa sawa na mchana, hata ukiwasha tamaa, usiku utabakia kuwa ni usiku.
 
Mimi ninahisi Samia aliutumia muda mwingi sana kumuumiza JPM badala ya kutimiza wajibu wake kama makamu wa Rais.

Sasa amejifhihirisha wazi kwa watanzania tena bila kificho.

Kazi anayoifanya atayaona majibu yake rasmi 2025.
Ushindwe na ulegee hatutaki chuki sisi.
 
Vita ya Uchaguzi Mkuu Tanzania ipo CCM wenyewe kwa wenyewe tu. Wakishamaliza kazi inakuwa imeisha. Hata Upinzani wanalifahanu hili vizuri

Japo CCM wamekuwa wanaiba kila chaguzi, mwaka 2020 marehemu Magufuli kawaonyesha side nyingine ya wizi na mbaya zaidi alionyesha jinsi tulivyo wanyonge, wanafiki na waoga. Watarudia tena bila hofu.

Huyu Mama akishasimikwa na akina Kinana tu, njia nyeupe mpaka 2030. Unless ofcourse yampate ya JPM
Kama mpaka miaka hii CCM ina ongelea kujenga shule na vituo vya afya vya voda faster kwa wananchi na wanyonge wanamshukuru Mheshimiwa Rais kwa ktuletea maji. Tuna safari ndefu.

Uchumi wa mtu mmoja mmoja ukiimarika, wananchi wanaweza kuji mobilise kujenga shule, barabara na hata kujiwekea maji.
 
Kumekuwa na mkakati mkumbwa wa kuaminisha watu kuhusu mwenendo wa siasa zetu, na kwa bahati mbaya sana chama kilichopo madarakani, chama cha mapinduzi kumekuwa kikipambana chenyewe dhidi ya kivuli chake, yaani kila awamu inaisema awamu iliyopita. Ilitokea kwa Kikwete alivyoachiwa na Mkapa, Magufuli alivyoachiwa na Kikwete, na sasa Rais Samia alivyoachiwa na Magufuli.

Katika kusemeana wanatofautiana logic na relevance, tukiangalia awamu hizi mbili za mwisho, viongozi waandamizi ni wale wale, na viongozi wakuu wanatofautiana namna walivyoingia madarakani.

Uchaguzi 2015 Magufuli aliingia kwa mbinde sababu Imani ya watu katika chama na Serikali ilipungua mno, hivyo ilibidi afanye juhudi kubwa kuturudisha imani hiyo, na Sera ya chama hapa kazi tuu, ilitumika kubadili mindset ya wananchi na watumishi, kusafisha uozo ulikuwepo mf. Mikataba mibovu kama madini na kwingineko, upatikanaji wa huduma za kijamii ulipanda na uwajibikaji ulikuwepo,

Ni mwaka mmoja Sasa umepita toka awamu ya sita, iingie madarakani, kwa viongozi wale wale ajenda kubwa inayonekana sio tena maendeleo wala, namna ya kukuza uchumi wa nchi sambamba na vipato sasa ni vijembe visivyo na logic wala relevance, kukemea mienendo ya mtangulizi wako Hayati Magufuli ni kujidhalilisha tu, haswa wakati huu dunia inapitia kipindi kigumu sana, inakuonesha uko hapo kutetea uonevu, ufisadi na kujinufaisha wewe pamoja na familia yako.

Ni vyema ukachunga kinywa chako na ukachagua maneno ya kusema utazidi kupoteza mvuto, kumuita binadamu Simba wa Yuda ni kumdhihaki sio yeye tuu, hata dhehebu fulani litahisi hivyo

Katika maadhimisho ya mwaka mmoja awamu ya sita iingie, hamna jambo hata, la kujivunia zaidi tozo kandamizi, na diplomasia.

Mimi rai yangu naomba mh Rais, usitafute sifa kwa jirani wakati watoto wako wanakufa na njnn.
Kweli hizi kauli mbaya!
Kwani si ndiye alikuwa msaidizi na mshauri wa karibu kabisa na huyo Yuda!!?
Ilikuwaje hakumshauri au kumwambia sio asili yetu??
Sasa hivi unaowaambia unataraji utendaji uwe wa dhati toka moyoni?? Unapigwa mchana kweupeeh!!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Ki eneo Rais Samia anatokea Ukanda wa waswahili na huenda naye ni mswahili pia ni sawa japokuwa ni lazima sasa aachane na huo uswahili wake kwa sababu ya dhamana aliyonayo kwa Taifa.

Kauli zake za kiswahili hasa ahutubiapo hadhira fulani hazipendezi na hazifurahishi kabisa!
 
Tofautisha kati ya Uswahili na intelligence, usichanganye mambo mimi ni Mswahili na ninajivunia Uswahili wangu na ninaelewa ninachokiongea, intelligence ni pamoja na kujua mipaka ilipo na kuiheshimu sasa uwezo wa kujua mipaka ilipo siyo swala la Utamaduni fulani bali ni intelligence, got it ?
 
Kwa mara ya kwanza 2024 nitashiriki siasa kuhakikisha wale wanaonifanya wana haki ya kutawala Tz wanaondoka madarakani sisi ambao tuko na msimamo wa kati kwa sasa tunaona ni bora chama chochote kiingie madarakani lakini siyo hawa ambao wanatuaminisha wanapigania maslahi yetu kumbe wanapigania maslahi yao
 
Tofautisha kati ya Uswahili na low intelligence, usichanganye mambo mimi ni Mswahili na ninajivunia Uswahili wangu na ninaelewa ninachokiongea, najua mipaka ilipo, sasa uwezo wa kujua mipaka ilipo siyo swala la Utamaduni bali ni intelligence, got it ?
Can you be a little straight? U mean? 😂😂😂😂
 
Kumekuwa na mkakati mkumbwa wa kuaminisha watu kuhusu mwenendo wa siasa zetu, na kwa bahati mbaya sana chama kilichopo madarakani, chama cha mapinduzi kumekuwa kikipambana chenyewe dhidi ya kivuli chake, yaani kila awamu inaisema awamu iliyopita. Ilitokea kwa Kikwete alivyoachiwa na Mkapa, Magufuli alivyoachiwa na Kikwete, na sasa Rais Samia alivyoachiwa na Magufuli.

Katika kusemeana wanatofautiana logic na relevance, tukiangalia awamu hizi mbili za mwisho, viongozi waandamizi ni wale wale, na viongozi wakuu wanatofautiana namna walivyoingia madarakani.

Uchaguzi 2015 Magufuli aliingia kwa mbinde sababu Imani ya watu katika chama na Serikali ilipungua mno, hivyo ilibidi afanye juhudi kubwa kuturudisha imani hiyo, na Sera ya chama hapa kazi tuu, ilitumika kubadili mindset ya wananchi na watumishi, kusafisha uozo ulikuwepo mf. Mikataba mibovu kama madini na kwingineko, upatikanaji wa huduma za kijamii ulipanda na uwajibikaji ulikuwepo,

Ni mwaka mmoja Sasa umepita toka awamu ya sita, iingie madarakani, kwa viongozi wale wale ajenda kubwa inayonekana sio tena maendeleo wala, namna ya kukuza uchumi wa nchi sambamba na vipato sasa ni vijembe visivyo na logic wala relevance, kukemea mienendo ya mtangulizi wako Hayati Magufuli ni kujidhalilisha tu, haswa wakati huu dunia inapitia kipindi kigumu sana, inakuonesha uko hapo kutetea uonevu, ufisadi na kujinufaisha wewe pamoja na familia yako.

Ni vyema ukachunga kinywa chako na ukachagua maneno ya kusema utazidi kupoteza mvuto, kumuita binadamu Simba wa Yuda ni kumdhihaki sio yeye tuu, hata dhehebu fulani litahisi hivyo

Katika maadhimisho ya mwaka mmoja awamu ya sita iingie, hamna jambo hata, la kujivunia zaidi tozo kandamizi, na diplomasia.

Mimi rai yangu naomba mh Rais, usitafute sifa kwa jirani wakati watoto wako wanakufa na njnn.
Una ukakasi wa mawazo.
Mbona mama ameeleweka vizuri tu.
Kwanini mnasahau Magufuli alipotamba kuwa yeye hashsuriki na hata akifa atakuwa kiranja wa malaika.
Usijifiche upinzani wako nyuma ya dini.
 
Back
Top Bottom