Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,384
- 3,254
Tujiandae tu na Chamoto Njaa,Ufukara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali saa hz umeuliza kiungwana, sio lazima mpk utukane.Unaujua mtaa ninaoishi?
Nani wa kulaumiwa kwa uchumi wa Tanzania kuwa informal kama siyo hao Mapaka(CCM) ambao wametawala Tanzania kwa miaka 60 ya uhuru ambapo wameshindwa hata kutatua changamoto ndogo kabisa kama vile matundu ya vyoo mashuleni,maji na kadhalika ndani ya miaka hiyo 60 ya uhuru?Tzn sio Spain ,pili nature ya uchumi wa Tzn sio sawa na huko Spain.
Wao uchumi wote ni formal wakati Tzn ni informal kwa hiyo by means of substitution Tzn tuko vizuri kuliko wao.
Zama za ufukara ilikuwa awamu ya 5 hata wewe unajua.Tujiandae tu na Chamoto Njaa,Ufukara
Ila kwei maana Kuna siku alihohiwa akasema akiwa anapitia pitia ma file anasikiliza na TaarabuAna soma kwa mange itakua hapa!
Rais anajenga masoko ya Machinga Ili kurasimisha biashara zao na walipe Kodi still mnapinga eti anafukuza machinga.Nani wa kulaumiwa kwa uchumi wa Tanzania kuwa informal kama siyo hao Mapaka(CCM) ambao wametawala Tanzania kwa miaka 60 ya uhuru ambapo wameshindwa hata kutatua changamoto ndogo kabisa kama vile matundu ya vyoo mashuleni,maji na kadhalika ndani ya miaka hiyo 60 ya uhuru?
Wanaopenda shortcut ni hawa CCM ambao kwa kipindi cha miaka 60 ya uhuru wanakomaa kujenga uchumi wa informal🐒🐒🐒Rais anajenga masoko ya Machinga Ili kurasimisha biashara zao na walipe Kodi still mnapinga eti anafukuza machinga.
Hii Nchi mumejaa viazi wengi Sana mnapenda shortcut ambazo Samia hataki,mlie mchukie na mtukane etc.She is focused
View attachment 2169969
Tulia inatoshaAfadhali saa hz umeuliza kiungwana, sio lazima mpk utukane.
Mi sijui mtaa unaoishi, mjibu tu huyo jamaa kile umekifafanya kusaidia jamii yako japo at a street level
Safi sana. Lakini zile tozo 42 kati ya 47 zilizoondolewa, waziri amejiridhisha zilikuwa hazijapangiwa bajeti?Kuna mkakati wa mda mfupi na mda mrefu,subiria outline ya bajeti kuanzia mwezi wa 4 utaona.
Hujasikia Serikali itapeleka nguvu kwenye kilimo? Huoni juhudi za Serikali?
View attachment 2169938
View attachment 2169939
View attachment 2169940
View attachment 2169941
Muulize PM alikuwepo kwenye hicho kikao cha maamuzi.Safi sana. Lakini zile tozo 42 kati ya 47 zilizoondolewa, waziri amejiridhisha zilikuwa hazijapangiwa bajeti?
Ni samia ama JPM?
Pumba ya mashudu, rudia kusoma uliyoyaandika.Hii pumba ya kitu gani umeandika hapa?
Nausea! Baadhi vitu si vya kutaja taja.Ni samia ama JPM?
Maza yako ni maza wangu. Kwa hiyo nimuulize maza yako?Muulize maza ako anajua nachokifanya
Ni samia ama JPM?
Works undergoes 24hrs daily,nimeshuhudia kwa macho ndg.mradi ulianzishwa 2017 kwa hela ya mkopo kutoka Standard Chartered Bank $1.46billion kukamilisha kipande cha Dar - Dodoma 550km. kipande cha Dsm-Moro kilitegemewa kukamilika 2019, mpaka leo hii bado ni porojo tu kama huyu muanzisha uzi. Watu wanaenda kupiga picha na kurudi kwenye porojo.
hizi km 550 zinapatikanaje mkuu na tunaambiwa dar moro ni km 184, au tren inazunguka sanamradi ulianzishwa 2017 kwa hela ya mkopo kutoka Standard Chartered Bank $1.46billion kukamilisha kipande cha Dar - Dodoma 550km. kipande cha Dsm-Moro kilitegemewa kukamilika 2019, mpaka leo hii bado ni porojo tu kama huyu muanzisha uzi. Watu wanaenda kupiga picha na kurudi kwenye porojo.
PoaMaza yako ni maza wangu. Kwa hiyo nimuulize maza yako?