Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Tzn sio Spain ,pili nature ya uchumi wa Tzn sio sawa na huko Spain.

Wao uchumi wote ni formal wakati Tzn ni informal kwa hiyo by means of substitution Tzn tuko vizuri kuliko wao.
Nani wa kulaumiwa kwa uchumi wa Tanzania kuwa informal kama siyo hao Mapaka(CCM) ambao wametawala Tanzania kwa miaka 60 ya uhuru ambapo wameshindwa hata kutatua changamoto ndogo kabisa kama vile matundu ya vyoo mashuleni,maji na kadhalika ndani ya miaka hiyo 60 ya uhuru?

Unajitetea kuwa uchumi wa Tanzania ni informal unasahau kuwa uchumi huo wa informal umejengwa na MaCCM kwa kipindi cha miaka 60?Unaelewa kuwa miaka ya 1950 Korea ya kusini ilikuwa sawa na Tanzania katika masuala ya maendeleo?
 
Tujiandae tu na Chamoto Njaa,Ufukara
Zama za ufukara ilikuwa awamu ya 5 hata wewe unajua.

Saizi kila page ukifungua ajira kila siku kuanzia za serikali na private sector, investors kila siku wanakuja, biashara zinafunguka huo ufukara na umaskini utatoka wapi?

Kwa expansion ya uchumi serikali inapata pesa zaidi za kuhudumia watu wake ,kero za.sasa.ni.kero za mafanikio .

Screenshot_20220329-162800.png

Screenshot_20220329-162810.png

Screenshot_20220329-162855.png

Screenshot_20220329-162918.png

Screenshot_20220329-162931.png

Screenshot_20220328-164919.png

Screenshot_20220328-115637.png

Screenshot_20220328-114505.png

Screenshot_20220328-091139.png
 
Nani wa kulaumiwa kwa uchumi wa Tanzania kuwa informal kama siyo hao Mapaka(CCM) ambao wametawala Tanzania kwa miaka 60 ya uhuru ambapo wameshindwa hata kutatua changamoto ndogo kabisa kama vile matundu ya vyoo mashuleni,maji na kadhalika ndani ya miaka hiyo 60 ya uhuru?
Rais anajenga masoko ya Machinga Ili kurasimisha biashara zao na walipe Kodi still mnapinga eti anafukuza machinga.

Hii Nchi mumejaa viazi wengi Sana mnapenda shortcut ambazo Samia hataki,mlie mchukie na mtukane etc.She is focused

Screenshot_20220311-134201.png
 
Rais anajenga masoko ya Machinga Ili kurasimisha biashara zao na walipe Kodi still mnapinga eti anafukuza machinga.

Hii Nchi mumejaa viazi wengi Sana mnapenda shortcut ambazo Samia hataki,mlie mchukie na mtukane etc.She is focused

View attachment 2169969
Wanaopenda shortcut ni hawa CCM ambao kwa kipindi cha miaka 60 ya uhuru wanakomaa kujenga uchumi wa informal🐒🐒🐒
 
mradi ulianzishwa 2017 kwa hela ya mkopo kutoka Standard Chartered Bank $1.46billion kukamilisha kipande cha Dar - Dodoma 550km. kipande cha Dsm-Moro kilitegemewa kukamilika 2019, mpaka leo hii bado ni porojo tu kama huyu muanzisha uzi. Watu wanaenda kupiga picha na kurudi kwenye porojo.
 
Ni samia ama JPM?

Works undergoes 24hrs daily,nimeshuhudia kwa macho ndg.
 
mradi ulianzishwa 2017 kwa hela ya mkopo kutoka Standard Chartered Bank $1.46billion kukamilisha kipande cha Dar - Dodoma 550km. kipande cha Dsm-Moro kilitegemewa kukamilika 2019, mpaka leo hii bado ni porojo tu kama huyu muanzisha uzi. Watu wanaenda kupiga picha na kurudi kwenye porojo.
hizi km 550 zinapatikanaje mkuu na tunaambiwa dar moro ni km 184, au tren inazunguka sana
 
Back
Top Bottom