Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Biblia inasema 'mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru kwelikweli ' kumradhi kwa watu wa imani nyingine lakini kwa sisi wakristo tunaoamini maandiko ya Biblia Takatifu tunaona sasa ni wakati wa watu kuijua kweli. Kwa nini?

i) Uelewa wa watu ni mdogo sana juu kinachoendelea kwenye uchumi. Kukaa kimya kwa serikali kunatafsirika kwamba nao ni sehemu ya vitu kupanda bei.

ii) Samia hajatafuta ushujaa ila amaekuweka tayari kwa ajili ya kufunga mkanda kwa hali inayokuja. Inabidi watu wajue mzalishaji mkubwa duniani wa nishati, madini, nafaka na sunflower yupo vitani na uzalishaji na usambazaji lazima utikiswe.

iii) Nampongeza kutoa taarifa ya hali ilivyo na kwa jinsi ilivyo huo ndio ushujaa.
Naunga mkono hoja, upuuzi aliokuwa anafanya Jiwe Kisa kutafuta kupendwa kwa lazima haiwezekani kwa sasa.

Wale mnaojifariji kumchukia Rais Kisa kawaambia ukweli ndio kwanza mna mpa baraka.

Shikilia hapo hapo
 
Anakera vibaya sana na kingine ni kila kitu kwenye hotuba yake anakuwa hakijui so anaishia kusema "hili nimemwambia Fulani aliangalie " halaf ndo imetoka hiyo hakuna feedback wala nn
 
Biblia inasema 'mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru kwelikweli ' kumradhi kwa watu wa imani nyingine lakini kwa sisi wakristo tunaoamini maandiko ya Biblia Takatifu tunaona sasa ni wakati wa watu kuijua kweli. Kwa nini?

i) Uelewa wa watu ni mdogo sana juu kinachoendelea kwenye uchumi. Kukaa kimya kwa serikali kunatafsirika kwamba nao ni sehemu ya vitu kupanda bei.

ii) Samia hajatafuta ushujaa ila amaekuweka tayari kwa ajili ya kufunga mkanda kwa hali inayokuja. Inabidi watu wajue mzalishaji mkubwa duniani wa nishati, madini, nafaka na sunflower yupo vitani na uzalishaji na usambazaji lazima utikiswe.

iii) Nampongeza kutoa taarifa ya hali ilivyo na kwa jinsi ilivyo huo ndio ushujaa.
Uko sahihi kabisa,ila kauli zake zinafanya hata kile ambacho kingebaki na bei ileile na kiliingia kabla ya hiyo vita kitapanda tu Kwa kisingizio Cha vita.........
 
Naunga mkono hoja, upuuzi aliokuwa anafanya Jiwe Kisa kutafuta kupendwa kwa lazima haiwezekani kwa sasa.

Wale mnaojifariji kumchukia Rais Kisa kawaambia ukweli ndio kwanza mna mpa baraka.

Shikilia hapo hapo
Jiwe alikuwa alikuwa anasema ukweli tena ule uliokuwa unauma sana ndio maana wale walimchukia, 'Msema kweli ni mpenzi wa Mungu au nasema uongo ndugu zangu'
 
Wakati wenzetu wanapambana kutatua changamoto za uchumi zilizosababishwa na vita ya Ukraine huku kwetu Mapaka yanatutangazia kuwa maisha yatakuwa magumu kutokana na vita hiyo.Nitaendelea kuimba kuwa Tanzania inaongozwa na vibaka.
View attachment 2169910
Tzn sio Spain ,pili nature ya uchumi wa Tzn sio sawa na huko Spain.

Wao uchumi wote ni formal wakati Tzn ni informal kwa hiyo by means of substitution Tzn tuko vizuri kuliko wao.

Tzn gas ikipanda unanunua mkaa au Kuni,huko Spain hakuna hayo.

Tzn mafuta ya kula yakipanda tunatumia karanga,mbegu za maboga,ufuta,nk nk

Tzn bei za vitu viwanda I zikipanda mfano Sabuni tunatumia za wanaojiita wajarisiamali hata ukioanda basi unawakauta wanatangaza bidhaa zao hawalioi Kodi popote.

So we have the long list of alternatives kuliko hao unaowataja.
 
Mama usiingie kwenye mtego wa kijinga huu wa kutaka kudanganya watu Ili kutafuta kupendwa kwa vijimaneno vya sijui comforter and such upuuzi.

Tunaokuunga mkono tunafurahi kwa kusimamia ukweli bila kujalisha waliozoea uongo wanatakaje.

Ukweli na usemwe kama ulivyo

View attachment 2169919
Sawa . Sasa ni mkakakati gani upo kwa ajili ya kudhibiti hali hii mbaya ya kupanda kwa gharama za maisha nchini? Nadhani jibu lipo.
 
Uko sahihi kabisa,ila kauli zake zinafanya hata kile ambacho kingebaki na bei ileile na kiliingia kabla ya hiyo vita kitapanda tu Kwa kisingizio Cha vita.........
Bei inaamuliwa na soko sio kauli,nani apandishe bei Kisa kauli,kwa monopoly ipi hiyo?

Kwenye Duniani ya ushindani hakuna kitu kama hicho.Huu ujinga nani aliwakaririsha? Jiwe aliwahi toa amri za sukari kushuka,vipi hadi leo hii ilishuka chini ya 3,000?
 
Kama huna uhakika wa Jambo usiliongelee ( usikurupuke ) nalo Kwanza halafu ukiwa unaliongelea unasema 'Unadhani' bali achana nalo mpaka pale Wasaidizi wako watakapokupa Ufafanuzi wake wa Kina ili ukija sasa mbele ya Hadhira ( Public ) kutuambia uwe una uhakika nalo 100% pasi na Mashaka.

Katika Hotuba zako nyingi huwa unapenda mno kutumia neno Nadhani / Unadhani kitu ambacho Binafsi kama GENTAMYCINE sioni kama kwa Mtu wa Hadhi yako, Kiongozi wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu ( Commander in Chief ) kutumia neno hilo ni sahihi bali litaanza kutoa / kutupa Mashaka unaotuongoza.

Tunaogopa kuwa ukilizoea sana hili neno la Nadhani / Unadhani yawezekana kuna Siku Taifa Letu likawa Matatizoni ( kwa Majanga au Vita japo GENTAMYCINE siombei ) huku Watanzania tukiangamia na Kufa halafu Wewe ukihojiwa utasema kuwa unadhani 'tunakufa' wakati kumbe 'tunakufa' kweli tena kwa idadi Kubwa tu.

Hili neno la Kudhani / Unadhani acha tu tulitumie Sisi tu Watu wa Kawaida mno huku Mtaani / Mitaani ila Wewe kama Mheshimiwa Rais kiukweli halikupendezi, linakuharibia na hata kufanya baadhi ya Watu ( wenye Umakini mkubwa Kichwani ) waanze kuwa na Mashaka nawe Kiuwezo na Kiutendaji.

Ninaamini hutonichukia Mheshimiwa!!!!!
Mind your own business, wewe zezeta kila Jambo unajifanya unajua! Tutakurudisha kwenu Rwanda
 
Uko sahihi kabisa,ila kauli zake zinafanya hata kile ambacho kingebaki na bei ileile na kiliingia kabla ya hiyo vita kitapanda tu Kwa kisingizio Cha vita.........
Lengo kuu la kuundwa kwa mamlaka za udhibiti na mabaraza ya walaji lilikuwa ni kusimamia bei za huduma au bidhaa. Kwanza watu wanatakiwa kujua bei zitapanda lakini ni jukumu la serikali kudhibiti upandaji holela
 
Sawa . Sasa ni mkakakati gani upo kwa ajili ya kudhibiti hali hii mbaya ya kupanda kwa gharama za maisha nchini? Nadhani jibu lipo.
Kuna mkakati wa mda mfupi na mda mrefu,subiria outline ya bajeti kuanzia mwezi wa 4 utaona.

Hujasikia Serikali itapeleka nguvu kwenye kilimo? Huoni juhudi za Serikali?

Screenshot_20220330-103119.png

Screenshot_20220330-102945.png

Screenshot_20220329-192149.png

Screenshot_20220329-192137.png
 
Kifupi unataka aseme ndugu watanzania wakati soko la mafuta duniani linaonesha bei kupanda hapa nchini haita kuwa hivyo. Tutafanya kila tunaloweza kushusha bei hiyo kwani tunayo seserve ya kutosha 😁

Mrusi anauza mafuta bei ya kutupwa.Tatizo hiyo wizara Waziri hana viwango.
 
We mbuzi wa kinyarwanda, mind ur own business, we zezeta kila Jambo unajifanya unajua! Tutakurudisha kwenu rwanda na lichupi lako tu bila dela
Sio mnyarwanda huyo ni mtu wa Bunda vijijini huko mkuu. Rwanda hakunaga vilaza wa namna HII mkuu
 
Bei inaamuliwa na soko sio kauli,nani apandishe bei Kisa kauli,kwa monopoly ipi hiyo?

Kwenye Duniani ya ushindani hakuna kitu kama hicho.Huu ujinga nani aliwakaririsha? Jiwe aliwahi toa amri za sukari kushuka,vipi hadi leo hii ilishuka chini ya 3,000?
Usidhani kila mtu ni mjinga mkuu na anakaririshwa tu, kwasababu ya mahaba ......
 
Jiwe alikuwa alikuwa anasema ukweli tena ule uliokuwa unauma sana ndio maana wale walimchukia, 'Msema kweli ni mpenzi wa Mungu au nasema uongo ndugu zangu'
Huyu huyu Jiwe aliyewadanganya kwamba tunajenga kwa pesa zetu matokeo yake yamekuwa haya?

Hapo ongezeko la deni ni kwa sababu ya riba plus mikopo mipya.
👇

Screenshot_20220330-151034.png
 
Bei inaamuliwa na soko sio kauli,nani apandishe bei Kisa kauli,kwa monopoly ipi hiyo?

Kwenye Duniani ya ushindani hakuna kitu kama hicho.Huu ujinga nani aliwakaririsha? Jiwe aliwahi toa amri za sukari kushuka,vipi hadi leo hii ilishuka chini ya 3,000?
Ni wapi sukari inauzwa zaidi ya 3000 ?
 
Lengo kuu la kuundwa kwa mamlaka za udhibiti na mabaraza ya walaji lilikuwa ni kusimamia bei za huduma au bidhaa. Kwanza watu wanatakiwa kujua bei zitapanda lakini ni jukumu la serikali kudhibiti upandaji holela
Uko sahihi, hayo mabaraza ni active nchini?
 
Huyu huyu Jiwe aliyewadanganya kwamba tunajenga kwa pesa zetu matokeo yake yamekuwa haya?👇

View attachment 2169942
Uz
Huyu huyu Jiwe aliyewadanganya kwamba tunajenga kwa pesa zetu matokeo yake yamekuwa haya?

Hapo ongezeko la deni ni kwa sababu ya riba plus mikopo mipya.
👇

View attachment 2169942
Kwa kukusaidia tu tafuta hotuba aliyokuwa anazungumzia hayo uisikilize kwa makini naamini utakuja kunishukuru. Rais Magufuli hajawahi kusema kila kitu tunajenga kwa pesa yetu na kwa mfano alisema reli ya SGR lakini kwa sababu huwa hamsikilizi mpaka mwisho ili muwahi kupost mitandaoni mnajikuta mmekosa sehemu ya kusimamia hoja
 
Uko sahihi,hayo mabaraza ni active nchini?
Kuwa active kwa maana ya kufanya kazi au kufanya kazi kwa ufanisi? Kama kufanya kazi yanafanya kazi lakini kufanya kazi kwa ufanisi hilo siwezi kusema kwa sababu zifahmu sera na mipango yao
 
Back
Top Bottom