Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kwani mama kakosea??? Mwacheni mama ajinafasi yule msukuma alipokuwa rais wasukuma wote walikuwa watawala.
Hili nakubaliana na wewe Mkuu, tulikuwa hatulali, kula wala kunywa. Wasukuma wote walikuwa Mapresidaa. Utasikia sisi ndio wenye nchi!
 
Ndo wanavyolelewa hawa wenzetu kwao mipasho ni sawa na kuku na yai ama kuku na utitiri, haviachani.
 
Sukuma gang mna shida sana?

Samia kamdhihaki nani? Kuitwa Simba wa Yuda ni kudhihakiwa?

Nani kasema kuitwa Simba wa Ayuba ni kudhihakiwa?
 
Kujiita tu kijakazi inaonesha huna akili!

How come you judge somebody intelligence while you call yourself kijakazi? Takataka wewe
 
Mama kamatia hapohapo, elimisha wananchi wajue kama tulikuwa zombies miaka 6 iliopita. [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mama anaanza kukosa mvuto. Sijui akikaa kimywa atapungukiwa nini. Pathetic
 
Pigani Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi
 
Hana sifa ya urais, unampwaya
 
CCM ni kubwa sana, na hakuna ajuae nani ni nani ndani yao.

Anayeishikilia Katiba ya nchi ni Mkuu wa Majeshi JWTZ.

As long as CCM watagoma kubadilisha katiba ya nchi basi haitawezekana kubadili mfumo kwamba Rais aliyeko madarakani leo ndiye atatawala na mdiye atakayechagua mrithi; ..nategemea hili kwa Mama Samia 100%. na yeye akiondoka 2030 kama ikimpendeza basi ataweka mrithi wake.

Ni bahati mbaya sana Jiwe kafa ghafla...ila kama angeishi na yeye ingekuwa hivi hivi.

As long as Katiba hii inaendela JWTZ ina utii wa Rais aliyeko madarakani na kwa katiba hii hiyo ndiye atakuwa kiongozi wetu 2025 na 2030. Mimi najua hivyo na kama wewe unanibishia basi qewe no zuzu laTaifa.

Kuna wajinga wachache walijaribu eti kupindua katiba baada ya kifo tu cha mwendazake..habari yao washaipata....wote.


Tunaolilia katiba mpya tuna akili kubwa, hao wana CCM ma hohehahe wanaolia leo ni mazuzu wakuu.wapuuzwe kabisa.
 

Unasema Magufuli 2015 aliingia kwa mbinde maana imani ilikuwa imepungua kwa chama na serikali. Mbona 2020 uchaguzi ndio ukawa wa kihayawani kuliko hiyo 2015? Mama Samia ameongea kweli tena ametumia lugha ya staha sana.

Ila ukweli ni kuwa Magufuli hakupaswa kuwa rais, yule alikuwa ni mlevi wa madaraka, na alikuwa anatumia lugha za udhalilishaji kupita kiasi. Hakupaswa kumuita simba wa yuda bali ibilisi, ila kwa kuheshimu akamuita Simba wa Yuda.
 
Magufuli alinajisi uchaguzi akajaza wabunge wa ccm bungeni eti kuwa ni wazalendo, sasa hao wabunge wa ccm waibane serikali kwenye hiki kinachofanywa na serikali ili kudhibitisha ule uzalendo wao tulioambiwa.
 
Tumsifu Yesu Kristo!

Kwenu wote lkn hasa waumini wenzangu. Nimepitia mitandao na kuona lawama nyingi kutaka kutuhamisha kwenye agenda ya kitaifa ya ujenzi wa umoja wa kitaifa anao ujenga Mama Samia. Na wanaotaka kutuhamisha wanataka kutuaminisha kuwa kumwita mtu Simba wa Yuda ni kufuru katika imani ya Ukristo. Mimi nasema hapana. Kwanini?

1. Pamoja na jina hilo kutumika katika muktadha wa kumtaja Yesu, lkn pia jina hilo limetumika katika kuonesha kitu imara, chenye Msimamo na nguvu.

2. Simba wa Yuda Sio utambulisho rasmi kumaanisha Mungu Yesu katika utatu mtakatifu. Tunapotosha, tunaongopa

3. Muktadha wa matumizi haukulenga kutenda hilo linalozemwa, na Ni kama mtamkaji amekutana nalo mitaaani. Simba wa Yuda Mwenye masharubu ni Simba gani huyo katika bibilia. Ambae akiguswa sharubu anakurarua?

4. Kufru za Ukristo sio katika kumdharau Yesu, wala Kumtaja vibaya. Alitundikwa msalabani. Hakuna aibu kubwa kama ile kwaajili ya ukombozi wetu.

5. Kwa Sasa hakuna wa kumvua nguo Yesu mara mbili maake alishavuliwa, wakristo wa kweli hatuko katika hayo mambo madogo madogo yasiyo na maana.

Mwisho, tuendelee kukosoa na kumuunga mkono Mama Samia katika Roho na Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…