Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Wala hajakosea lolote,angalia nuktadha aliokuwa anauongelea
 
Hana sifa ya urais, unampwaya
Wakati mwingine tuseme ukweli. Asiyekuwa na sifa ni mwendazake kwani yeye ndiye aliyemteua. Asingemteua leo asingekuwa rais. Yeye ndiye wa kulaumiwa. Yule uliyenwona anazo sifa zote ndo kafanya haya. Sasa tafakari alikuwa na sifa au la?
 
Anaweza kusamehewa kwani hajui.
 
Watu wana nia ya kuingiza udini baada ya kufilisika hoja.
Magufuli kuna sehemu alikosea na lazima asemwe tu.
Wakati Rais Mwinyi akifungua milango ya utandawazi, watu walimsema sana.

Kauli aliyoitoa nakumbuka hata leo, kelele za kufungua mlango hazimsumbui kupata usingizi.
 
Mimi binafsi naona fahari kuitwa mswahili wa pwani. Katika nchi yetu ustaarabu ulianzia kwenye ukanda wa pwani. Kuanzia usafi wa mwili, mapishi, adabu za kuongea n.k.
 
Wanajitahidi kumtetea Mwendazake kanakwamba hatumjui.
Hoja hapa ni uongozi mbovu aliokuwa nao unarekebishwa, wa nufaika na ubaya wa mwendazake wanataka kututoa kwenye uelewa wa hoja iliyo zungumzwa na mama.
Kufitinisha ndo walilobakiwanalo!

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Binadamu mna Nongwa, Mama chapa kazi hauwezi pendwa na kila mtu

Kauli hiyo ndogo na hajaongea kwa ubaya umeshakuja kufungua uzi 😿😿😿
 
Mkuu, mbona unazungukazunguka kote huko?

Muulize 'Maza Mizinguo' serikali anayoiongoza ilitoka wapi; alichaguliwa na nani hadi kufika awamu ya sita na kuanza kuisuta awamu iliyotangulia.
Ukiuliza swali hilo, na kama anayo akili nzuri atakuelewa tu uliyoandika hapa kwa kirefu sana kiasi cha kumzungusha kichwa.
 
Nani huyo alizima? Weka clip
Itafute ipo hapa ni contractor wa kampuni inaitwa scol


Haya hiyo hapo


 
Ndani ya CCM membres wanalia ndani ya mioyo yao..... ila wakumbuke huu ndiyo mfumo unaoutaka.

JWTZ yenyewe inafuata katiba tu...kama hamtakubaliana wenyewe hilo haliwahusu.

Kuna madogo kama wawili hivi walikula umeme sababu ya kutaka kuchezea katiba baada ya kifo cha mwendazake.

Hili ni fundisho kaamba katiba I alikuwa na JWTZ. wengi hawajui hili.
 
Tunaomkosoa Magufuli wewe hukuwa mmoja wao. Tumemkosoa tangu siku ya kwanza mpaka anakufa. Hata alipoitwa Mungu na Palamagamba tulimwambia na wewe ulikaa kimya.

Alipoambiwa aombwe msamaha na Mungu na Mwanri tulimwambia wala hatukumficha na wewe ulikaa kimya. Simba wa Yuda kwenye Ukristo anajulikana ni nani na kwa nini aliitwa Simba wa Yuda.

Kama ni kumfananisha na uimara kwa nini asifananishwe na SAW?
 
Uhuru usio na mipaka ni tatizo saana, wewe ni nani wa kumwambia Rais hivyo?
Alichoongea Mama Samia Suluhu Hassan ni ukweli mtupu, watu hapo nyuma walikuwa na nidhamu ya uoga, kila kitu walifanya kwa kumuogopa mtu na sio kwa Utash wao.
Nidhamu ya uoga, kwa maana kwamba yeye mwenyewe alikuwa na nidhamu ya uoga kiasi kwamba pamoja na kuwa tofauti kabisa na bosi wake, kama inavyoonyesha sasa, hakuwa na ubavu wa kusema chochote?
Sasa tuamini kwamba hakuna "nidhamu ya uoga" kwa hao wanaomfanyia kazi?

Yeye mwenyewe inaonyesha wazi anaendeleza yale yale ya kuwa na nidhamu potofu kwa waTanzania, kwa sababu haelewi anachokifanya kwa maslahi ya wananchi.

Kinachomwendesha sasa hivi ni "atabaki vipi madarakani"; hiyo siyo nidhamu ya uoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…