Uhuru usio na mipaka ni tatizo saana, wewe ni nani wa kumwambia Rais hivyo?
Alichoongea Mama Samia Suluhu Hassan ni ukweli mtupu, watu hapo nyuma walikuwa na nidhamu ya uoga, kila kitu walifanya kwa kumuogopa mtu na sio kwa Utash wao.
Waswahili ni kabila kati ya makabila Tanzania wapo Kilwa kisiwani wilaya ya kilwa. Ishu kiti amekalia asiye na uwezo nacho, mwanamke kamwe hawezi kuwa babaKi eneo Rais Samia anatokea Ukanda wa waswahili na huenda naye ni mswahili pia ni sawa japokuwa ni lazima sasa aachane na huo uswahili wake kwa sababu ya dhamana aliyonayo kwa Taifa.
Kauli zake za kiswahili hasa ahutubiapo hadhira fulani hazipendezi na hazifurahishi kabisa!
Mwosha huoshwa haya ni matunda aliyoacha mwendazake kipindi chake Kikwete alionekana hakufanya chochote katika nchi hii kwa muda wa miaka kumi.
Watu kama nyie Mna vichwa ila hamna ubongo huoni kuna hoja kwa kilichozungumzwa hapo juu au unaleta ushabiki maandazi hapa.
Makamba Snr amesema wanajipanga kwa uchaguzi wa 2025, tusitegemee maendeleo chini ya uwongozi wa CCM.
Kama wamenuna waende Burundi.Uhuru usio na mipaka ni tatizo saana, wewe ni nani wa kumwambia Rais hivyo?
Alichoongea Mama Samia Suluhu Hassan ni ukweli mtupu, watu hapo nyuma walikuwa na nidhamu ya uoga, kila kitu walifanya kwa kumuogopa mtu na sio kwa Utash wao.
Hii ni awamu ya tano mhula wa pili.Mkuu, mbona unazungukazunguka kote huko?
Muulize 'Maza Mizinguo' serikali anayoiongoza ilitoka wapi; alichaguliwa na nani hadi kufika awamu ya sita na kuanza kuisuta awamu iliyotangulia.
Ukiuliza swali hilo, na kama anayo akili nzuri atakuelewa tu uliyoandika hapa kwa kirefu sana kiasi cha kumzungusha kichwa.
Ndugu yangu mimi ni mshabiki mkuu wa Kikwete kwa sababu moja tuu alipeleka shule za secondari watoto wa msikini kupita watawala wote unaowajua africa. Pia kikwete alifuta kero ya vijana ya kurudia rudia darasa la saba.Mwosha huoshwa haya ni matunda aliyoacha mwendazake kipindi chake Kikwete alionekana hakufanya chochote katika nchi hii kwa muda wa miaka kumi.
Na kimsingi Mama amegusa positively msingi wa mafundisho ya Ukristo, anataka watu wabadilike kutoka Mioyoni Mwao. Hiyo ni injili, injili kuu.Wanajitahidi kumtetea Mwendazake kanakwamba hatumjui.
Hoja hapa ni uongozi mbovu aliokuwa nao unarekebishwa, wa nufaika na ubaya wa mwendazake wanataka kututoa kwenye uelewa wa hoja iliyo zungumzwa na mama.
Kufitinisha ndo walilobakiwanalo!
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nimeandika, nikafuta.Katika lugha ya kiswahili hilo neno mswahili ni tata sababu lina maana pana sana ikiwemo mswahili ni mchawi, ni mtu anaeongea kiswahili, ni mtu anaetokea Tanzania hasa maeneo ya pwani , ni mtu mjanja mjanja ( tapeli au mwizi ), pia mswahili ni mtu anaeongea sana yaani maneno mengi hakuna vitendo, pia mswahili ni mnafiki. Sasa mleta mada naomba uchague uswahili wa bibi yenu samia ili tumjue yupo kundi gani
wewe ndio hujui usiseme sisi,na nani?Na ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mengine sisi hatujui.
Magufuli alikuwa na kila sababu kuiongoza nchi katika hali ile.Uhuru usio na mipaka ni tatizo saana, wewe ni nani wa kumwambia Rais hivyo?
Alichoongea Mama Samia Suluhu Hassan ni ukweli mtupu, watu hapo nyuma walikuwa na nidhamu ya uoga, kila kitu walifanya kwa kumuogopa mtu na sio kwa Utash wao.
Kumekuwa na mkakati mkumbwa wa kuaminisha watu kuhusu mwenendo wa siasa zetu, na kwa bahati mbaya sana chama kilichopo madarakani, chama cha mapinduzi kumekuwa kikipambana chenyewe dhidi ya kivuli chake, yaani kila awamu inaisema awamu iliyopita. Ilitokea kwa Kikwete alivyoachiwa na Mkapa, Magufuli alivyoachiwa na Kikwete, na sasa Rais Samia alivyoachiwa na Magufuli.
Katika kusemeana wanatofautiana logic na relevance, tukiangalia awamu hizi mbili za mwisho, viongozi waandamizi ni wale wale, na viongozi wakuu wanatofautiana namna walivyoingia madarakani.
Uchaguzi 2015 Magufuli aliingia kwa mbinde sababu Imani ya watu katika chama na Serikali ilipungua mno, hivyo ilibidi afanye juhudi kubwa kuturudisha imani hiyo, na Sera ya chama hapa kazi tuu, ilitumika kubadili mindset ya wananchi na watumishi, kusafisha uozo ulikuwepo mf. Mikataba mibovu kama madini na kwingineko, upatikanaji wa huduma za kijamii ulipanda na uwajibikaji ulikuwepo,
Ni mwaka mmoja Sasa umepita toka awamu ya sita, iingie madarakani, kwa viongozi wale wale ajenda kubwa inayonekana sio tena maendeleo wala, namna ya kukuza uchumi wa nchi sambamba na vipato sasa ni vijembe visivyo na logic wala relevance, kukemea mienendo ya mtangulizi wako Hayati Magufuli ni kujidhalilisha tu, haswa wakati huu dunia inapitia kipindi kigumu sana, inakuonesha uko hapo kutetea uonevu, ufisadi na kujinufaisha wewe pamoja na familia yako.
Ni vyema ukachunga kinywa chako na ukachagua maneno ya kusema utazidi kupoteza mvuto, kumuita binadamu Simba wa Yuda ni kumdhihaki sio yeye tuu, hata dhehebu fulani litahisi hivyo
Katika maadhimisho ya mwaka mmoja awamu ya sita iingie, hamna jambo hata, la kujivunia zaidi tozo kandamizi, na diplomasia.
Mimi rai yangu naomba mh Rais, usitafute sifa kwa jirani wakati watoto wako wanakufa na njnn.
Utendaji na nidhamu ndani ya mashirika, taasisi idara, wizara, kurugenzi ndani ya serikali ni muhimu sana. Unatakiwa usitegemee utashi wa muuajiriwa au mapenzi yake binafsi kwa kiongozi.Uhuru usio na mipaka ni tatizo saana, wewe ni nani wa kumwambia Rais hivyo?
Alichoongea Mama Samia Suluhu Hassan ni ukweli mtupu, watu hapo nyuma walikuwa na nidhamu ya uoga, kila kitu walifanya kwa kumuogopa mtu na sio kwa Utash wao.
Acha urongo!Tunaomkosoa Magufuli wewe hukuwa mmoja wao. Tumemkosoa tangu siku ya kwanza mpaka anakufa.
Usiwe ignorant hivyo ndugu, hata makamu mwenyekiti Jana alituhusia, tukisema tuseme kwa staha, nimetoa maoni yangu, Katiba inaniruhusu ndugu, kwani wewe Ni nani kwenye taasisi ya presidency?Wewe kama nani kumkemea Rais wa nchi! Usifikiri haka ka ID kako kwamba JF wanaweza kukaficha,
Kumbuka Presidency ni Taasisi na siyo mtu na wapo watu wanashughulika kuilinda Taasisi, ni hayo tu!!