Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Utapata tabu sana iuelimisha ndugu yangu sukuma genge hawakubali matokeo
Uhuru usio na mipaka ni tatizo saana, wewe ni nani wa kumwambia Rais hivyo?
Alichoongea Mama Samia Suluhu Hassan ni ukweli mtupu, watu hapo nyuma walikuwa na nidhamu ya uoga, kila kitu walifanya kwa kumuogopa mtu na sio kwa Utash wao.
 
Ki eneo Rais Samia anatokea Ukanda wa waswahili na huenda naye ni mswahili pia ni sawa japokuwa ni lazima sasa aachane na huo uswahili wake kwa sababu ya dhamana aliyonayo kwa Taifa.

Kauli zake za kiswahili hasa ahutubiapo hadhira fulani hazipendezi na hazifurahishi kabisa!
Waswahili ni kabila kati ya makabila Tanzania wapo Kilwa kisiwani wilaya ya kilwa. Ishu kiti amekalia asiye na uwezo nacho, mwanamke kamwe hawezi kuwa baba
 
Uhuru usio na mipaka ni tatizo saana, wewe ni nani wa kumwambia Rais hivyo?
Alichoongea Mama Samia Suluhu Hassan ni ukweli mtupu, watu hapo nyuma walikuwa na nidhamu ya uoga, kila kitu walifanya kwa kumuogopa mtu na sio kwa Utash wao.
Kama wamenuna waende Burundi.
 
Mkuu, mbona unazungukazunguka kote huko?

Muulize 'Maza Mizinguo' serikali anayoiongoza ilitoka wapi; alichaguliwa na nani hadi kufika awamu ya sita na kuanza kuisuta awamu iliyotangulia.
Ukiuliza swali hilo, na kama anayo akili nzuri atakuelewa tu uliyoandika hapa kwa kirefu sana kiasi cha kumzungusha kichwa.
Hii ni awamu ya tano mhula wa pili.
 
Mwosha huoshwa haya ni matunda aliyoacha mwendazake kipindi chake Kikwete alionekana hakufanya chochote katika nchi hii kwa muda wa miaka kumi.
Ndugu yangu mimi ni mshabiki mkuu wa Kikwete kwa sababu moja tuu alipeleka shule za secondari watoto wa msikini kupita watawala wote unaowajua africa. Pia kikwete alifuta kero ya vijana ya kurudia rudia darasa la saba.

Kikwete kafuta group lilijengwa miaka tele la Proretariants. Je unakumbuka kero ya vijana kurudia darasa la saba miaka ya sabini? sasa hivi haipo kabs na kila kata kuna secondari na tanzania inapeleka 99% ya vijana shule ya secondari. Tumewapita Kenya , Uganda na zimbabwe.

Huyu raisi alijibu injiri isemayo, nilipokuwa sina elimu hukunijari! unajua unyonge unaowapata viajana wahitimu wa darsa la saba wakikosa elimu ya secondari? sasa unyonge huo haupo kwa sababu ya jeuri ya kikwete. Mungu ampatie maisha marefu mwana wa Kikwete. sasa hivi elimu ya secondari haigombewi kabisaaa na imekuwa ni haki ya raia. jamani kikwete kagawa mitumbwi kwa vijana badala ya samaki. kavueni kokote msingoje kuletewa!
 
Wanajitahidi kumtetea Mwendazake kanakwamba hatumjui.
Hoja hapa ni uongozi mbovu aliokuwa nao unarekebishwa, wa nufaika na ubaya wa mwendazake wanataka kututoa kwenye uelewa wa hoja iliyo zungumzwa na mama.
Kufitinisha ndo walilobakiwanalo!

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Na kimsingi Mama amegusa positively msingi wa mafundisho ya Ukristo, anataka watu wabadilike kutoka Mioyoni Mwao. Hiyo ni injili, injili kuu.

Tunaweza kubishana kwa hisia na hamaki lkn Teolojia ya Ukristo hasa ya Ukatoliki wa Magharibi na Mashariki haijaguswa na lolote kiimani la Mama Samia
 
Katika lugha ya kiswahili hilo neno mswahili ni tata sababu lina maana pana sana ikiwemo mswahili ni mchawi, ni mtu anaeongea kiswahili, ni mtu anaetokea Tanzania hasa maeneo ya pwani , ni mtu mjanja mjanja ( tapeli au mwizi ), pia mswahili ni mtu anaeongea sana yaani maneno mengi hakuna vitendo, pia mswahili ni mnafiki. Sasa mleta mada naomba uchague uswahili wa bibi yenu samia ili tumjue yupo kundi gani
 
Nimeandika, nikafuta.
 
Uhuru usio na mipaka ni tatizo saana, wewe ni nani wa kumwambia Rais hivyo?
Alichoongea Mama Samia Suluhu Hassan ni ukweli mtupu, watu hapo nyuma walikuwa na nidhamu ya uoga, kila kitu walifanya kwa kumuogopa mtu na sio kwa Utash wao.
Magufuli alikuwa na kila sababu kuiongoza nchi katika hali ile.
Wananchi walikuwa wameisha choka kwani kero zilikuwa nyingi sana, waliopewa dhamana ya uongozi ilikuwa ni ahadi za kila siku hakuna jipya.

Hao watumishi kama walifanya kazi kwa hofu ya kutumbuliwa , kwangu naona ni bora mara mia.
 
Kumekuwa na mkakati mkumbwa wa kuaminisha watu kuhusu mwenendo wa siasa zetu, na kwa bahati mbaya sana chama kilichopo madarakani, chama cha mapinduzi kumekuwa kikipambana chenyewe dhidi ya kivuli chake, yaani kila awamu inaisema awamu iliyopita. Ilitokea kwa Kikwete alivyoachiwa na Mkapa, Magufuli alivyoachiwa na Kikwete, na sasa Rais Samia alivyoachiwa na Magufuli.

Katika kusemeana wanatofautiana logic na relevance, tukiangalia awamu hizi mbili za mwisho, viongozi waandamizi ni wale wale, na viongozi wakuu wanatofautiana namna walivyoingia madarakani.

Uchaguzi 2015 Magufuli aliingia kwa mbinde sababu Imani ya watu katika chama na Serikali ilipungua mno, hivyo ilibidi afanye juhudi kubwa kuturudisha imani hiyo, na Sera ya chama hapa kazi tuu, ilitumika kubadili mindset ya wananchi na watumishi, kusafisha uozo ulikuwepo mf. Mikataba mibovu kama madini na kwingineko, upatikanaji wa huduma za kijamii ulipanda na uwajibikaji ulikuwepo,

Ni mwaka mmoja Sasa umepita toka awamu ya sita, iingie madarakani, kwa viongozi wale wale ajenda kubwa inayonekana sio tena maendeleo wala, namna ya kukuza uchumi wa nchi sambamba na vipato sasa ni vijembe visivyo na logic wala relevance, kukemea mienendo ya mtangulizi wako Hayati Magufuli ni kujidhalilisha tu, haswa wakati huu dunia inapitia kipindi kigumu sana, inakuonesha uko hapo kutetea uonevu, ufisadi na kujinufaisha wewe pamoja na familia yako.

Ni vyema ukachunga kinywa chako na ukachagua maneno ya kusema utazidi kupoteza mvuto, kumuita binadamu Simba wa Yuda ni kumdhihaki sio yeye tuu, hata dhehebu fulani litahisi hivyo

Katika maadhimisho ya mwaka mmoja awamu ya sita iingie, hamna jambo hata, la kujivunia zaidi tozo kandamizi, na diplomasia.

Mimi rai yangu naomba mh Rais, usitafute sifa kwa jirani wakati watoto wako wanakufa na njnn.

Wewe kama nani kumkemea Rais wa nchi! Usifikiri haka ka ID kako kwamba JF wanaweza kukaficha,

Kumbuka Presidency ni Taasisi na siyo mtu na wapo watu wanashughulika kuilinda Taasisi, ni hayo tu!!
 
Uhuru usio na mipaka ni tatizo saana, wewe ni nani wa kumwambia Rais hivyo?
Alichoongea Mama Samia Suluhu Hassan ni ukweli mtupu, watu hapo nyuma walikuwa na nidhamu ya uoga, kila kitu walifanya kwa kumuogopa mtu na sio kwa Utash wao.
Utendaji na nidhamu ndani ya mashirika, taasisi idara, wizara, kurugenzi ndani ya serikali ni muhimu sana. Unatakiwa usitegemee utashi wa muuajiriwa au mapenzi yake binafsi kwa kiongozi.

Ukiwa pale fanya kazi uliyopangiwa kwa weledi, ikikushinda tafuta nyingine au upumzishwe. Ukiwa Daktari, Waziri, Mwalimu, RC, DC,Rais, Police, Mwanajeshi tekeleza majukumu yako, wajibu wako uliopa kuutekeleza.

Muhimu kuwajibika na kujua usipotekeleza majukumu yako utawajibishwa.

Nidhamu (uwajibikaji) ndio msingi kwa waajiriwa wa umma kutekeleza majukumu yao ipasavyo siyo iwe utashi wao binafsi au mapenzi kutoka mioyoni mwao.
 
Tunaomkosoa Magufuli wewe hukuwa mmoja wao. Tumemkosoa tangu siku ya kwanza mpaka anakufa.
Acha urongo!
Post yangu 2015.
 
Wewe kama nani kumkemea Rais wa nchi! Usifikiri haka ka ID kako kwamba JF wanaweza kukaficha,

Kumbuka Presidency ni Taasisi na siyo mtu na wapo watu wanashughulika kuilinda Taasisi, ni hayo tu!!
Usiwe ignorant hivyo ndugu, hata makamu mwenyekiti Jana alituhusia, tukisema tuseme kwa staha, nimetoa maoni yangu, Katiba inaniruhusu ndugu, kwani wewe Ni nani kwenye taasisi ya presidency?
 
Back
Top Bottom