Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

ushauri
1. Jifunze historia ya Tanganyika, itakusaidia kuelewa WaTanganyika ni watu gani.

2. Fanya uchunguzi wako ujue jinsi gani WaTanganyika wanavyokuchukia, hasa kipindi cha sasa.

3 Sitisha mikataba yote ovyo uliyopitisha, simamia mchakato wa katiba mpya itakayokua win-win kwa Tanganyika na Zanzibar na itakayokua ya wananchi, THEN achia ngazi zote. Ukifanya hivyo kuna kauwezekano, ukatoka salama katika historia.
 
Habari za asubuhi wapendwa.

Mama anaupiga mwingi ingawa sijafurahishwa na agenda yake ya bandari ya hivi karibuni. Niseme tu namshukuru mama, kanipa uprincipal juzi🙏🙏kama movie vile, hapa naandaa documents zangu vizuri niende bank, nikaprocess loan, niagize crown.🔥🔥

Finally after four years zakuwa off-road baada ya ajali mbaya iliyosababisha my last car, kuwa total written off, narudi kutembelea makalio🙏

Nilipata ajali mbaya four years ago, nikashauriwa pia kupumzika kudrive for at least 3 years, kwani nilipata trauma, ilikuwa ajali mbaya sana ya uso kwa uso na semi-trail. Ila kwa uweza wa manani nilitoka mzima bila hata mkwaruzo, gari ilikuwa total written off na nilipata trauma.

Bima walinilipa vizuri tu, Britam Co ila nilizuiwa kuendesha gari kwa muda, so sikubuy gari ingine wakati ule.

To God be the glory, yamepita na mama kanijaza basi najipongeza na kacrown.

Siku njema waungwana.
 
Chini ya miaka miwili, mama Samia umefanya mambo makubwa sana kimaendeleao Tanzania.


Hakuna wizara ambayo hujaiongeza bajeti.


Matatizo mengi sana ya Watanzania umeyatatuwa ndani ya muda mchche sana.


Mwenyezi Mungu akulinde na mahasidi na akuzidishie hekima.


Toka ulipoamua kutuletea Waarabu wa Dubai kwa maendeleo yetu, mahasidi wameshindwa kujizuwoia, tunafahamu kwanini, wewe usijali piga kazi. Wa mitandaoni humu tutakula nao sahani moja. Tushawajuwa ni mawakala wa nani.
 
Umeshamaliza kusali lakini au bado?
 

Duh!!! [emoji1241] bila unafiki haiwezekani ,bila shaka hata yy pindi ni makamu alipiga vita ujinga ,upuuzi wa hovyo×2 n.k ,baada yahapo alitembea kafunika pua,mdomo kwa barakoa ko nisawa na ulichomsifia for nothing ,..

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
True story, father of all.

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu mbona umekosea spelling za Kingereza hapo?

Wahenga walisema "kuchamba kwingi, kubaki na...".

Mimi nauhakika wewe mwenyewe hukielewi ulichokiandika ndiyo maana umeshindwa kufafanuwa.

Mwalimu bomu.
 
Mwalimu mbona umekosea spelling za Kingereza hapo?

Wahenga walisema "kuchamba kwingi, kubaki na...".

Mimi nauhakika wewe mwenyewe hukielewi ulichokiandika ndiyo maana umeshindwa kufafanuwa.

Mwalimu bomu.
Bila shaka hata ww uliwahi kukosea kuandika neno paspokusudio la ubongo wako ,...ata kutamka pia,..

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…