Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Njegere kwani amesomea nini?
Isije ikawa alisoma HKL halafu anaongoza wababe waliosoma PMM na PCM. ( wengi wenu hii combi ya PMM hamkuikuta.)
 
Tuendelee Kumpongeza Mama
 

Hata kama lina manufaa wampe miaka 5
 
Jana wasomi wa nchi hii waliounda kamati ya kuchunguza na kushauri maboresho ya wizara ya mambo ya nje walitoa ripoti yenye pendikezo la kuhamishia wizara ya mambo ya nje kwenda Ofisi ya Rais. Hii ilikuwa moja kati ya mapendekezo mengi.

Mhe. Rais kwa Busara kabisa akawaambia pendekezo lenu sijaliafiki means alifahamu kwamba kinachopendekezwa ni kuunda wizara yenye mtazamo wa security zaidi kuliko mtizamo wa kiuchumi na maendeleo.

Mhe. Rais alifahamu kwamba wizara hii inajikinga ukaguzi pamoja na kufanya kazi kwa uwazi. Unapokuwa chini ya ofisi ya Rais means kila Baya linamwangukia Rais na hivyo hakuna baya la taasisi zilizopo chini yake litakaloruhusiwa kujadiliwa kwa upana kwani kujadili huko kutamchafua.

Niwaombe wasomi na maafisa diplomasia wajitahidi sana kuwa na fikra zakujisimamia kuliko kusimamiwa. Badala wana diplomasia watafute uhuru wao wanapendekeza kuuza uhuru wao.

Hongera sana Mhe. Rais kwa kuona madhara makubwa yanayoweza kutokea endapo diplomasia ya nchi itafichwa ikulu.
 
Yapata miaka sitini na moja(61) tangu nchi ya TANZANIA kujipatia uhuru wake wa bendera kutoka kwa wahuni wa magharibi na imepita miaka 43 tangu kuanzishwa kwa mfumo kandamizi wa kisasa dhidi ya nchi za daraja la 2 na 3(structure adjust programmes).

Kwa kutumia taasisi zao za unyonyaji wanaendelea kudidimiza haki na uhuru wa nchi za daraja la chini.Katika kujikomboa na kufurahisha ngozi nyeupe CCM ikanasa kwenye mtego wa wakoloni kwa kuwa hali ilikuwa mbaya mpaka ilifikia BABA WA TAIFA(happy born day) kuchanganyikiwa na kuiacha nchi huku majaribio mengi ya kupinduliwa yakishindikana.akaja MWINYI kuondoa aibu ya kushindwa kwa nyerere akaitwa mzee wa ruksa pia alikuwa ni mwenye mapungufu kibao.

MKAPA aliendelea kuendeleza sera za kigeni zenye lengo au mlengwa wa kuendelea kuuwa uchumi wa afrika (privatization) japo alionekana amefiti lakini ukweli ni kwamba wote hawa walibebwa na population ndogo pamoja na ukuaji mdogo wa domokrasia mpaka kufikia kwa kikwete to magufuli wote walijitahidi kwa namna yao.kufikia kwa mama kupokea kijiti watu wameongezeka na demokrasia imekua hivyo kumeengezeka tija wa watu kubwabwaja japo ndiyo imekuwa haki.

HOJA ZIFATAZO ZITAWABEBA CCM

1.amani bado hatujaona kama indicator ya maendeleo ila ndiyo jambo kubwa kuonesha maendeleo na ustaarabu 2 ukuaji wa miundombinu ukitembelea baadh ya mfan wa uganda,congo na malawi katika miundombinu hajapiga hatuna kama TZ 3 UHURU wa kujieleza na kushiriki katika jumuia zote 4 KATIBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…