Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

very visionary and focused suggestion👊
 
Mbona unazunguka sana, kwanini Makonda asiwe ndiyo Rais!
 
Mbona unazunguka sana, kwanini Makonda asiwe ndiyo Rais!
Tumeshapata uzoefu wa Rais mkurupukaji.na dhaifu wa hisia ila mwenye uthubutu.

Aliharibu Nchi zaidi kuliko kujenga.Huyi akiwa PM anaweza kudhibitiwa na mambo yaka balance
 
Wewe hunaga akili kabisa ndugu yangu.
Hongera kwa kuwa na ndugu asie na akili lakini naona aibu mimi kuwa na ndugu wa kiume anayemlamba makalio mwanaume mwenzie kwa udi na uvumba na kumfanya godfather untouchable ambaye hakosei na hafai kurekebishwa. Mjinga wewe
 
Mimi silogeki Wala silipwi na Makonda simfahamu zaiis ya kumuona kwenye kioo
Mkishaona mtu anapiga kelele jukwaani kama Makonda, Chalamila, Sabaya na Magufuli basi ndio kipimo chenu kwamba anafaa kuwa kiongozi wa nchi?! Kuweni makini kuna watu wengi wenye uwezo, weledi na maadili la sivyo tutaongozwa na wapiga debe wa vyama na nchi itakwenda mrama. Na hili ndiolo kosa letu watanzania: kuongozwa na wapiga debe, wenye weledi wanafichwa mbali, ndio kosa la jamii ya kitanzania na ndilo kiini cha matatizo yetu.
 
Huyu msukuma namkubali sana
 
Ngoja nimwite kaka yake bwana
Pascal Mayalla
Asante kuniita
Naunga mkono hoja, mimi nilimpangia Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... sasa kwa vile sasa ni Mama, wengi wanadhani 2025 ni Mama, only if sauti HII sio sauti ya kweli, ikitokea ikawa ni sauti ya kweli, then 2025 dogo atafiti sana kwa PM post, kisha 2030 kule top!.

Huyu dogo ni reincarnation ya JPM! Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

Nilieleza Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

Alipoteuliwa alianza moto sana hadi kwa kujisahau akajiona yeye ni level ya Maza hadi kumpanda kichwani Katelefoni!, tukamshauri Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

P
 
WATU WASAHAULIFU SANA MMESHASAHAU UNALOZI WA MAREKANI BADO WAMETUNZA ULE USHAIDI WAO WA DHULUMA DHIDI YA UHAI.
MSJIZIME DATA JINAI HAIFI
 
CHAWA kama CHAWA.
 
Bila shaka hapo ndio kila kitu kitaaendamoo mraaamaaa😝
 
Naunga mkono hoja... sijui huo uwezo wa huyu mwenezi wanauona kwenye nini hasa ukiacha hizo siasa za majukwaani. Hana vision ya leadership ni mtoa taarifa tuu.. sioni weledi wake kwenye nafasi za juu za uongozi.
Wabongo tukue kimaarifa na kujua nani anafaa kuwa kuongozi na kwa vigezo vipi?
 
Waziri Mkuu anatakiwa kuwa na Vision ipi zaidi ya Kusimamia Maono ya Rais na Vision ya Nchi? Hiyo kazi Makonda anaiweza ila nyie mnamuogopa sana Kwa sababu mnajua hacheki na Kima.
 
suluhisho ni Katiba Mpya
 

Kabisa, ukiona kigezo Cha huyu mleta Uzi kuwa Makonda anaweza kuwa waziri mkuu, ni kwakuwa anaweza kufanya maigizo ya kuwafokea watendaji hadharani. Kumbe kufoka katika kusaka sifa, ni tofauti na uwajibikaji wenye tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…