Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Wewe hunaga akili kabisa ndugu yangu.Jingalao hoja moja ngonjera nyiiiiingi kama unaolewa au unaomba posa jombaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hunaga akili kabisa ndugu yangu.Jingalao hoja moja ngonjera nyiiiiingi kama unaolewa au unaomba posa jombaa
Ukimsikiliza Makonda unaona kabisa ana uelewa na uthubutu wa kusukuma mambo ya msingi.
Mh.Rais Samia kama hutojali wewe Mteue Makonda awe Waziri Mkuu wako baada ya 2025.
Anaweza kuwasukuma Mawaziri wakawa wanashughulikia kero kama anavyofanya kulingana na ratiba ambayo atawapangia then wewe utapumua.
Baadhi ya mambo Kwa Sasa hayaendi Kwa sababu PM wa Sasa hana ujasiri wa kuwasimamia Mawaziri wenzake.
Ukiangalia kwenye Serikali Yako Mawaziri walau wanafanya kazi ya dhati ya Kumsaidia Rais ni
Bashungwa, Mchengerwa,Mavunde,Ulega,Aweso,Bashe na Naibu wa Uchukuzi.Waliosalia utawaona kwenye matukio tuu.
View: https://youtu.be/VpKhMRf7Oe4?si=0XsIzlSOD8QBIXaQ
Pili tubadili Muundo wa Wakuu wa Mikoa na Wilaya Ili wawajibike zaidi,Kwa sababu haiwezekani kero zimejaa na miradi imekwama na wao wapo na hawachukui hatua.Tuwape Nguvu za kimaamuzi Kwa kubadili muundo wa nafasi zao.
Mwisho Kwa Makonda umecheza kama Pele.

Tumeshapata uzoefu wa Rais mkurupukaji.na dhaifu wa hisia ila mwenye uthubutu.Mbona unazunguka sana, kwanini Makonda asiwe ndiyo Rais!
Mimi silogeki Wala silipwi na Makonda simfahamu zaiis ya kumuona kwenye kiooNa wewe pia umelogwa na Makonda?1
Hongera kwa kuwa na ndugu asie na akili lakini naona aibu mimi kuwa na ndugu wa kiume anayemlamba makalio mwanaume mwenzie kwa udi na uvumba na kumfanya godfather untouchable ambaye hakosei na hafai kurekebishwa. Mjinga weweWewe hunaga akili kabisa ndugu yangu.
Mkishaona mtu anapiga kelele jukwaani kama Makonda, Chalamila, Sabaya na Magufuli basi ndio kipimo chenu kwamba anafaa kuwa kiongozi wa nchi?! Kuweni makini kuna watu wengi wenye uwezo, weledi na maadili la sivyo tutaongozwa na wapiga debe wa vyama na nchi itakwenda mrama. Na hili ndiolo kosa letu watanzania: kuongozwa na wapiga debe, wenye weledi wanafichwa mbali, ndio kosa la jamii ya kitanzania na ndilo kiini cha matatizo yetu.Mimi silogeki Wala silipwi na Makonda simfahamu zaiis ya kumuona kwenye kioo
Ukimsikiliza Makonda unaona kabisa ana uelewa na uthubutu wa kusukuma mambo ya msingi.
Mh.Rais Samia kama hutojali wewe Mteue Makonda awe Waziri Mkuu wako baada ya 2025.
Anaweza kuwasukuma Mawaziri wakawa wanashughulikia kero kama anavyofanya kulingana na ratiba ambayo atawapangia then wewe utapumua.
Baadhi ya mambo Kwa Sasa hayaendi Kwa sababu PM wa Sasa hana ujasiri wa kuwasimamia Mawaziri wenzake.
Ukiangalia kwenye Serikali Yako Mawaziri walau wanafanya kazi ya dhati ya Kumsaidia Rais ni
Bashungwa, Mchengerwa,Mavunde,Ulega,Aweso,Bashe na Naibu wa Uchukuzi.Waliosalia utawaona kwenye matukio tuu.
View: https://youtu.be/VpKhMRf7Oe4?si=0XsIzlSOD8QBIXaQ
Pili tubadili Muundo wa Wakuu wa Mikoa na Wilaya Ili wawajibike zaidi,Kwa sababu haiwezekani kero zimejaa na miradi imekwama na wao wapo na hawachukui hatua.Tuwape Nguvu za kimaamuzi Kwa kubadili muundo wa nafasi zao.
Mwisho Kwa Makonda umecheza kama Pele.
Asante kuniitaNgoja nimwite kaka yake bwana
Pascal Mayalla

Is Samia and CCM that desperate? Of all people, Makonda ndiye anaonekana kete muhimu ya uPM?Hayo yanazungumzika Kidiplomasia na hizo embango zinaweza ondolewa.
Mambo ya majina fake etc sio Dili sana Bali uwezo wake na ujasiri wake ndio muhimu.
Ukimsikiliza Makonda unaona kabisa ana uelewa na uthubutu wa kusukuma mambo ya msingi.
Mh.Rais Samia kama hutojali wewe Mteue Makonda awe Waziri Mkuu wako baada ya 2025.
Anaweza kuwasukuma Mawaziri wakawa wanashughulikia kero kama anavyofanya kulingana na ratiba ambayo atawapangia then wewe utapumua.
Baadhi ya mambo Kwa Sasa hayaendi Kwa sababu PM wa Sasa hana ujasiri wa kuwasimamia Mawaziri wenzake.
Ukiangalia kwenye Serikali Yako Mawaziri walau wanafanya kazi ya dhati ya Kumsaidia Rais ni
Bashungwa, Mchengerwa,Mavunde,Ulega,Aweso,Bashe na Naibu wa Uchukuzi.Waliosalia utawaona kwenye matukio tuu.
View: https://youtu.be/VpKhMRf7Oe4?si=0XsIzlSOD8QBIXaQ
Pili tubadili Muundo wa Wakuu wa Mikoa na Wilaya Ili wawajibike zaidi,Kwa sababu haiwezekani kero zimejaa na miradi imekwama na wao wapo na hawachukui hatua.Tuwape Nguvu za kimaamuzi Kwa kubadili muundo wa nafasi zao.
Mwisho Kwa Makonda umecheza kama Pele.
Ukimsikiliza Makonda unaona kabisa ana uelewa na uthubutu wa kusukuma mambo ya msingi.
Mh.Rais Samia kama hutojali wewe Mteue Makonda awe Waziri Mkuu wako baada ya 2025.
Anaweza kuwasukuma Mawaziri wakawa wanashughulikia kero kama anavyofanya kulingana na ratiba ambayo atawapangia then wewe utapumua.
Baadhi ya mambo Kwa Sasa hayaendi Kwa sababu PM wa Sasa hana ujasiri wa kuwasimamia Mawaziri wenzake.
Ukiangalia kwenye Serikali Yako Mawaziri walau wanafanya kazi ya dhati ya Kumsaidia Rais ni
Bashungwa, Mchengerwa,Mavunde,Ulega,Aweso,Bashe na Naibu wa Uchukuzi.Waliosalia utawaona kwenye matukio tuu.
View: https://youtu.be/VpKhMRf7Oe4?si=0XsIzlSOD8QBIXaQ
Pili tubadili Muundo wa Wakuu wa Mikoa na Wilaya Ili wawajibike zaidi,Kwa sababu haiwezekani kero zimejaa na miradi imekwama na wao wapo na hawachukui hatua.Tuwape Nguvu za kimaamuzi Kwa kubadili muundo wa nafasi zao.
Mwisho Kwa Makonda umecheza kama Pele.
Naunga mkono hoja... sijui huo uwezo wa huyu mwenezi wanauona kwenye nini hasa ukiacha hizo siasa za majukwaani. Hana vision ya leadership ni mtoa taarifa tuu.. sioni weledi wake kwenye nafasi za juu za uongozi.Mkishaona mtu anapiga kelele jukwaani kama Makonda, Chalamila, Sabaya na Magufuli basi ndio kipimo chenu kwamba anafaa kuwa kiongozi wa nchi?! Kuweni makini kuna watu wengi wenye uwezo, weledi na maadili la sivyo tutaongozwa na wapiga debe wa vyama na nchi itakwenda mrama. Na hili ndiolo kosa letu watanzania: kuongozwa na wapiga debe, wenye weledi wanafichwa mbali, ndio kosa la jamii ya kitanzania na ndilo kiini cha matatizo yetu.
Waziri Mkuu anatakiwa kuwa na Vision ipi zaidi ya Kusimamia Maono ya Rais na Vision ya Nchi? Hiyo kazi Makonda anaiweza ila nyie mnamuogopa sana Kwa sababu mnajua hacheki na Kima.Naunga mkono hoja... sijui huo uwezo wa huyu mwenezi wanauona kwenye nini hasa ukiacha hizo siasa za majukwaani. Hana vision ya leadership ni mtoa taarifa tuu.. sioni weledi wake kwenye nafasi za juu za uongozi.
Wabongo tukue kimaarifa na kujua nani anafaa kuwa kuongozi na kwa vigezo vipi?
Ukimsikiliza Makonda unaona kabisa ana uelewa na uthubutu wa kusukuma mambo ya msingi.
Mh.Rais Samia kama hutojali wewe Mteue Makonda awe Waziri Mkuu wako baada ya 2025.
Anaweza kuwasukuma Mawaziri wakawa wanashughulikia kero kama anavyofanya kulingana na ratiba ambayo atawapangia then wewe utapumua.
Baadhi ya mambo Kwa Sasa hayaendi Kwa sababu PM wa Sasa hana ujasiri wa kuwasimamia Mawaziri wenzake.
Ukiangalia kwenye Serikali Yako Mawaziri walau wanafanya kazi ya dhati ya Kumsaidia Rais ni
Bashungwa, Mchengerwa,Mavunde,Ulega,Aweso,Bashe na Naibu wa Uchukuzi.Waliosalia utawaona kwenye matukio tuu.
View: https://youtu.be/VpKhMRf7Oe4?si=0XsIzlSOD8QBIXaQ
Pili tubadili Muundo wa Wakuu wa Mikoa na Wilaya Ili wawajibike zaidi,Kwa sababu haiwezekani kero zimejaa na miradi imekwama na wao wapo na hawachukui hatua.Tuwape Nguvu za kimaamuzi Kwa kubadili muundo wa nafasi zao.
Mwisho Kwa Makonda umecheza kama Pele.
Huwezi thibitisha lakini
Mkishaona mtu anapiga kelele jukwaani kama Makonda, Chalamila, Sabaya na Magufuli basi ndio kipimo chenu kwamba anafaa kuwa kiongozi wa nchi?! Kuweni makini kuna watu wengi wenye uwezo, weledi na maadili la sivyo tutaongozwa na wapiga debe wa vyama na nchi itakwenda mrama. Na hili ndiolo kosa letu watanzania: kuongozwa na wapiga debe, wenye weledi wanafichwa mbali, ndio kosa la jamii ya kitanzania na ndilo kiini cha matatizo yetu.