Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kama ni hivyo, Yale mabegi meusi ya kura ni ya nini?
Kama wanawekwa na Mungu, huu ulinzi wote wa nini,
Hiyo Mungu aliwaweka hawezi kuwalinda?
Jo, usimhusishe Mungu na siasa zenu, mnazoziita sissa ni sayansi, ikihusisha zaidi wizi wa kura na mizengwe,
Shetani ameruhusiwa kuwajaribu Wanadamu na kuwapepeta kama ngano

Uongozi wa Wanadamu huwekwa na Mungu wa mbinguni Mwenyewe
 
tapatalk_1714514997015.png
 
Shetani ameruhusiwa kuwajaribu Wanadamu na kuwapepeta kama ngano

Uongozi wa Wanadamu huwekwa na Mungu wa mbinguni Mwenyewe
Kama wanakubali kupepetwa na shetani, Basi ndio aliewaweka,

Na ndio maana ni waongo kama shetani ambaye ni baba wa uongo
 
Ndio ujifunze sasa na Mungu wa mbinguni atakubariki
Jifunze pia,

Huwezi kupendwa Kwa kusigina Katiba na kujikita katika mipango ovu ya RUSHWA na wizi wa kura.

Nakukumbusha pia kuwa 2024 & 2025 Tumewaalika Malaika wenye panga zikatazo kuwili kuhakikisha Sanduku la kura halitiwi nahisi.
 
HILI NALO MKALITAZAME.

Nawaagiza akina Kasimu muende mkaliangalie hili tujue "tunakwenda vipi".
 
Mwl. Nyerere aliwahi kusema Ikulu ni mahali patakatifu .Lakini hakuna mtakatifu kwa hii Ccm ya sasa .Ccm inaingia Ikulu kwa wizi wa kura , wanawadanganya wananchi , wanafanya ufisadi wa kutisha . Haya mambo yanainajisi nchi na nchi inalaanika ndo maana nchi sasa inaanza kupigwa na majanga ya asili .
 
Jifunze pia,

Huwezi kupendwa Kwa kusigina Katiba na kujikita katika mipango ovu ya RUSHWA na wizi wa kura.

Nakukumbusha pia kuwa 2024 & 2025 Tumewaalika Malaika wenye panga zikatazo kuwili kuhakikisha Sanduku la kura halitiwi nahisi.
Kuna tofauti Kati ya Kuiba kura na Kuhamisha kura

Nakuombea kwa Mungu wa mbinguni ulielewe hili
 
Mwl. Nyerere aliwahi kusema Ikulu ni mahali patakatifu .Lakini hakuna mtakatifu kwa hii Ccm ya sasa .Ccm inaingia Ikulu kwa wizi wa kura , wanawadanganya wananchi , wanafanya ufisadi wa kutisha . Haya mambo yanainajisi nchi na nchi inalaanika ndo maana nchi sasa inaanza kupigwa na majanga ya asili .
Ikulu kwa Nchi zinazoongozwa kidini kama Zanzibar, Iran, Vatican nk Ndio mahali Patakatifu

Kwa Nchi za kidemokrasia kama Tanzania, Marekani, Uganda nk Ikulu ni mahali patukufu
 
Kuna tofauti Kati ya Kuiba kura na Kuhamisha kura

Nakuombea kwa Mungu wa mbinguni ulielewe hili
Umeanza maneno yako ya sayansi ya siasa,
Kama hawaibi, huzihamisha hizo kura kuzipeleka wapi?
Wazihamisha kwa utaratibu upi, sheria za uchaguzi zinaruhusu,
 
Back
Top Bottom