Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Tupende tusipopendwa na hili ukalitazame Mr Chawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msingi wa viongozi wa kisiasa unatoka kwa wananchi . Kiongozi mbinafsi unapo anza kuwaibia kodi zao hao waliokuchagua , husikilizi maoni yao ; Mungu hawezi kuwa upande wako . Simamieni haki , wadhibitini wabadhirifu wa mali za umma , wasikilizeni wananchi . Sauti ya watu ni sauti ya Mungu . Hii sio nchi inayofuata taratibu za kifalme kumuweka kiongozi wa kisiasa . Sauti ya watu ndio inayo amua .Ili asipotoke ilitakiwa afanyeje
Kanisa katoliki,Kanisa kuu.Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
Hata kama huyo raiiis hana clue ya akifanyacho? Yaani tupende tu?Utatu wa Uzalendo:
Uzalendo kwa Nchi yako
Uzalendo kwa Rais wako
Uzalendo kwa Serikali
Sauti ya Watu Ndio Mungu mwenyewe wa mbinguniMsingi wa viongozi wa kisiasa unatoka kwa wananchi . Kiongozi mbinafsi unapo anza kuwaibia kodi zao hao waliokuchagua , husikilizi maoni yao ; Mungu hawezi kuwa upande wako . Simamieni haki , wadhibitini wabadhirifu wa mali za umma , wasikilizeni wananchi . Sauti ya watu ni sauti ya Mungu . Hii sio nchi inayofuata taratibu za kifalme kumuweka kiongozi wa kisiasa . Sauti ya watu ndio inayo amua .
Fact, mleta mada asome na arudie kusoma. Huwezi kuhubiri uzalendo, yet wewe ni mwizi, fisadi nk.Huu ujumbe unapaswa uelekezwe kwa viongozi wote kuanzia Rais, mawaziri, wabunge, wakuu wa wizara na sekta zote za serikali kuu na mitaa...
Hao ndio Watanzania namba moja, hao ndio wanapaswa kuwa kielelezo cha upendo kwa nchi yao, upendo ambao kwa jina jingine unaitwa Uzalendo...
Hao wakifanya mambo ya kizalendo kwa 100%, hakika wananchi wote wanaoongizwa na wazalendo nao wataiga mfano huo...
Ujumbe huu ni kwa Watanzania Wote ambao Mungu wa mbinguni amewamilikisha kipande hiki Cha Ardhi yakeHuu ujumbe unapaswa uelekezwe kwa viongozi wote kuanzia Rais, mawaziri, wabunge, wakuu wa wizara na sekta zote za serikali kuu na mitaa...
Hao ndio Watanzania namba moja, hao ndio wanapaswa kuwa kielelezo cha upendo kwa nchi yao, upendo ambao kwa jina jingine unaitwa Uzalendo...
Hao wakifanya mambo ya kizalendo kwa 100%, hakika wananchi wote wanaoongizwa na wazalendo nao wataiga mfano huo...
Moja Takatifu La MitumeKanisa katoliki,Kanisa kuu.
Amina.Moja Takatifu La Mitume
Maneno ya maana sana!Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
Amen amen!
Ipende familia Yako iweze kujibu ipasavyo ikohojiwa na watoto na siyo kuwanyamazisha ama kuwafukuza nyumbani kwa kisingizio km wamekuwa waondoke wakati ukijua ni wanafunzi,(watoto). Tujifunze kuhusu akili mnemboHilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
Moja kati ya serikali zinazoongoza kitapeli Duniani Tanzania ipo .Hawa Jamaa Wanaongoza kitapeli balaa basi kwa kuwa Watanzania ndo hivyo tenaHilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
Acha vituko sasa.Utaua watu kwa kucheka.CCM na Mungu?😂Viongozi wakuu wa nchi huwekwa na Yeye mwenyewe Mungu wa mbinguni
CCM ni Mwamvuli tuAcha vituko sasa.Utaua watu kwa kucheka.CCM na Mungu?😂
Kumbe na wewe ni chawa?Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana
Nawatakia Dominica Njema 😄