Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ili asipotoke ilitakiwa afanyeje
Msingi wa viongozi wa kisiasa unatoka kwa wananchi . Kiongozi mbinafsi unapo anza kuwaibia kodi zao hao waliokuchagua , husikilizi maoni yao ; Mungu hawezi kuwa upande wako . Simamieni haki , wadhibitini wabadhirifu wa mali za umma , wasikilizeni wananchi . Sauti ya watu ni sauti ya Mungu . Hii sio nchi inayofuata taratibu za kifalme kumuweka kiongozi wa kisiasa . Sauti ya watu ndio inayo amua .
 
Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana

Nawatakia Dominica Njema 😄

Huu ujumbe unapaswa uelekezwe kwa viongozi wote kuanzia Rais, mawaziri, wabunge, wakuu wa wizara na sekta zote za serikali kuu na mitaa...

Hao ndio Watanzania namba moja, hao ndio wanapaswa kuwa kielelezo cha upendo kwa nchi yao, upendo ambao kwa jina jingine unaitwa Uzalendo...

Hao wakifanya mambo ya kizalendo kwa 100%, hakika wananchi wote tunaoongozwa na wazalendo nao tutaiga toka kwao...
 
Msingi wa viongozi wa kisiasa unatoka kwa wananchi . Kiongozi mbinafsi unapo anza kuwaibia kodi zao hao waliokuchagua , husikilizi maoni yao ; Mungu hawezi kuwa upande wako . Simamieni haki , wadhibitini wabadhirifu wa mali za umma , wasikilizeni wananchi . Sauti ya watu ni sauti ya Mungu . Hii sio nchi inayofuata taratibu za kifalme kumuweka kiongozi wa kisiasa . Sauti ya watu ndio inayo amua .
Sauti ya Watu Ndio Mungu mwenyewe wa mbinguni

Ubarikiwe!
 
Huu ujumbe unapaswa uelekezwe kwa viongozi wote kuanzia Rais, mawaziri, wabunge, wakuu wa wizara na sekta zote za serikali kuu na mitaa...

Hao ndio Watanzania namba moja, hao ndio wanapaswa kuwa kielelezo cha upendo kwa nchi yao, upendo ambao kwa jina jingine unaitwa Uzalendo...

Hao wakifanya mambo ya kizalendo kwa 100%, hakika wananchi wote wanaoongizwa na wazalendo nao wataiga mfano huo...
Fact, mleta mada asome na arudie kusoma. Huwezi kuhubiri uzalendo, yet wewe ni mwizi, fisadi nk.
 
Huu ujumbe unapaswa uelekezwe kwa viongozi wote kuanzia Rais, mawaziri, wabunge, wakuu wa wizara na sekta zote za serikali kuu na mitaa...

Hao ndio Watanzania namba moja, hao ndio wanapaswa kuwa kielelezo cha upendo kwa nchi yao, upendo ambao kwa jina jingine unaitwa Uzalendo...

Hao wakifanya mambo ya kizalendo kwa 100%, hakika wananchi wote wanaoongizwa na wazalendo nao wataiga mfano huo...
Ujumbe huu ni kwa Watanzania Wote ambao Mungu wa mbinguni amewamilikisha kipande hiki Cha Ardhi yake
 
Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana

Nawatakia Dominica Njema 😄
Ipende familia Yako iweze kujibu ipasavyo ikohojiwa na watoto na siyo kuwanyamazisha ama kuwafukuza nyumbani kwa kisingizio km wamekuwa waondoke wakati ukijua ni wanafunzi,(watoto). Tujifunze kuhusu akili mnembo
 
Back
Top Bottom