Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Asirudishe Siasa za chuki na uhasama za kutekana na kupotezana na kuuwana.

Zile Siasa nilijua zimeondoka na Magufuli.
 
Neno moja kwa Mama

MAMLAKA

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

#SamiaAPP
#KaziIendelee
Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nae katika kazi, malengo, mipango na majukumu yake ya kila siku sasa, daima na milele, Amen🙏

Mungu Ibariki Tanzania
 
Neno moja kwa Mama

MAMLAKA

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

#SamiaAPP
#KaziIendelee
Unamwambiaje mama kuhusu hali mbovu ya usalama na uchumi wa nchi yetu?
 
Hapa unamwona kalala ana njaa hali si hali. Akiamka usingizini utamsikia
"Mama anaupiga mwingi"
Hawa ndo akina Lucas Mwashambwa yupo choka mbaya sana yule dogo. Sisi tunaomfahamu huwa tunamwonea huruma tu. Anadharaulika sana hapa Lumumba. Kule kwao ndo kabisa wanamwita
" Ntongole" Wale wadudu wanaofurahia kinyesi.

 
Naamini Raisi wetu ana nia njema lakini swali viongozi wetu wanafanya kazi bila usimamizi wa karibu wa Raisi? Tutafakari hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…