Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hakuna ubishi. Kama sifa za mama tunasikia kila mahali na kila siku ni za kweli, basi Tanzania ni Samia na Samia ni Tanzania.

Hivyo, Tanzania iitwe Samia ili impendeze mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu Hassan, mbebea maono na mtenda miujiza ambaye shehe mmoja alisema kuwa baada ya Yesu na mtume ndiye kiumbe bora anayefuatia.
 
Respect title “professor” , punguza mihemko ya kisiasa
 
Ningekua Mimi Mama Samia ningecheka sana kwa ujinga wa vijana wangu katika jina la chawa 😂😂.
 
Haya bhana..
 
Yes but you forgot she is honorary doctoriate not academic achieved one

Which means the only place ahe can use that title is tz only, outside of that she will have to use it only in academic events
I don't think if what you are saying is true. I have heard many times being referred to as doctor. Nyerere had over 50 honorariums. Being a rara avis not a kihiyo, did not use any of them. Mwinyi and Mkapa too had a couple of them but didn't use them. All this bunkum started with Jakaya Kikwete, then Amani Karume and now Samia. What a shame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…