The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Tumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH anayewawakilisha hao mazwazwa vilivyo kiasi cha kutofautishwa na jinsia na wakati tu japo wote ni sawa. Tungoje tuone hii picha itaishaje.Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 nimekumbuka vile Vyeo vya Idi Amini Dada na Jean Bedel Bokasa!!!
Ila mwisho wao ulikuwa aibu