The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Namshukuru mheshimiwa mtukufu rais daktari profesa, al hajat, field marshal, jenerali, admiral, askofu, paroko, ustaadha, kadha, imama nk nk SSH kukujalia akilli nzuri kiasi cha kuyaona yote. hayo. Hata kama hatosheki, tuendelee kumuongezea vyeo. Sasa naongeza na RIP maana yake Reign in Politics kkkkk.Uprofessor unaoutetea wewe haumtoshi, ongezea na mtukufu viede kwa pamoja kumuongwzea credit ingawa navyo havitamtosha pia.
Tuanze na 'mama' kwa kuitamka mara tatu mfululizo, ndiyo zifuatie hizo title zingine, yaani mama mama mama dakitari professor mheshimiwa mtukufu rais wetu mtoa maono na mzalendo wa kwanza wa nchi hii.
Ingawa sifa zote hizo nazo hazimtoshi pia.