Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hakuna ubishi. Kama sifa za mama tunasikia kila mahali na kila siku ni za kweli, basi Tanzania ni Samia na Samia ni Tanzania. Hivyo, Tanzania iitwe Samia ili impendeze mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu Hassan, mbebea maono na mtenda miujiza ambaye shehe mmoja alisema kuwa baada ya Yesu na mtume ndiye kiumbe bora anayefuatia.
Kama nawaona akina kobazi wakikatika balaa baada ya kufurahishwa na huu uzi huku wakipiga dufu kwa shangwe😁 adriz FaizaFoxy Malaria 2
 
Kwa nchi yetu kwa sasa, viongozi wanajihudumia. Hivyo, wakikuhudumia, lazima uwashukuru kwa vile wanafanya hisani. Wanaweza kukukamata, kukuteka, kukupoteza hata kukuua na hakuna anayehangaishwa na hili. Wao sasa ni miungu wakiongozwa na muungu mkuu daktari mheshimiwa profesa mtukufu, mtume na nabii SSH fieldmashall, general, admiral, mtakatifu, nk nk SSH. Huoni hili mwanangu? Watanganyika mlie tu. Sasa ni zamu ya kizinkazi baada ya Chato mwanangu.
Mtu kama wewe, tayari atakutosa na kukupiga mateke kwa kukosa shukrani tilivu.

Utasahauje, kwamba yeye ndiye "Amiri Mkuu" wa majeshi yote!

Shukrani zako atasema ni za kinafiki.

Kumbuka yeye ni muumini wa "Lugha za staha". Na wewe inaonyesha huna lugha hizo.
 
Hakuna ubishi. Kama sifa za mama tunasikia kila mahali na kila siku ni za kweli, basi Tanzania ni Samia na Samia ni Tanzania. Hivyo, Tanzania iitwe Samia ili impendeze mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu Hassan, mbebea maono na mtenda miujiza ambaye shehe mmoja alisema kuwa baada ya Yesu na mtume ndiye kiumbe bora anayefuatia.
Je hizo sifa zinatolewa na nani, je zina uhalisi?
 
Mtu kama wewe, tayari atakutosa na kukupiga mateke kwa kukosa shukrani tilivu.

Utasahauje, kwamba yeye ndiye "Amiri Mkuu" wa majeshi yote!

Shukrani zako atasema ni za kinafiki.

Kumbuka yeye ni muumini wa "Lugha za staha". Na wewe inaonyesha huna lugha hizo.
Hujui usemalo. Yeye ni kila kitu jua ya ardhi, kwenye ardhi, na chini ya ardhi. Hako kacheo ka mkuu sijui amiri jeshi si chochote wala lolote kwa vyeo nilivyotajwa kwa ufasaha mwanangu. Niheshimie japo kidogo au siyo?
 
Respect title “professor” , punguza mihemko ya kisiasa
Uprofessor unaoutetea wewe haumtoshi, ongezea na 'mtukufu' viede kwa pamoja kumuongezea credit ingawa navyo havitamtosha pia.

Tuanze na 'mama' kwa kuitamka mara tatu mfululizo, ndiyo zifuatie hizo title zingine, yaani mama, mama, mama dakitari professor mheshimiwa mtukufu Rais wetu mtoa maono na mzalendo wa kwanza wa nchi hii Tanzania.

Ingawa sifa zote hizo nazo hazimtoshi pia.
 
Hakuna ubishi. Kama sifa za mama tunasikia kila mahali na kila siku ni za kweli, basi Tanzania ni Samia na Samia ni Tanzania. Hivyo, Tanzania iitwe Samia ili impendeze mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu Hassan, mbebea maono na mtenda miujiza ambaye shehe mmoja alisema kuwa baada ya Yesu na mtume ndiye kiumbe bora anayefuatia.
"kwanini Tanzania isiitwe Samia?"
---
Huwezi amini, nimesoma mara zaidi tatu, hii title?

BTW: Na log off JF kwa muda, For no reason!.
 
Kwanini nisiamini? Hata hivyo, ni jambo la kumshukuru mheshimiwa, mtukufu, mtume, nabii rais daktari field marshal, generali, askofu, al hajat, sheha, ulamaa, maulana, ustaadha, nk nk SSH.😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom