Huyo mama Abdul, hana akili kama ilivyo akili yake ilivyo ya chini, elimu yake ya kuunga unga haifahamiki.Raisi Samia lazima uelewe kupigania uhuru wako na haki zako ni nafsi na sio kama kula rojo rojo.
Utashangaa watu watakavyo pigania uhuru na haki zao mwaka huu. kupigania haki hakutaisha mpaka haki ipatikane kwa jasho au kwa damu uhuru na haki za kila Mtanzania zitapatikana
Naunga mkono hoja ya kupigania haki, ila tumia basi lugha ya kiungwana, lugha ya kistaarabu, kwavile Rais Samia ni Mzanzibari, na Wanzanzibari ndio wala rojo, kumfananisha rais wa nchi na.kula rojo sio lugha ya kiungwana!. Tupiganie haki ila pia tuwe waungwana! . Naendelea kusisitiza Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!Raisi Samia lazima uelewe kupigania uhuru wako na haki zako ni nafsi na sio kama kula rojo rojo.
Utashangaa watu watakavyo pigania uhuru na haki zao mwaka huu. kupigania haki hakutaisha mpaka haki ipatikane kwa jasho au kwa damu uhuru na haki za kila Mtanzania zitapatikana
Ameeeen.Raisi Samia lazima uelewe kupigania uhuru wako na haki zako ni nafsi na sio kama kula rojo rojo.
Utashangaa watu watakavyo pigania uhuru na haki zao mwaka huu. kupigania haki hakutaisha mpaka haki ipatikane kwa jasho au kwa damu uhuru na haki za kila Mtanzania zitapatikana
Akina Wassira & co wao wanatumia lugha ya staha kutetea uminywaji wa haki Kwa watanzania kunakofanywa na serikali ya ccm?Naunga mkono hoja ya kupigania haki, ila tumia basi lugha ya kiungwana, lugha ya kistaarabu, kwavile Rais Samia ni Mzanzibari, na Wanzanzibari ndio wala rojo, kumfananisha rais wa nchi na.kula rojo sio lugha ya kiungwana!. Tupiganie haki ila pia tuwe waungwana! . Naendelea kusisitiza Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
Rais Samia ni mpenda haki na
Mtenda haki, ana nia njema na ya dhati watu wspate haki zao, ila kuna matatizo mawili, yanamkwamisha...
Tatizo la kwanza ni sisi Watanzania wenyewe hatujui haki zetu, ukiondoa elimu ya sheria, hakuna somo lolote la kuwafundisha Watanzania haki zao, katika mtaala wowote, as a results Watanzania hatujui tudaije haki zetu!. Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?
Tatizo la pili ni watu wake wa vyombo vya utoaji haki, polisi, mahakama etc Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
Angalia niliwahi kuandika nini kuhusu Samia na haki
- Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
- Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Rais Samia ni msikivu, apewe maua yake. Vipi Serikali yake, Bunge na mahakama ni wasikivu? Kama sio inamanisha
P.
Tit for tat sio uugwana!. CCM na wapinzaniAkina Wassira & co wao wanatumia lugha ya staha kutetea uminywaji wa haki Kwa watanzania kunakofanywa na serikali ya ccm?
We ni zuzu tu baada ya uchaguzi utakuja na upuuzi mwingine. Mwanaume mzima eti haki, haki ipi umenyanganywa, na nani? Pumbav we kafanye kazi utimize wajibu kwa Taifa lako acha tabia za kikeRaisi Samia lazima uelewe kupigania uhuru wako na haki zako ni nafsi na sio kama kula rojo rojo.
Utashangaa watu watakavyo pigania uhuru na haki zao mwaka huu. kupigania haki hakutaisha mpaka haki ipatikane kwa jasho au kwa damu uhuru na haki za kila Mtanzania zitapatikana
We mbwa koko ht nusu ya robo ya akili ya Rais wetu huikaribii. Mlaumu mamako kuzaa zombi km wwHuyo mama Abdul, hana akili kama ilivyo akili yake ilivyo ya chini, elimu yake ya kuunga unga haifahamiki.
Paskali, Huyu mama anaudhi ndiyo maana wananchi wanamjibu ovyo, ana madharau. Anaendesha nchi vibaya, watu wanaendelea kuiba anaruhusu akina Lugumi waendelee kuiba pesa zetu. Sijui anafanya nini. Hakuna kinachoendelea kizuri kwenye nchi yetu. Leo anasema katiba ni kijitabu tu, yaani nafuu Quran, mbona kwenye hicho kitabu kimeandikwa asifanye uonevu, asiue na asifanye dhulma, yeye hajali hiyo, ni rais wa ovyo kupata kutokea katika nchi yetu.Huyu mama hafai kuwa rais wa nchi yetu, hata uwaziri hafai.Naunga mkono hoja ya kupigania haki, ila tumia basi lugha ya kiungwana, lugha ya kistaarabu, kwavile Rais Samia ni Mzanzibari, na Wanzanzibari ndio wala rojo, kumfananisha rais wa nchi na.kula rojo sio lugha ya kiungwana!. Tupiganie haki ila pia tuwe waungwana! . Naendelea kusisitiza Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
Rais Samia ni mpenda haki na
Mtenda haki, ana nia njema na ya dhati watu wspate haki zao, ila kuna matatizo mawili, yanamkwamisha...
Tatizo la kwanza ni sisi Watanzania wenyewe hatujui haki zetu, ukiondoa elimu ya sheria, hakuna somo lolote la kuwafundisha Watanzania haki zao, katika mtaala wowote, as a results Watanzania hatujui tudaije haki zetu!. Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?
Tatizo la pili ni watu wake wa vyombo vya utoaji haki, polisi, mahakama etc Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
Angalia niliwahi kuandika nini kuhusu Samia na haki
- Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
- Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Rais Samia ni msikivu, apewe maua yake. Vipi Serikali yake, Bunge na mahakama ni wasikivu? Kama sio inamanisha
P.
Kwa hiyo wewe unatakaje? Urojo.utawanyoosha hadi muombe poo.Raisi Samia lazima uelewe kupigania uhuru wako na haki zako ni nafsi na sio kama kula rojo rojo.
Utashangaa watu watakavyo pigania uhuru na haki zao mwaka huu. kupigania haki hakutaisha mpaka haki ipatikane kwa jasho au kwa damu uhuru na haki za kila Mtanzania zitapatikana
Pesa zako na nani na kwa nn ushikiwePaskali, Huyu mama anaudhi ndiyo maana wananchi wanamjibu ovyo, ana madharau. Anaendesha nchi vibaya, watu wanaendelea kuiba anaruhusu akina Lugumi waendelee kuiba pesa zetu. Sijui anafanya nini. Hakuna kinachoendelea kizuri kwenye nchi yetu. Leo anasema katiba ni kijitabu tu, yaani nafuu Quran, mbona kwenye hicho kitabu kimeandikwa asifanye uonevu, asiue na asifanye dhulma, yeye hajali hiyo, ni rais wa ovyo kupata kutokea katika nchi yetu.Huyu mama hafai kuwa rais wa nchi yetu, hata uwaziri hafai.
We ndio unatabia za kike kbs, kutegemea kudra za watawala ili uishi...wanakushika trako we unaona poa tu kisa ni viongozi!We ni zuzu tu baada ya uchaguzi utakuja na upuuzi mwingine. Mwanaume mzima eti haki, haki ipi umenyanganywa, na nani? Pumbav we kafanye kazi utimize wajibu kwa Taifa lako acha tabia za kike
Uvunjifu wa haki za raka unatokana na watu kutokujua namna ya kudai haki zao,, kwa hiyo, ili watz watęndewę kwa haki hawana budi kwanza wasome masomo ya namna ya kudai haki! Kwa mantiki hiyo wanasheria ndio pekee wanaopata haki zao kwa sababu kwenye masomo yao wamefundishwa namna ya kudai haki. Hoja kuntu kutoka kwa mwandishi habari mbobezi na ‘seasoned lawyer’!Naunga mkono hoja ya kupigania haki, ila tumia basi lugha ya kiungwana, lugha ya kistaarabu, kwavile Rais Samia ni Mzanzibari, na Wanzanzibari ndio wala rojo, kumfananisha rais wa nchi na.kula rojo sio lugha ya kiungwana!. Tupiganie haki ila pia tuwe waungwana! . Naendelea kusisitiza Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
Rais Samia ni mpenda haki na
Mtenda haki, ana nia njema na ya dhati watu wspate haki zao, ila kuna matatizo mawili, yanamkwamisha...
Tatizo la kwanza ni sisi Watanzania wenyewe hatujui haki zetu, ukiondoa elimu ya sheria, hakuna somo lolote la kuwafundisha Watanzania haki zao, katika mtaala wowote, as a results Watanzania hatujui tudaije haki zetu!. Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?
Tatizo la pili ni watu wake wa vyombo vya utoaji haki, polisi, mahakama etc Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
Angalia niliwahi kuandika nini kuhusu Samia na haki
- Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
- Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Rais Samia ni msikivu, apewe maua yake. Vipi Serikali yake, Bunge na mahakama ni wasikivu? Kama sio inamanisha
P.
Kwenye mwili wa Binadamu tumeumbwa kutafakari,kusikiza na kusikilizwa,Raisi ana Kazi Nyingi sana za Nchi kwa ujumla.Hivyo anawashauri wa kumshauri na Huwa anawasikiliza! Kwenye ushauri,huenda wanamshauri vibaya nae huwasikikiza,akiamini wako sahihi na viapo vyao! Mungu mwema atamfumbua macho na Akili ya kutafakari na kutoa maamuzi.Ningekuombea pascal Mayalla, Mungu akupe wepesi na upate teuzi ukawe upande wa ushauri wa Raisi na Nchi isonge kwa Furaha.Ahsante.Naunga mkono hoja ya kupigania haki, ila tumia basi lugha ya kiungwana, lugha ya kistaarabu, kwavile Rais Samia ni Mzanzibari, na Wanzanzibari ndio wala rojo, kumfananisha rais wa nchi na.kula rojo sio lugha ya kiungwana!. Tupiganie haki ila pia tuwe waungwana! . Naendelea kusisitiza Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
Rais Samia ni mpenda haki na
Mtenda haki, ana nia njema na ya dhati watu wspate haki zao, ila kuna matatizo mawili, yanamkwamisha...
Tatizo la kwanza ni sisi Watanzania wenyewe hatujui haki zetu, ukiondoa elimu ya sheria, hakuna somo lolote la kuwafundisha Watanzania haki zao, katika mtaala wowote, as a results Watanzania hatujui tudaije haki zetu!. Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?
Tatizo la pili ni watu wake wa vyombo vya utoaji haki, polisi, mahakama etc Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
Angalia niliwahi kuandika nini kuhusu Samia na haki
- Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
- Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Rais Samia ni msikivu, apewe maua yake. Vipi Serikali yake, Bunge na mahakama ni wasikivu? Kama sio inamanisha
P.
Wewe ni mpumbavu na huna akili, ina maana hujui kodi zetu zinalipa mishahara ya hao walio serikalini? Wewe na familia yako mnakaa tu bila kulipa kodi, tuache sisi tunaolipa kodi kwa miaka tuongee, wewe huelewi chochote unaongea kwa kutumia tumbo. Wewe hizo pesa hazikuhusu kupe wewe, mshenzi mkubwa. Hufanyi kazi hulipi kodi, unafanya uchawa kwa kulipwa na hao CCM. Shame on you!Pesa zako na nani na kwa nn ushikiwe
Kama ndivyo haki itamalaki hapo tutaelewana na tutakuwa wamoja. Kinyume na hapo tutaitafuta haki kwa nguvu zote man.Tit for tat sio uugwana!. CCM na wapinzani
tuu wamoja 2017: Watanzania (CCM, Upinzani) tu Wamoja, Tupendane, Tuheshimiane, Tushirikiane kuijenga nchi yetu
P
Good thinkingRaisi Samia lazima uelewe kupigania uhuru wako na haki zako ni nafsi na sio kama kula rojo rojo.