Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Usikonde, Tanzania imeshaona wengi. Alikuwepo Professor Maji Marefu na sasa pia yupo Professor Jay!Yes but you forgot she is honorary doctoriate not academic achieved one
Which means the only place ahe can use that title is tz only, outside of that she will have to use it only in academic events
Oh congrats, you just corrected yourself.I don't think if what you are saying is true. I have heard many times being referred to as doctor. Nyerere had over 50 honorariums. Being a rara avis not a kihiyo, did not use any of them. Mwinyi and Mkapa too had a couple of them but didn't use them. All this bunkum started with Jakaya Kikwete, then Amani Karume and now Samia. What a shame!
Her Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hajat SSH, VC, DSO, MC, Lady of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Tanzania in Particular' π π€£ π π πI don't think if what you are saying is true. I have heard many times being referred to as doctor. Nyerere had over 50 honorariums. Being a rara avis not a kihiyo, did not use any of them. Mwinyi and Mkapa too had a couple of them but didn't use them. All this bunkum started with Jakaya Kikwete, then Amani Karume and now Samia. What a shame!
Thatβs a foolβs gold. JKN, AHM and BWM were smart enough not to fall for it!I don't think if what you are saying is true. I have heard many times being referred to as doctor. Nyerere had over 50 honorariums. Being a rara avis not a kihiyo, did not use any of them. Mwinyi and Mkapa too had a couple of them but didn't use them. All this bunkum started with Jakaya Kikwete, then Amani Karume and now Samia. What a shame!
Tanzania itaendelea kuongozwa kwa misingi ya kikatiba gentleman.Hakuna ubishi. Kama sifa za mama tunasikia kila mahali na kila siku ni za kweli, basi Tanzania ni Samia na Samia ni Tanzania. Hivyo, Tanzania iitwe Samia ili impendeze mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu Hassan, mbebea maono na mtenda miujiza ambaye shehe mmoja alisema kuwa baada ya Yesu na mtume ndiye kiumbe bora anayefuatia.
Utaratibu wa kupoteza watu ukiendelea tutabakiwa na misukule au?Tanzania itaendelea kuongozwa kwa misingi ya kikatiba gentleman.
Utaratibu wa kubadili uongozi wa nchi yetu kupitia uchaguzi utaendelea kutekelezwa kikamilifu bila kujali mapenzi ya waTanzania kwa kiongozi aliyeko madarakani.
mapenzi sio suala la kikatiba ni jambo binafsi. Ni vizuri kujenga tabia ya kuheshimu katiba ya nchi bila kukiuka kwa mahaba binafsi π
Si kweli. Kwa sasa Tanzania uongozi unabadilishwa kwa njia ya uchakachuaji na kufunga wapinzani wa kweli ili kuweka vyama machawa kuhalalishia ushindi wa Chama Cha Mafisadi. Hata hivyo, tumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH.Tanzania itaendelea kuongozwa kwa misingi ya kikatiba gentleman.
Utaratibu wa kubadili uongozi wa nchi yetu kupitia uchaguzi utaendelea kutekelezwa kikamilifu bila kujali mapenzi ya waTanzania kwa kiongozi aliyeko madarakani.
mapenzi sio suala la kikatiba ni jambo binafsi. Ni vizuri kujenga tabia ya kuheshimu katiba ya nchi bila kukiuka kwa mahaba binafsi π
Stop looking for pretexts. Does daktari profesa SSH live in the UK? You better accept your fault of genaralisation and go ahead. Please next times you write avoid avoidable typos like using small letter referring to a continent or calling countries contries, which does not exist in English. Otherwise, I thank daktari profesa SSH for having academics/academicians like you.Oh congrats, you just corrected yourself.
I live in us ,also studied in uk, but also visisted various african contries,in Uk you cant use honorary doctorate as a title unless is educational events, such as graduations, out of that. And so does US
Some other countries does that too
Usikonde. Acha wagune na ikibidi wafurahi maana inawasilisha uchawa na uzwazwa wao kinamna au siyo?Hii hata MACHAWA wenyewe wakiiona lazima wagune.π€£ππ€£
Lazima angefurahi kwa vile yeye ndiye aliwapa kazi hiyo ya kuwabadilisha wanadamu kuwa wadudu. Hata hivyo, namshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa 'ubunifu' na miujiza hii itokanayo na maono yake ya mbali. kuelekea nyuma.Ningekua Mimi Mama Samia ningecheka sana kwa ujinga wa vijana wangu katika jina la chawa ππ.
Too bad. Too sad. Inaonekana hukuelewa ujumbe japo umesoma na kuelewa ulivyoelewa visivypoaswa wala kukusudiwa. Je ulisoma fasihi japo kiduchu hata kama ni kwenye shule za Kayumba? Soma Adili na nduguze basi. Mshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa hilo japo siyo sifa njema na stahiki ya binadamu kuitwa au kugeuzwa chawa.Naona unafuata nyayo za Lucas ila mkuu mnakosea sana mana mnazidi mipaka, sisemei ww kumkubali samia Ila nasemea kuzidi mipaka.
Hapana. Ni mama wa chawa wa taifa ni Maria NyerereMama wa Taifa
Kwanini usiongeze na mheshimiwa daktari profesa mtenda miujiza wa miujiza ya miujiza kwa wapenda miujiza isiyo miujiza mwanangu?. Mwambie ukweli huyu pimbi!