Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

1. Heshima kwa vyombo vya usalama imeshuka sana.
2. Rushwa imeongezeka
3. Raisi Samia badala ya kuongeza marafiki anaongeza maadui
4. Wapinzani ambao walikuwa wanatofautiana hoja sasa ni kama vita na uadui.

Huwezi kufanikiwa kwenye siasa kama unaongeza maadui badala ya marafiki. Hata wale Marafiki kama Mbowe hawataweza kukutetea tena
 
Antonym ya Praises ni Criticism. Iko wapi? Au ni kuabudu tu? Sure thing, Ukondoo udumu milele. Hahaha!
 
Upepo unazidi kuwa mbaya kwa mh Samia ,hivyo kabla mambo hayajaharibika ni heri ampishe mwingine agombanie nafasi ya urais kinyume na hapo kuna mawili either chama kishindwe uchaguzi na nchi iwe mikononi mwa wapinzani au chama kishindwe uchaguzi na kulazimisha kwa mitutu kwamba wameshinda hivyo kupelekea damu za wananchi kumwagika.

Busara itumike.
 
Wasiomtaka Mpo online

Hebu suggest nani awe rais?
 
Upepo unazidi kuwa mbaya kwa mh Samia ,hivyo kabla mambo hayajaharibika ni heri ampishe mwingine agombanie nafasi ya urais kinyume na hapo kuna mawili either chama kishindwe uchaguzi na nchi iwe mikononi mwa wapinzani au chama kishindwe uchaguzi na kulazimisha kwa mitutu kwamba wameshinda hivyo kupelekea damu za wananchi kumwagika.

Busara itumike.

Ukweli ni kwamba alipaswa na anapaswa asome alama za nyakati, kimsingi upepo unavuma vibaya sana dhidi yake. Kwa bahati mbaya zaidi, Maadui zake wakubwa kabisa ni wale Watu walio karibu naye wanaomzunguka wanaoitwa kuwa ni Wasaidizi wake wa karibu.

Hao Watu ambao yeye mwenyewe anawaona kuwa ndio Wasaidizi wake ndio hao hao ambao wanamsaliti, wanamhujumu na kumharibia kwa Umma kwa kumchonganisha ili Wananchi wamchukie na kumkataa. Akumbuke kwamba "Kikulacho ki nguoni mwako."

Mathalani, kutokana Hali halisi ya kuwepo kwa Uchaguzi Mkuu Mwaka huu, kamwe haikupaswa kabisa na wala haikutarajiwa kwamba Wasaidizi wake wafanye mambo au Kampeni itakayosababisha Mgombea wa Chama tawala kuchukiwa na Watu. Vitendo hivi vya kufungia Makanisa ukichunguza kwa umakini Sana, utagundua kwamba ni kampeni ya chini chini na ya Siri ili kumgombanisha Mgombea wa Chama Tawala dhidi ya Umma, hususani Waumini wa makanisa hayo yanayofungwa. Rais wa nchi anapaswa alione jambo hili ni kama hujuma za makusudi dhidi yake, hiyo ni Negative Campaign dhidi yake ili Wananchi wamchukie.
 
Back
Top Bottom