Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Upepo unazidi kuwa mbaya kwa mh Samia ,hivyo kabla mambo hayajaharibika ni heri ampishe mwingine agombanie nafasi ya urais kinyume na hapo kuna mawili either chama kishindwe uchaguzi na nchi iwe mikononi mwa wapinzani au chama kishindwe uchaguzi na kulazimisha kwa mitutu kwamba eshinda hivyo kupelekea damu za wananchi kumwagika.

Busara itumike.
Yaani ACT ISHINDE AU CHAUMMA?
 
Upepo unazidi kuwa mbaya kwa mh Samia ,hivyo kabla mambo hayajaharibika ni heri ampishe mwingine agombanie nafasi ya urais kinyume na hapo kuna mawili either chama kishindwe uchaguzi na nchi iwe mikononi mwa wapinzani au chama kishindwe uchaguzi na kulazimisha kwa mitutu kwamba wameshinda hivyo kupelekea damu za wananchi kumwagika.

Busara itumike.
Unasema wewe Sisi wananchi tupo nae na kura za kishindo tutampatia
 
Upepo unazidi kuwa mbaya kwa mh Samia ,hivyo kabla mambo hayajaharibika ni heri ampishe mwingine agombanie nafasi ya urais kinyume na hapo kuna mawili either chama kishindwe uchaguzi na nchi iwe mikononi mwa wapinzani au chama kishindwe uchaguzi na kulazimisha kwa mitutu kwamba wameshinda hivyo kupelekea damu za wananchi kumwagika.

Busara itumike.
Ashindwe uchaguzi kwa sheria zipi na tume gani ya uchaguzi?
Vv
 
Upepo unazidi kuwa mbaya kwa mh Samia ,hivyo kabla mambo hayajaharibika ni heri ampishe mwingine agombanie nafasi ya urais kinyume na hapo kuna mawili either chama kishindwe uchaguzi na nchi iwe mikononi mwa wapinzani au chama kishindwe uchaguzi na kulazimisha kwa mitutu kwamba wameshinda hivyo kupelekea damu za wananchi kumwagika.

Busara itumike.
Chura kiziwi
 
We kibwengo ndio watu? Unataka agombee mamako? Samia atashinda kwa kishindo zaidi ya 95%. Zombie km wewe halina ht kadi ya kupiga kura utamzuiaje
 
Upepo unazidi kuwa mbaya kwa mh Samia ,hivyo kabla mambo hayajaharibika ni heri ampishe mwingine agombanie nafasi ya urais kinyume na hapo kuna mawili either chama kishindwe uchaguzi na nchi iwe mikononi mwa wapinzani au chama kishindwe uchaguzi na kulazimisha kwa mitutu kwamba wameshinda hivyo kupelekea damu za wananchi kumwagika.

Busara itumike.
Hao wananchi unaodai kuwa hawamtaki mama Samia ni wananchi wa nchi gani?!
Mbona watanzania wazalendo sote tunamkubali mama Samia na tumejiandaa kuhakikisha anapata ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu ujao?!
Hao wananchi wengine wa Kenya na Rwanda wanaomchukia mama Samia waambie waangalie mambo ya nchi zao watuachie Samia wetu na Tanzania yetu!
MITANO TENA KWA MAMA SAMIA HADI 2030.
 
GTs,
Kwa heshima na taadhima, napenda kumpongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa uongozi wake mahiri, wa busara, na uliojaa hekima katika kuiongoza nchi yetu katika kipindi hiki kigumu duniani. Dkt. Samia amewezesha Tanzania kuwa nchi tulivu, yenye mshikamano, ustawi wa jamii, na ushirikiano wa kweli kati ya Serikali na wananchi wake. Leo hii Watanzania wanaishi kwa matumaini na kwa heshima katika ukanda wa Afrika na duniani kote, kutokana na dira na dhamira ya kweli aliyoionesha.

Kwa hakika, kazi kubwa inayofanyika katika kuimarisha uchumi, kuboresha huduma za jamii, kupanua miundombinu, kulinda uhuru wa kujieleza kwa namna ya kistaarabu, na kukuza mahusiano ya kimataifa, ni ushahidi tosha wa Rais mwenye maono makubwa kwa taifa. Ni wazi kwamba baadhi ya mijadala isiyo na tija inayochochewa na vikundi vya watu wachache inaongozwa na wivu, si hoja. Kwa muda nimekuwa kimya, nikiwa katika majukumu ya kitaifa na kijamii, lakini sasa ninasema wazi: mijadala mingi ya mitandaoni siyo yenye afya kwa ustawi wa taifa letu. Ni wakati wa kujenga, si kubomoa.

Namtakia Dkt. Samia ushindi mnono katika uchaguzi wa mwaka 2025. Tuna imani naye, tuna heshima naye, na tuna matumaini kwamba ataendelea kuliongoza taifa hili kwa hekima na maono ya mbali. Bila chembe ya shaka, Dkt. Samia ni miongoni mwa marais bora kabisa waliowahi kuliongoza taifa hili tangu kupata kwake uhuru. Anaandika historia mpya ya Tanzania yenye matumaini mapya.

Mbele kwa mbele Mama, kazi iendelee. Utu na kazi!

Wenu Chawa wa Mama!
 
Mbele kwa mbele Mama, kazi iendelee.
No Reforms, No Election.
 
Back
Top Bottom